GE2025 Aliyekuwa Katibu Mtendaji wa CHADEMA Mwanza, Boniface Mkoba ajiunga na CCM

GE2025 Aliyekuwa Katibu Mtendaji wa CHADEMA Mwanza, Boniface Mkoba ajiunga na CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Aliyekuwa Katibu Mtendaji wa CHADEMA mkoa wa Mwanza Bw. Boniface Mkoba, ameamua mwenyewe bila kulazimishwa kuachana na chama hicho na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kupokelewa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, mbele ya mkutano wa kampeni za Urais kupitia CCM katika uwanja wa Nyamagana mkoani Mwanza leo tarehe 8 Oktoba 2025.

Bw. Boniface amejiunga na CCM na kusema ametimiza ndoto yake ya kuchana na chama cha kuhamisha vurugu na kuhamia chama chenye kubeba matarajio ya watanzania katika maendeleo.

1759924980256.png

1759924966233.png

1759925002665.png
 
Ngoja wafia chadema wa JF waje na matusi 😂

Siasa bhana, kwahy jamaa ameamua kuvaa t-shirt ya ccm juu ya t-shirt ya chadema 😂
 
Anaitwa boniface nkobe
Aliwahi kuwa mwenyekiti chadema kata ya igoma, mwenyekiti bavicha mkoa mwanza, katibu wa chadomo mkoa wa mwanza...
Ijapo sitaki kuamini!
 
Haya kawe mkuu wa WILAYA kweli chadema ni chuo Cha uongozi machawa endeleeni kusugua lapa.
 
Write your reply...
Sema nn wajuba, tuendelee na kauli yetu "chadomo ipo miyoni mwa watanzania na chadomo si nkobe"
 
Hahaha huyo ni role model wao?

Kuna watu wanatengenezwa kwenye events hata hawana ushawishi wowote.

Na expectation ni kuvuta chadema wajiunge na ccm au nini lengo lao?
 
Hahaha huyo ni role model wao?

Kuna watu wanatengenezwa kwenye events hata hawana ushawishi wowote.

Na expectation ni kuvuta chadema wajiunge na ccm au nini lengo lao?
Nani mwenye ushawishi mkoa wa mwanza?
Basi tuseme cha domo ni ya hovyo, ilikosa mtu mwenye ushawishi hadi wakamweka nkobe?

Kata ya igoma ndyo kitovu cha siasa mkoa wa mwanza..kata hyo imekuwa kitovu cha siasa wakati nkobe ni mwenyekiti wa cha domo kata ya igoma.
-mlimuona pambalu kuwa mwenyekiti ba ya vichaa taifa, wakati huo alikuwa mwenyekt bavchaa mkoa wa mwanza, unajua aliyekuwa katibu wake? Ni huyu leo unayesema hana ushawishi? Amewah kugombea udiwani mkasema mmeibiwa!
Unajua mkoa wa mwanza una wilaya ngapi? Lakn ndan ya hzo wilaya akapatkana nkobe kama katibu cha domo mkoa..
KATAA KUBALI, CHA DOMO KIMEKUWA UTELEZI TENA ULIOOZA.
 
Aliyekuwa Katibu Mtendaji wa CHADEMA mkoa wa Mwanza Bw. Boniface Mkoba, ameamua mwenyewe bila kulazimishwa kuachana na chama hicho na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kupokelewa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, mbele ya mkutano wa kampeni za Urais kupitia CCM katika uwanja wa Nyamagana mkoani Mwanza leo tarehe 8 Oktoba 2025.

Bw. Boniface amejiunga na CCM na kusema ametimiza ndoto yake ya kuchana na chama cha kuhamisha vurugu na kuhamia chama chenye kubeba matarajio ya watanzania katika maendeleo.

Kumbe hii minada bado ipo
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Back
Top Bottom