botswana

Botswana ( (listen), also UK: ), officially the Republic of Botswana (Setswana: Lefatshe la Botswana), is a landlocked country in Southern Africa. Formerly the British protectorate of Bechuanaland, Botswana adopted its name after becoming independent within the Commonwealth on 30 September 1966. Since then, it has been a representative republic, with a consistent record of uninterrupted democratic elections and the lowest perceived corruption ranking in Africa since at least 1998. It is currently Africa's oldest continuous democracy.Botswana is topographically flat, with up to 70 percent of its territory being the Kalahari Desert. It is bordered by South Africa to the south and southeast, Namibia to the west and north, and Zimbabwe to the northeast. Its border with Zambia to the north near Kazungula is poorly defined but is, at most, a few hundred metres long.A mid-sized country of just over 2.3 million people, Botswana is one of the most sparsely populated countries in the world. Around 10 percent of the population lives in the capital and largest city, Gaborone. Formerly one of the poorest countries in the world—with a GDP per capita of about US$70 per year in the late 1960s—Botswana has since transformed itself into one of the world's fastest-growing economies. The economy is dominated by mining, cattle, and tourism. Botswana boasts a GDP (purchasing power parity) per capita of about $18,825 per year as of 2015, which is one of the highest in Africa. Its high gross national income (by some estimates the fourth-largest in Africa) gives the country a relatively high standard of living and one of the highest Human Development Index of continental Sub-Saharan Africa.Botswana is a member of the African Union, the Southern African Development Community, the Commonwealth of Nations, and the United Nations. The country has been among the hardest hit by the HIV/AIDS epidemic. Despite the success in programmes to make treatments available to those infected, and to educate the populace in general about how to stop the spread of HIV/AIDS, the number of people with AIDS rose from 290,000 in 2005 to 320,000 in 2013. As of 2014, Botswana has the third-highest prevalence rate for HIV/AIDS, with roughly 20% of the population infected.

View More On Wikipedia.org
  1. Licha ya Botswana kuwa nchi Tajiri na idadi ndogo ya watu Milioni 2.5 tuu lakini wananchi wake hawana ajira

    1.Botswana ni tajiri wa Madini ya Kila aina hasa Almasi. 2.Botswana ni Kati ya Nchi zinazofanya vizuri Kwa Utalii 3.Botswana Ina Watu wachache zaidi sawa na Mkoa wa Shinyanga 4.Botswana inapakana na Nchi zilizoendelea eg South Africa,Namibia,nk 5.Botswana Inaongoza Kwa Ufugaji wa Kisasa wa...
  2. P

    Kufika Botswana kwa Basi!

    Habari wakuu! Nahitaji kufanya safari ya basi kutokea DSM mpka Gaborone Botswana mpaka! Naomba wenye ujuzi wa route na mabasi yanaoyoenda huko anijuze!
  3. S

    Botswana kuanzisha kituo cha kufanya ithibati ya almasi . Lengo ni kuzuia Almasi kutoka Urusi kuuzwa nchi za G7

    Nchi ya Botswana inatarajia kuanzisha kituo cha kufanya ithibati ya almasi zinazouzwa kwenye nchi za G7 ifikapo mwakani 2025. Hii inakuja kutokana na hatua ya nchi za G7 kuamua kutonunua almasi kutoka Urusi. Kutokana na katazo hilo, kila almasi inayonunuliwa na nchi za G7 itatakiwa kufanyiwa...
  4. Kupitia Botswana na Msumbiji naiona Tanzania mpya kabla sijatoweka.

    Kwa wakongwe kama mimi, wanajiuliza, nini tutaona mageuzi ya maana na ya kweli. Walipofanya kweli Kenya, Malawi, na Zambia tulidhani ni wimbi na wingu vya kupita. Juzi tu, tuliona moto wa mageuzi na mapinduzi ukiwashwa kule Afrika Kusini ambapo ANC iliponea chupuchupu kujikuta pakanga. Kalba...
  5. Kama Botswana, Senegal wameweza mageuzi, lini Tanzania upinzani utashinda?

