brazil

  1. Nimeumia, najiuliza kwanini TZ tunanunua kuku kutoka Brazil, Marekani na Saudi?

    Imeniuma Sana kusikia kuwa TZ tunanunua kuku kutoka Brazil, Marekani, Saudi Arabia, UAE, Cyprus na South Africa. Unadhami sababu ni nini?
  2. Watanzania waishio Marekani kwanini wasirudishwe nyumbani wakiwa na pingu mikononi kama wenzao wa Brazil na Mexico

    Serikali ya Mexico hapo juzi iliikatalia ruhusa ndege ya kijeshi ya Marekani kutua nchini humo ikiwa na abiria wenye asili ya nchi hiyo waishio Marekani. Hatua hiyo ni baada ya kuapishwa kwa raisi Donald Trump japo huko nyuma ilikwishawahi kuwapokea raia hao kwa mikono miwili ikiwaona kama tunu...
  3. C

    Nimepata offer ya ku volunteer huko Brazil kupitia kanisa letu

    Nimepata offer ya ku volunteer huko Brazil kupitia kanisa letu. Swali langu ni kwamba Kuna fursa huko? Maana sijawahi sikia watu wakiiongelea hii nchi, je kwa mtu alomalizia form six bila kwenda chuo, Kuna uwezekano wa kutoboa huko? Wadau karibuni...
  4. D

    Hongera mama Sasa tumekuwa ngoma moja na Brazil kimpira Tanzania inaogopeka sana umenyanyua soka la bongo.

    Mwenye macho haambiwi tazama. Tanzania mama ameinyanyua kimpira au kisoka. Tanzania inaogopeka sasa. Tumecheza na guinea nchi ambayo inq wachezqji mpaka wa Dortmund lakini tumewatandika. Hii yote ni guvu ya goli la mama Mitano tena.
  5. Hivi ina maana ile boeing max mpya, ilipelekwa Brazil halafu fasta ikarudishwa Tanzania

    Wenye mamlaka mnaenjoy sana. Mngejua hali ya huku chini basi tu. Wanamahesabu tuambie approximately ilitumia kiasi gani Siamini kama nakunywa gongo. Nimemaliza.
  6. Ni dharau kubwa Kiongozi wa Taifa letu kutoa risala huko Brazil wakati wanaotakiwa kusikiliza wanaendelea na shughuli za kupakua chakula

    Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio, Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula, Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo...
  7. J

    Ni baraka kubwa Rais wetu kualikwa G 20, wenzetu Nchi Jirani wanakimbizana na Maaskofu tu wako taabani Kiuchumi!

    Watanzania tuachage Ujinga na mambo ya Itikadi Kwenye masuala muhimu ya kitaifa yahusuyo Maendeleo yetu Nakumbuka mbwembwe za Ruto alipokutana na Biden akajimwambafy kuwa yeye ndiye Msemaji wa Africa Mashariki Sisi Rais Samia ameenda kujumuika na viongozi wakuu 20 wa Dunia, Kwanini...
  8. Kwanini Brazil walifanikiwa mapema kutengeneza ndege kabla ya China?

    Technology ya ndege ni ngumu Sana. Mataifa mengi duniani Yameshindwa kuunda ndege. Mataifa kama Japan, Korea, Russia, UK tulitegemea wangekuwa wanatengeneza ndege lakini wapi Cha ajabu Brazil wanatengeneza ndege za embrear. Hii ikoje. Kwanini Wamefanikiwa kuunda ndege zao from the scratch
  9. I

    Omary Mjenga: Gharama za Gulf Stream kwenda Rio de Janerio Brazil ni mara 7 ya Dreamliner ya ATC

    Hakika hawa machawa wa mama Kizimkazi wanatuona Watanzania bado ni wajinga sana! Omary Mjenga ni mwanadiplomasia Mwandamizi na Mtendaji Mkuu wa National Defense College leo ametetea Rais Samia kutumia ndege ya ATC aina ya Boeing Dreamliner yenye uwezo wa kubeba zaidi ya abiria 100 kibiashara...
  10. Serikali ya Brazil na Marekani zilivyoficha Siri ujio wa Aliens

    Tukio La Varginha (Roswell ya Brazil). Tarehe 13 Januari 1996 Komandi Ya Anga Ya Anga Ya Amerika Kaskazini (NORAD) ilitoa tahadhari kwa majeshi ya Brazil, kwamba kuna kitu kisichotambuliwa (UFO) kilomita 300 katika anga la mji wa Sao Paulo. Wakati jeshi la Brazil linaanza kuchukua hatua...
  11. PICHA: Rais Dkt. Samia aelekea Brazil kushiriki mkutano wa G20

