Ali Kamwe: Bodi ya Ligi ikisikiliza na kutekeleza mahitaji yetu tutacheza Kariakoo Derby ya Juni 15, 2025

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
706
Reaction score
1,716
“Yanga ni klabu ya Mpira wa Miguu, hatuna kazi yoyote zaidi ya kucheza Mpira wa miguu hivyo endapo matakwa yetu yatasikilizwa na kufanyiwa kazi mbungi itapigwa June 15” Ali Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC akihojiwa na Wasafi FM, leo Juni 9, 2025.
 
Ifanye au isifanye, lazima mtacheza tu! Mnashindwa mtafanyaje na zile Tshirt na yale magari mliyo andika, aibuu!!
 
“Yanga ni klabu ya Mpira wa Miguu, hatuna kazi yoyote zaidi ya kucheza Mpira wa miguu hivyo endapo matakwa yetu yatasikilizwa na kufanyiwa kazi mbungi itapigwa June 15” Ali Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC akihojiwa na Wasafi FM, leo Juni 9, 2025.

Kadogo kameshapakwa vaselline. NLISEMA HII GAME IPO. YAANI YANGA TUTAKE TUTACHEZA, TUSITAKE TUTACHEZA. WIMBO UMEANZA BADILIKA. MIKIA WAPO KIMYA TU HAWAHANGAIKI NA MATAMKO.
 
Viongozi wa uto wahuni sana. Wakapeana dili za kuprint yale mabango na tshirt wakijua wazi wanakuja kucheza.

Wanatafuna tu pesa za club kwa sababu wamezungukwa na vyura wanaoendeshwa na mihemko.
 
Kwahio ulitaka wasiende kwenye kikako ili wasiwe wahuni? Timu yetu haiendeshwi kwa mihemuko bodi ya ligi wametuuita tunaenda kuwasikiliza sisi sio kama nyie mlisema hamchezi mpka waliosababisha mchezo kuvunjika wawajibishwe hadi sasa hakuna kilicho fanyika na mpo tayari kucheza
 
hatuchezi / chezeni na wallace karia
 
Bado siku 6 waache warembe sisi tukichukua point tatu za mezani wasiseme tunabebwa
 
Yanga ni kama demu alieingizwa gheto sitaki sitaki nyingi ila ukimpapasa chini ya mbavu anakubali
 
Back
Top Bottom