ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Kwanza nawapongeza bodi ya ligi Kwa hatua ya kuwaita Yanga na kuwasikiliza rasimi.
Bodi ya ligi ndo ilifanya makosa na kukaa kwenye janjajanja ya Simba aliyetumia Karia kukimbia mechi
Kama TFF walisikiliza Simba na kuvunja mechi kijinga kwanini isiwasikilize Yanga wenye hoja zilizoshiba kuliko zile za Simba
Matakwa ya Yanga
1. Kuhairisha mechi kutoka tarehe 15 June na Sasa ipangiwe tarehe nyingine. Kama mlihairisha mechi ya march 8 na hii pia ihairishwe
2 Report ya uchunguzi wa uvunjifu wa usalama na rushwa itoke, iwekwe wazi ndo tucheze
3 Bodi ya ligi ijiuzulu
Haiwezekani bodi ya ligi kuidharau na kuidogosha Yanga
Lazima bodi ya ligi iheshimu taasisi kubwa Yanga