    Rais Dkt. Samia akiagana na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) leo tarehe 16 Novemba, 2024 kabla ya kuelekea Rio de Janeiro nchini Brazil kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa kundi la G20. Pia, Soma: Rais...
  12. Brazil ni nchi tajili, GDP yake ni zaidi ya 2 trillion USD

    Mtaani kuna polojo nyingi hasa mashabiki wa mpira. Wanadai Brazil ni nchi maskini. Wanadai Brazil wanategemea mpira. Wanadai wa Brazil wana njaa. Jamani Brazil ni nchi tajili. GDP yake ni zaidi ya 2 trillion USD. Ni ya Saba kwa uchumi Mkubwa duniani. Uchumi wa Brazil ni 70% ya uchumi wa...
  13. Hii ni Brazil tusiyoonyeshwa mtandaoni

    Ndo maana mimi sio muumini wa hizi takwimu za WB na IMF kuhusu hali ya maendeleo. Nchi tajiri kama Brazil kuwa na barabara kama vile DRC inashangaza. https://www.facebook.com/share/r/poog7wqSU6Y4K2Dp/
  14. Warembo wawili wa Brazil wafariki baada ya kukataa kuvaa Jaketi za Kuokoa Maisha ili kupiga Selfies katika ajali ya Boti

    Huko nchini Brazil Influencers wawili wameripotiwa kufariki dunia baada ya kukataa kuvaa Jaketi za kuokoa maisha walipokuwa kwenye boti ya mwendo kasi iliyozama pwani ya Brazil. Walikataa kuvaa jaketi hizo kwa sababu hawakutaka kuharibu mwonekano wao kwenye picha walizokuwa wakipiga kwa ajili ya...
  15. Rais wa Brazil yuko sahihi, kwanini Waziri Jr Shemtembo hakucheza?

    Tumefika hapo tulipofika kwa kuwatumia wachezaji wetu wa ndani akina Shemtembo, kwanini kocha alibadili gear angani akaacha kuwatumia? Wachezaji wa nje wana miguu ya pesa, wanawaza timu zao zinazowapa fedha. Wachezaji wa ndani wanajituma sana ili waende kucheza nje, lakini wale wa nje...
  16. Mahakama ya Brazil yaufungulia Mtandao wa X (Twitter) baada ya kulipa faini

    Uamuzi huo umefanywa na Jaji Alexandre de Moraes ikiwa ni miezi miwili tangu Mtandao huo ilipofungiwa kutoa huduma zake nchini humo kwa madai ya kukiuka Sheria ya Mitandao Brazil's Supreme Court has said it is lifting a ban on the social media platform X, formerly known as Twitter. In his...
  17. Uraibu wa kamari: Rais wa Brazil atishia kufungia makampuni!

    Rais wa Brazil Lula Da Silva ametishia kuyafungia makampuni yanayojihusisha na michezo ya kubahatisha kupitia michezo mbalimbali mitandaoni ili kuondoa janga la uraibu lililowakumba raia wake! Hela ya chakula mtu anasukia mkeka! Brazil mulls ban on sports betting Brazilian President Lula da...
  18. F

    Tanzania kuwa moja ya nchi 10 zenye watu wengi zaidi duniani ifikapo 2100, kuizidi Mexico, Japan na Brazil!

    Ifikapo mwaka 2100 Tanzania itakuwa kati ya nchi 10 kubwa zaidi duniani kwa idadi ya watu. Pia Tanzania itakuwa moja ya nchi zenye uchumi mkubwa zaidi duniani.
  19. Tamasha la Travis Scott lasababisha tetemeko São Paulo!

    Tamasha la Rapa wa Marekani, Travis Scott lililofanyika usiku wa jana mjini São Paulo, Brazil limesababisha mitetemeko iliyofanana na tetemeko la ardhi hadi umbali wa vitongoji sita kutoka eneo la tukio. Mitetemeko hiyo kutoka kwenye tamasha lililouzwa tiketi zote, lililofanyika Allianz Park...
  20. A Clash of Titans: The Battle for Connectivity in Brazil

    In a world where information flows freely yet is often subject to the whims of power, the vibrant nation of Brazil found itself at the center of a digital storm. The government, embroiled in an escalating political crisis, made a controversial decision: a complete ban on Twitter. This directive...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…