1.Botswana ni tajiri wa Madini ya Kila aina hasa Almasi.
2.Botswana ni Kati ya Nchi zinazofanya vizuri Kwa Utalii
3.Botswana Ina Watu wachache zaidi sawa na Mkoa wa Shinyanga
4.Botswana inapakana na Nchi zilizoendelea eg South Africa,Namibia,nk
5.Botswana Inaongoza Kwa Ufugaji wa Kisasa wa...
Habari wakuu! Nahitaji kufanya safari ya basi kutokea DSM mpka Gaborone Botswana mpaka! Naomba wenye ujuzi wa route na mabasi yanaoyoenda huko anijuze!
Nchi ya Botswana inatarajia kuanzisha kituo cha kufanya ithibati ya almasi zinazouzwa kwenye nchi za G7 ifikapo mwakani 2025.
Hii inakuja kutokana na hatua ya nchi za G7 kuamua kutonunua almasi kutoka Urusi.
Kutokana na katazo hilo, kila almasi inayonunuliwa na nchi za G7 itatakiwa kufanyiwa...
Kwa wakongwe kama mimi, wanajiuliza, nini tutaona mageuzi ya maana na ya kweli. Walipofanya kweli Kenya, Malawi, na Zambia tulidhani ni wimbi na wingu vya kupita. Juzi tu, tuliona moto wa mageuzi na mapinduzi ukiwashwa kule Afrika Kusini ambapo ANC iliponea chupuchupu kujikuta pakanga. Kalba...
Matokeo ya uchaguzi uliokwisha nchini Senegal unaonyesha chama tawala kililchopigwa chini kwenye uchaguzi wa urais uliopita, kwa mara nyingine kimebwagwa vibaya baada ya chama cha Oussumane Sonko cha PASTEF viti 131 wakati chama cha rais wa zamani cha Takku Wallu Sénégal kikiambulia viti 13 tu...
Baada ya kushinda uongozi ulioshikiliwa kwa karibu miongo sita na chama kimoja, hivi ni vipaumbele vitano vya Rais mpya wa Botswana, Duma Boko, kama alivyoahidi wakati wa kampeni na hata baada ya kushinda kiti hicho. Wananchi wa Botswana wanataraji kuona ahadi hizi zikitekelezwa kwa imani kuwa...
Rais wa Botswana, Duma Boko, akihutubia baada ya kuapishwa rasmi kuwa Rais wa nchi hiyo.
Rais mpya wa Botswana, Duma Boko, amesema anataka kuhalalisha Wazimbabwe wasiokuwa na vibali rasmi kwa kuwapa vibali vya muda vya kazi na makazi. Ameeleza kuwa Wazimbabwe hufanya kazi ambazo wananchi wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Hii ndio picha bora kabisa kwa Mwezi huu Barani Afrika kutoka Kwa Mke wa Rais mteule wa Botswana siku ya uapisho wa Mume wake.
Ni picha inayoonyesha namna mwanamke huyu alivyo Mnyenyekevu, mtiifu kwa Mume wake ,Mwanamke mwenye maadili ya kiafrika, aliyefundwa...
Demokrasia wakati mwingine huwa inaleta vitu vya ajabu sana, ni kama hamna kitu humo kwa huyo Rais mpya wa Botswana, ila ndio hivyo raia wakishachoka huwa wanasema bora wapigie hata jiwe kura kuliko establishment.
Habari wanajamvi!
MH Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo K .Peter Pinda, alikuwa msimamizi mkuu wa Uchaguzi wa Botswana kwa mwavuli wa Jumuiya ya Maendeleo Ya kusini mwa Africa SADC.
Nakuomba Mfikishie salamu Mama Abdul kuhusu uliyaona kwa macho yako uliposimamia uchaguzi huo wa Botswana.
Usiishie...
Asalaam Aleykum wana jamvi.
