boniface mkoba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Mkoba wa CHADEMA atambulishwa rasmi kuwa mwanachama wa CCM, asema ''siko tayari kuongoza jeshi la watu walemavu''

    Aliyekuwa Katibu wa Chadema Mkoa wa Mwanza Bw. Boniface Paul Mkobe Nzagamba amekihama chama hicho na kujiunga na chama cha mapinduzi CCM leo Oktoba 08,2025 katika mkutano wa kampeni za Mgombea nafasi ya Urais kupitia chama hicho uliofanyika jijini Mwanza Dkt. Samia amempokea Mwanasiasa huyo...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Katibu Mtendaji wa CHADEMA Mwanza, Boniface Mkoba ajiunga na CCM

    Aliyekuwa Katibu Mtendaji wa CHADEMA mkoa wa Mwanza Bw. Boniface Mkoba, ameamua mwenyewe bila kulazimishwa kuachana na chama hicho na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kupokelewa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, mbele ya mkutano wa kampeni za Urais kupitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…