    Matokeo ya uchaguzi uliokwisha nchini Senegal unaonyesha chama tawala kililchopigwa chini kwenye uchaguzi wa urais uliopita, kwa mara nyingine kimebwagwa vibaya baada ya chama cha Oussumane Sonko cha PASTEF viti 131 wakati chama cha rais wa zamani cha Takku Wallu Sénégal kikiambulia viti 13 tu...
  6. Vipaumbele vitano vya Rais mpya wa Botswana, Duma Boko. Je, atatimiza kwa mwendo wa duma au atatoa boko?

    Baada ya kushinda uongozi ulioshikiliwa kwa karibu miongo sita na chama kimoja, hivi ni vipaumbele vitano vya Rais mpya wa Botswana, Duma Boko, kama alivyoahidi wakati wa kampeni na hata baada ya kushinda kiti hicho. Wananchi wa Botswana wanataraji kuona ahadi hizi zikitekelezwa kwa imani kuwa...
  7. Rais mpya wa Botswana, Duma Boko kuwapa wahamiaji kutoka Zimbabwe vibali vya muda vya kazi na makazi

    Rais wa Botswana, Duma Boko, akihutubia baada ya kuapishwa rasmi kuwa Rais wa nchi hiyo. Rais mpya wa Botswana, Duma Boko, amesema anataka kuhalalisha Wazimbabwe wasiokuwa na vibali rasmi kwa kuwapa vibali vya muda vya kazi na makazi. Ameeleza kuwa Wazimbabwe hufanya kazi ambazo wananchi wa...
  8. L

    Picha bora ya mwezi barani Afrika kutoka kwa Mke wa Rais Mteule wa Botswana na somo kwa wanawake wengi wa viongozi

    Ndugu zangu Watanzania, Hii ndio picha bora kabisa kwa Mwezi huu Barani Afrika kutoka Kwa Mke wa Rais mteule wa Botswana siku ya uapisho wa Mume wake. Ni picha inayoonyesha namna mwanamke huyu alivyo Mnyenyekevu, mtiifu kwa Mume wake ,Mwanamke mwenye maadili ya kiafrika, aliyefundwa...
  9. Botswana ndio wamechagua huyu wakamuacha Progressive Masisi?! Majanga matupu

    Demokrasia wakati mwingine huwa inaleta vitu vya ajabu sana, ni kama hamna kitu humo kwa huyo Rais mpya wa Botswana, ila ndio hivyo raia wakishachoka huwa wanasema bora wapigie hata jiwe kura kuliko establishment.
  10. Msimamizi Mkuu wa SADC Uchaguzi wa Botswana Mzee Pinda mfikishie salamu Rais Samia

    Habari wanajamvi! MH Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo K .Peter Pinda, alikuwa msimamizi mkuu wa Uchaguzi wa Botswana kwa mwavuli wa Jumuiya ya Maendeleo Ya kusini mwa Africa SADC. Nakuomba Mfikishie salamu Mama Abdul kuhusu uliyaona kwa macho yako uliposimamia uchaguzi huo wa Botswana. Usiishie...
  11. B

    Pre GE2025 CCM ya Tanzania fanyeni hivi ili kuepuka ya BDP ya Botswana

    Asalaam Aleykum wana jamvi. Taarifa zilizogonga vichwa vya habari wiki hii ni kung'olewa madarakani kwa chama tawala cha Botswana ambacho kimekuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 50. Hizi habari si njema sana kwa vyama vilivyoleta uhuru na ambavyo bado viko madarakani, ikiwamo Chama Cha...
  12. Chama tawala chini ya Masisi chapoteza madaraka katika uchaguzi Botswana baada ya miaka 58

    Inaripotiwa chama tawala cha BDP chini ya Rais Masisi nchini Botswana kimepoteza madaraka kwa Upinzani katika uchaguzi mkuu nchini humo na hatimaye kuhitimisha utawala wake wa miaka takribani 60, Hiyo itamfanya Masisi kuwa Rais wa kwanza kutawala kwa awamu moja tu baada ya kufurushwa na raia...
  13. K

    Tofauti ya Botswana Democratic Party na CCM!