Taarifa zilizogonga vichwa vya habari wiki hii ni kung'olewa madarakani kwa chama tawala cha Botswana ambacho kimekuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 50.
Hizi habari si njema sana kwa vyama vilivyoleta uhuru na ambavyo bado viko madarakani, ikiwamo Chama Cha...
Inaripotiwa chama tawala cha BDP chini ya Rais Masisi nchini Botswana kimepoteza madaraka kwa Upinzani katika uchaguzi mkuu nchini humo na hatimaye kuhitimisha utawala wake wa miaka takribani 60,
Hiyo itamfanya Masisi kuwa Rais wa kwanza kutawala kwa awamu moja tu baada ya kufurushwa na raia...
Botswana Democratic Party ni chama tawala cha Botswana na kimeongoza nchi toka uhuru 1966 na CCM ambayo ilikuwa Tano kimeongoza Tanzania toka 1961.
Tofauti kubwa ni kwamba chama cha Botswana kimeleta maendeleo makubwa kwa nchi na kulinda rasilimali.
Chama hiki kimekomesha rushwa . Kwa upande...
Iko hivi wazee sina passport yeyote zaidi ya kitambùlisho tu. Sasa lengo langu ni kufika 🇧🇼Botswana. Nina mwenyeji hapo atanipokea.
Sasa je, naweza kupita vini na ni njia ìpi rahisi na bajeti ni shingapi maana hiyo safari mimi kwenda lazima na hapo Botswana nina mwenyeĵi.
Please mwenye...
Wakuu mimi nikijana mpambanaji kiukweli mm ni Mtanzania halisi kabisa.
Kwa sasa niko huku 🇰🇪 Kenya ila maisha haya kwa Ruto sijaridhika wazee mm kwa haraka nimefikiria Botswana 🇧🇼
Kwa sababu ni nchi ya ndoto yangu huwa naipenda nimepanga januari nipite kwa mama niende mpaka Zambia and then...
Hawa Botswana wamekubuhu kwenye mbinu za nje ya uwanja, wanakufunga kwako kama umesinzia vile. Sijui wameimport product ya wapi inayowabeba kiasi hiki siku hizi.
Jwaneng Galaxy alimpiga Wydad kwake, waarabu wakabaki wameduwaa wakawashutumu kwa kuroga. Leo Botswana imempiga Cape Verde huko huko...
Rais Ian Khama, amerejea Botswana baada ya kuishi uhamishoni Afrika Kusini kwa takriban tangu Mwaka 2021.
Ijumaa ya Septemba 13, 2024, alifikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka 14, ikiwemo umiliki haramu wa silaha na utakatishaji fedha.
Khama ameyakana mashtaka hayo, akidai kuwa ni...
Bongo sitaki tena nataka nikimbie, naombeni ushauri kati ya hizo nchi wapi angalau nikienda sifi njaa nikipambana kati y'a Botswana, Mauritius, Namibia au Sychelles au South Africa
Au Morocco na nchi nyingine ongezea.
Bongo sitaki,
Naombeni pia kama kuna wenyeji kwenye hizo nchi wanitafute PM...
Jiwe kubwa la almasi lenye uzito wa karati 2,492, ambalo linaaminika kuwa la pili kwa ukubwa kuwahi kupatikana duniani, limegunduliwa nchini Botswana.
Jiwe hili kubwa linaaminika kuwa ni kubwa zaidi kuwahi kupatikana tangu almasi ya Cullinan yenye uzito wa karati 3,106 ilipogunduliwa Afrika...
Habari za hapa wana jamii,
Mimi ni Mtanzania ila kwa sasa niko 🇰🇪 Kenya ila mmmh life ya Kenya kiukweli ni ngumu mno. Sasa nilikuwa naomba wazoefu wa haka kanchi kanaitwa Botswana 🇧🇼
Nataka nikajaribu na hukoo anaejua hii nchi vizuri natakaiwa niandae nini na nn ili niishi vizuri hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.