Aliyekuwa Katibu wa Chadema Mkoa wa Mwanza Bw. Boniface Paul Mkobe Nzagamba amekihama chama hicho na kujiunga na chama cha mapinduzi CCM leo Oktoba 08,2025 katika mkutano wa kampeni za Mgombea nafasi ya Urais kupitia chama hicho uliofanyika jijini Mwanza
Dkt. Samia amempokea Mwanasiasa huyo...
Aliyekuwa Katibu Mtendaji wa CHADEMA mkoa wa Mwanza Bw. Boniface Mkoba, ameamua mwenyewe bila kulazimishwa kuachana na chama hicho na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kupokelewa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, mbele ya mkutano wa kampeni za Urais kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.