Dusti Bongé (née Eunice Lyle Swetman, 1903–1993) was an American painter who worked from the 1930s through the early 1990s. She is considered Mississippi's first Abstract Expressionist painter and its first Modernist artist.
Ukiachana donnie yen huyu max zhang namuelewa vibaya may be cause napenda ngumi mno ila ni moja wa actor wanafanya vizuri mchizi anaspidi anavyopigana anatulia anambwembwe tony jaa na mwezake wu jing wanaujua moto wa huyu mwamba hata batista naye 😁😁 very amazing huyu mchizi yaani anakupiga...
Habari wakuu,
Kwa kifupi pambano la Ibra na mmalawi lilikua tamu sana, I'm sure hata wale waliolipa laki au zaidi pale ukumbini pesa zao zimeenda kihalali.
Majaji siku ya leo walikua fair, kwa maoni yangu tumeshindwa na kushinda kihalali. Pongezi nyingi kwa Ibra kwa kutupa pambano zuri saaana...
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara ameliomba Baraza la Mitihani nchini kukanusha taarifa inayosambaa mitandaoni ikisema shule kumi za mwisho kitaifa zinatoka mkoani Mtwara jambo ambalo si kweli na hivyo kuleta sintofahamu kwa mkoa na umma wa Watanzania.
Taarifa: ITV Tanzania
Hata hivyo Mpiga Mkwara Mkuu...
Huyu jamaa anajua sana. Style yake ni ya kipekee sana.
Namkubaligi jinsi anavyokuza mambo. Unakuta kakitu kadogo lakini watu watakajadili kirefu. Pia movie zake hazitabiriki na zina violence za kutisha.
Nilikuwa naangalia Once upon a time in hollywood nikasema "afadhali hii aina violence za...
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama kimepokea kwa mshtuko taarifa ya ajali mbaya iliyowahusisha Wasanii Belle 9 na Bonge la nyau.
Polepole amewatakia uponyaji wa haraka na kwamba chama kinafuatilia kwa karibu tukio na chanzo cha ajali hiyo.
Source Ayo tv
Maendeleo hayana vyama!
===...
Salamu kwenu.
Kupitia Wasafai FM 89.9 Mh. Makonda ameongoza ukemeaji kwa njia ya maombi dhidi ya corona.
Ameendelea kutoa tafakari/mahubiri ya mistari kadhaa kutoka ktk biblia. Mf. Isaya 18:1.
Hakika Dar tunakiongozi mwenye kipaji kama ambavyo daima amethubutu katika maamuzi mbali mbali...
Kwa walio oa na wasio oa naomba leo iweni wawazi, japo mtatoboa siri za wenzi wenu mnao wapenda, najua watatuwia radhi kwani nahitaji kujua. Kuna tofauti ati kati ya hawa wawili, wengine eti sijui wembammba wanahasira kuliko wanene, no proof.
Kuna mengi ambayo yanasemwa mitaani, lakini najua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.