Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,976
- 6,398
Huyu sio mwenzetu tumwitie wazee wafupi
Yaani achezeshe na MAGONGO.. Si bora tu akapewa 3 MWALONGO..Refa wetu mpendwa Hersi naona wamemfungia kwa kiojndi ambacho ligi hakuna, ligi ikianza kifungo kimekwisha anaendelea kuiasidia timu yetu pendwa ya Simba kushinda kila mechi atakayokuwa anachezesha.
Huyo Hersi mashabiki wanatakuwa wamvunje miguu aje kuchezesha akiwa anatembea na magongo!
Kweli kabisa 😁Proffessionalism vs tumbo.... Aradjga amelishinda tumbo! Top referee kwa nyakati sahihi ambazo watu wanaliabna marefa wapuuzi, Sassi amejipotezea Heshima kabisa.
Yaani Leo wale mabwana watalala wamechoka sanaSimba tumepigwa kiuwezo bila makandokando ya refa,refa amenyooka ,simba uwezo mdogo
😁Huyu sio mwenzetu tumwitie wazee wafupi
Ila sasa hivi ni katajiri, anazo nyumba 5, daladala 6 na vitega uchumi vingine kibso, hata wakimfungia maisha wala hana shida!Walikua wanataka sana Huyo Lakini kimewalamba