    Botswana Democratic Party ni chama tawala cha Botswana na kimeongoza nchi toka uhuru 1966 na CCM ambayo ilikuwa Tano kimeongoza Tanzania toka 1961. Tofauti kubwa ni kwamba chama cha Botswana kimeleta maendeleo makubwa kwa nchi na kulinda rasilimali. Chama hiki kimekomesha rushwa . Kwa upande...
  14. Sina passport yeyote zaidi ya kitambùlisho tu Je, nitafika Botswana?

    Iko hivi wazee sina passport yeyote zaidi ya kitambùlisho tu. Sasa lengo langu ni kufika 🇧🇼Botswana. Nina mwenyeji hapo atanipokea. Sasa je, naweza kupita vini na ni njia ìpi rahisi na bajeti ni shingapi maana hiyo safari mimi kwenda lazima na hapo Botswana nina mwenyeĵi. Please mwenye...
  15. Naomba kujuzwa zaidi kuhusu nchi ya Botswana

    Wakuu mimi nikijana mpambanaji kiukweli mm ni Mtanzania halisi kabisa. Kwa sasa niko huku 🇰🇪 Kenya ila maisha haya kwa Ruto sijaridhika wazee mm kwa haraka nimefikiria Botswana 🇧🇼 Kwa sababu ni nchi ya ndoto yangu huwa naipenda nimepanga januari nipite kwa mama niende mpaka Zambia and then...
  16. Nani kawafundisha Botswana mambo ya nje ya uwanja mbona wanatisha hivi?

    Hawa Botswana wamekubuhu kwenye mbinu za nje ya uwanja, wanakufunga kwako kama umesinzia vile. Sijui wameimport product ya wapi inayowabeba kiasi hiki siku hizi. Jwaneng Galaxy alimpiga Wydad kwake, waarabu wakabaki wameduwaa wakawashutumu kwa kuroga. Leo Botswana imempiga Cape Verde huko huko...
  17. W

    Rais wa zamani wa Botswana afikishwa Mahakamani kwa mashtaka ya Makosa Jinani baada ya kurejea nchini humo

    Rais Ian Khama, amerejea Botswana baada ya kuishi uhamishoni Afrika Kusini kwa takriban tangu Mwaka 2021. Ijumaa ya Septemba 13, 2024, alifikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka 14, ikiwemo umiliki haramu wa silaha na utakatishaji fedha. Khama ameyakana mashtaka hayo, akidai kuwa ni...
  18. Wapi nikatafute maisha kati ya Botswana, Mauritius,Namibia au Sychelles?

    Bongo sitaki tena nataka nikimbie, naombeni ushauri kati ya hizo nchi wapi angalau nikienda sifi njaa nikipambana kati y'a Botswana, Mauritius, Namibia au Sychelles au South Africa Au Morocco na nchi nyingine ongezea. Bongo sitaki, Naombeni pia kama kuna wenyeji kwenye hizo nchi wanitafute PM...
  19. Botswana yagundua almasi kubwa yenye uzito wa karati 2,492, inaaminika kuwa ya pili kwa ukubwa duniani

    Jiwe kubwa la almasi lenye uzito wa karati 2,492, ambalo linaaminika kuwa la pili kwa ukubwa kuwahi kupatikana duniani, limegunduliwa nchini Botswana. Jiwe hili kubwa linaaminika kuwa ni kubwa zaidi kuwahi kupatikana tangu almasi ya Cullinan yenye uzito wa karati 3,106 ilipogunduliwa Afrika...
  20. Msaada nataka kwenda kujaribu maisha Botswana 🇧🇼

    Habari za hapa wana jamii, Mimi ni Mtanzania ila kwa sasa niko 🇰🇪 Kenya ila mmmh life ya Kenya kiukweli ni ngumu mno. Sasa nilikuwa naomba wazoefu wa haka kanchi kanaitwa Botswana 🇧🇼 Nataka nikajaribu na hukoo anaejua hii nchi vizuri natakaiwa niandae nini na nn ili niishi vizuri hapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…