Ali Kamwe: Bodi ya Ligi ikisikiliza na kutekeleza mahitaji yetu tutacheza Kariakoo Derby ya Juni 15, 2025

Haya kacheze sasa wewe mchepuko wa Mangungu

Binti hujui siasa za huu mpira wewe ni bint mdogo sana. Hersi anawatumia tu anawaacha ila anajua kuwa match tutacheza. Na nitarudi hapa kukukumbusha. Nyie wanawake huwa mnakuwa na mihemko sana. Sasa wanaume tunajua cha kufanya
 
Hakuna mwanaume ana kiherehere kama chako labda Uncle T
 
“Yanga ni klabu ya Mpira wa Miguu, hatuna kazi yoyote zaidi ya kucheza Mpira wa miguu hivyo endapo matakwa yetu yatasikilizwa na kufanyiwa kazi mbungi itapigwa June 15” Ali Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC akihojiwa na Wasafi FM, leo Juni 9, 2025.
Mcheze, msicheze SIMBA BINGWA NBC LIGI 2024/2025
 
IMG-20250607-WA0003.jpg
 
Hakuna mwanaume ana kiherehere kama chako labda Uncle T
Binti hujui siasa za huu mpira wewe ni bint mdogo sana. Hersi anawatumia tu anawaacha ila anajua kuwa match tutacheza. Na nitarudi hapa kukukumbusha. Nyie wanawake huwa mnakuwa na mihemko sana. Sasa wanaume tunajua cha kufanya
 
Binti hujui siasa za huu mpira wewe ni bint mdogo sana. Hersi anawatumia tu anawaacha ila anajua kuwa match tutacheza. Na nitarudi hapa kukukumbusha. Nyie wanawake huwa mnakuwa na mihemko sana. Sasa wanaume tunajua cha kufanya
Oya wewe punga achana na mimi silagi wanaume
 
Oya wewe punga achana na mimi silagi wanaume

Binti hujui siasa za huu mpira wewe ni bint mdogo sana. Hersi anawatumia tu anawaacha ila anajua kuwa match tutacheza. Na nitarudi hapa kukukumbusha. Nyie wanawake huwa mnakuwa na mihemko sana. Sasa wanaume tunajua cha kufanya
 
“Yanga ni klabu ya Mpira wa Miguu, hatuna kazi yoyote zaidi ya kucheza Mpira wa miguu hivyo endapo matakwa yetu yatasikilizwa na kufanyiwa kazi mbungi itapigwa June 15” Ali Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC akihojiwa na Wasafi FM, leo Juni 9, 2025.
Kumbe hadi hela ya ubingwa wa CRDB msimu uliopita Yanga haijapewa, hapa nina uhakika TFF wamewatia doa CRDB sizani kama wana uswahili huo CRDB. Mpira wa bongo una mambo mengi,sasa club haijalipwq vipi Top Scorer? Mchezaji bora wa hiyo michuano ya CRDB?,mpira bongo una mambo mengi sana.
 
“Yanga ni klabu ya Mpira wa Miguu, hatuna kazi yoyote zaidi ya kucheza Mpira wa miguu hivyo endapo matakwa yetu yatasikilizwa na kufanyiwa kazi mbungi itapigwa June 15” Ali Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC akihojiwa na Wasafi FM, leo Juni 9, 2025.
Kwanini wasifanyiwe kana Yale ya mgomo wa madaktari yaliyo mkuta dr.ulimboka.

Maana wanayanga na viongozi wao wanafanya uvunjifu wa amani, umoja,mshikamano udugu na utanzania WETU.

SERIKALI ipo na hakika hakuna mkate mgumu mbele ya chai.

NB
SERIKALI=CHAI
YANGA=MKATE
 
Kabudi jambo kime mshinda baada ya bodi kumuekeza ukweli kuwa Kiongozi mkubwa Serikalini alipiga Simu Geti lisufunguliwe ili timu aipendayo ipate sababu ya kukimbia mechi.
Tunahangaika na Ubovu wa maamuzi wa marefa kumbe wanapata maelekezo kutoka ofisi ya karibu wa Tff yaani marefa wate wapo chininya ofisi ya karibu wa Tff na ndio maana Wana vimba na Kiburi kikavu.

Yaani ata akikosea Bado maelekezo yanashuka kutoka juu apewe mechi nyingine.
 
Back
Top Bottom