Habari wakuu,
Kwa kifupi pambano la Ibra na mmalawi lilikua tamu sana, I'm sure hata wale waliolipa laki au zaidi pale ukumbini pesa zao zimeenda kihalali.
Majaji siku ya leo walikua fair, kwa maoni yangu tumeshindwa na kushinda kihalali. Pongezi nyingi kwa Ibra kwa kutupa pambano zuri saaana...