Hii pikipiki nilininunua TAR 5 mwezi wa 9 nita attach risiti ya Manunuzi.
Pikipiki sina namna naweza ielezea, "ni mpya"
Naiuza sio kwa shida hivyo mteja apatikane asipatikane yote kheri.
Sababu ya Kuiuza ni kutokana na ngekewa ambayo imenitokea bila kutarajia, sikua nimetarajia kabisa kupata...