Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 25,186
- 27,366
Lakini cha ajabu wanaosema hakuna game ni mashabiki wa YangaWashabiki wa Simba wanajifanya wanataka game ila kimoyo moyo wanaombea yanga isilete timu
Lakini cha ajabu wanaosema hakuna game ni mashabiki wa YangaWashabiki wa Simba wanajifanya wanataka game ila kimoyo moyo wanaombea yanga isilete timu
Wanasema hakuna game kupinga upuuzi unaofanywa na body ya ligi, lakini sio kwa sababu wanaiogopa 5imba.Lakini cha ajabu wanaosema hakuna game ni mashabiki wa Yanga
Leteni timu bwana Patrikeeee....Washabiki wa Simba wanajifanya wanataka game ila kimoyo moyo wanaombea yanga isilete timu
Hizo ni siasa nyepesi, nilisema before hamna uwezo wa kugomea mechi, hamna mbongo anaweza gomes serikal ikitaka“Yanga ni klabu ya Mpira wa Miguu, hatuna kazi yoyote zaidi ya kucheza Mpira wa miguu hivyo endapo matakwa yetu yatasikilizwa na kufanyiwa kazi mbungi itapigwa June 15” Ali Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC akihojiwa na Wasafi FM, leo Juni 9, 2025.
mgen rasmi SA100Mbona kama game ipo
Hakuna shabiki wa Simba mwenye uhakika wa 80% wataweza shida derby.Washabiki wa Simba wanajifanya wanataka game ila kimoyo moyo wanaombea yanga isilete timu
Matakwa gani, kuwa wajiudhuru? Imekula kwenu kenge ninyi mtacheza tuu“Yanga ni klabu ya Mpira wa Miguu, hatuna kazi yoyote zaidi ya kucheza Mpira wa miguu hivyo endapo matakwa yetu yatasikilizwa na kufanyiwa kazi mbungi itapigwa June 15” Ali Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC akihojiwa na Wasafi FM, leo Juni 9, 2025.
😀😃😃😃😀😀Kuna kikao huko ila hii game ipo tarehe 15 hatupati hasara sisi kama mashabiki 😎tutafurahi walahi 😀Mpaka hapo mmeshasarenda....hizi nyingine ni bwebwe tu in kanjibah voice hahahaa
Utakuwa mchepuko wa hersi wewe maana si kwa povu na hii panicOna hili kolo ! Mechi inachezewa kikaoni?
Ipo wapiKadogo kameshapakwa vaselline. NLISEMA HII GAME IPO. YAANI YANGA TUTAKE TUTACHEZA, TUSITAKE TUTACHEZA. WIMBO UMEANZA BADILIKA. MIKIA WAPO KIMYA TU HAWAHANGAIKI NA MATAMKO.
Haya kacheze sasa wewe mchepuko wa MangunguUtakuwa mchepuko wa hersi wewe maana si kwa povu na hii panic