brazil

  1. Pang Fung Mi

    Tanga yaanzisha battle na Simba makocha Brazil vs Argentina

    Hello, Yanga SC halali yao kuitwa utopolo na yeboyebo, mdebwedo, hii ligi ya makocha hamtaiweza Simba SC member mwanzilishi wa African Super League.(ASL). Yanga SC wamesajili kocha kituko, Hongera yanga Kwa usajili wa Angelina
  2. Tango73

    Kama Brazil alifungwa kwao na German kwa nini USM Alger asifungwe kwao na Yanga?

    Uwezo aliokuwa nao Yanga ni mkubwa tena ni wa kutisha katika medani za soka barani africa. kiukweli kweli kabisa Marumo Gallant walikuwa hatari sana na wakalala mabao mawili kwao africa kusini. Recodi hii inanipa ubavu wa kuamini 100% ya kuwa Yanga kesho ataifunga algeria timu ya USM Alger...
  3. M

    Mzuka wa ushangiliaji wa Kocha Robertinho haukuanzia hapa Simba; alikuwa hivyo toka anacheza mpira wa miguu kwao nchini Brazil

    Kohh koooh... Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo, ukipenda unaweza kumuita Robertinho alikuwa mshambuliaji nguli aliyechezea vilabu vikubwa nchini brazil, mwisho mwa miaka ya 70 mpaka mwishoni mwa miaka ya 80. Kocha huyu anayewaonoa wekundu wa msimbazi kwa sasa, aliwahi kukipiga katika vilabu...
  4. JanguKamaJangu

    Klabu yavunja mkataba wa Dani Alves akikabiliwa na tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia

    Beki wa zamani FC Barcelona ameendelea kubaki chini ya ulinzi wa Polisi jijini Barcelona Nchini Hispania kutokana na tuhuma zinazokabili wakati uchunguzi ukiendelea. Alves (39), anadaiwa kumshikashika na kumpapasa mwanamke mmoja bila ridhaa yake katika ukumbi wa muziki, Desemba 2022, tuhuma...
  5. JanguKamaJangu

    Brazil: Waandamanaji 1500 wakamatwa, aliyekataa matokeo ya Urais amelazwa Marekani

    Waliokamatwa ni wafuasi wa Rais aliyepita, Jair Bolsonaro ambao walivamia Bunge, Mahakama ya Juu na Ikulu Jijini Brasilia ikiwa ni wiki moja baada ya Luiz Inacio Lula da Silva kuapishwa kuwa Rais. Rais da Silva amelaani maandamano hayo na kuita ni ghasia za kigaidi na kuahidi kuwashughulikia...
  6. JanguKamaJangu

    Brazil: Wafuasi wa Rais wa zamani wavamia Bunge, Mahakama ya juu na Ikulu

    Wafuasi hao wa Jair Bolsonaro ambaye hakukubali kushindwa kwenye uchaguzi wa Urais, Jumapili Januari 8, 2023 walivamia Bunge, Mahakama ya Juu na Ikulu katika Mji Mkuu wa Brazil, wiki moja baada ya kuapishwa kwa, Rais Luiz Inacio Lula da Silva. Mamia ya waandamanaji waliruka vizuizi vya usalama...
  7. Valencia_UPV

    Website ya Ubalozi wetu Brazil inavutia

    Website ya Ubalozi wetu Brazil Inavutia Sana. Karibu tujionee namna ambavyo Balozi zetu zinavyovutia wawekezaji. Ambassador's Message | Tanzania Embassy in Brasilia, Brazil Ubalozi wa Kenya, Brazil https://kenyaembassybrazil.com.br/
  8. MSAGA SUMU

    Rais Samia amlilia Pele, ampa pole Rais wa Brazil

  9. Teknocrat

    TANZIA Nguli wa Soka Duniani, Mbrazili Pele afariki dunia

    Nyota huyo wa zamani wa Santos FC, anayetambuliwa kama mmoja wa Wanasoka bora zaidi wakati wote, alilazwa hospitalini tangu Novemba 29, 2022 huko Sao Paulo Ripoti ya utabibu kabla ya Krismasi ilionyesha alihitaji uangalizi kwa ajili ya ugonjwa wa moyo na figo, na amekuwa akipambana na saratani...
  10. M

    Namba hazidanganyi: Kwa takwimu hizi kwenye mechi kati ya Croatia na Brazil, Argentina aanze tu kutia maji wembe umpitie!

    Takwimu zinaonesha Croatia hakubahatisha kum funga Brazil! Alitawala mpira zaidi, alizuia (clearances) zaidi, na alikuwa makini zaidi kwa asilimia 100 alipopata kulenga goli (shots on target)!! Kwa takwimu hizi, Argentina watie maji mapema vinginevyo watanyolewa kavu kavu!! Match stats...
  11. britanicca

    New FIFA released Record is all About Brazil heritage

    Most FIFA World Cup goals scored : 🇧🇷Brazil - 232 🇩🇪Germany - 227 🇦🇷Argentina - 138 🇮🇹Italy - 128 🇫🇷France - 124 🇪🇸Spain - 106 Most FIFA World Cup winners : 🇧🇷Brazil - 5 🇩🇪Germany - 4 🇮🇹Italy - 4 🇦🇷Argentina - 2 🇺🇾Uruguay - 2 🇫🇷France - 2 🇪🇸Spain - 1 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 England - 1 Most match wins in...
  12. Execute

    Ningekuwa kocha wa Brazil ningechukua kombe la dunia mapema asubuhi

    Wachezaji ambao nisingewaita ni kama Neymar, Paqueta, Richarlison, Fred, Raphinha na Anthony. World cup sio kwa ajili ya mabishoo na wavivu. Ningembadilisha Martinelli ili acheze winga ya kulia, kushoto angekaa Vinicious halafu namba tisa angesimama Firmino huku namba kumi ningempa Gabriel...
  13. I

    Brazil wametolewa kihaki

    Brazil wameyaaga mashindano ya Kombe la Dunia mwaka 2022 baada ya kufungwa 4-2 na Croatia kwa mikwaju ya penalti. Hakika Brazil ilikuwa ni ile ya akina Pele, Tostao, Garrincha, Didi na wengineo na hata ile ya akina Zico na Falcao vilevile na ya akina Ronaldo de Lima na Ronadinho na ile ya akina...
  14. Execute

    Kwa mpira wanaocheza Brazil na kukata pumzi kipindi cha pili, nawashauri mashabiki wake waandae machozi na vitambaa vya kuyafutia

    Muda huu Brazil wamejaa matumaini hewa kwamba wao ni bora. Kiufundi, Korea hawakubana njia, waliacha open spaces kila mahali na walikuwa na mfumo mbovu wa kukaba pale walipopoteza mpira. Nikiwaangalia Croatia, ninaona Brazil akienda kukutana na mechi ngumu sana japo wakijitahidi watapita...
  15. M

    Naifananisha Brazil na Yanga SC huku South Korea ikiwa ni Zaalan FC kwa kinachoendelea

    Leo watu wanajipigia tu huku wakiwa wanajisifu kwa kupiga bomu wodi Namba 26 (mochwari) Muhimbili. Wenye akili wote na tunaojua mpira tunajua timu ya kuishangilia, inayopambana na inaweza kufika mbali na ina 99% ya kufika fainali na hata kuwa mabingwa ni Argentina.
  16. JanguKamaJangu

    Dani Alves kuweka rekodi ya nahodha mkubwa zaidi wa Brazil katika Kombe la Dunia

    Beki huyo anatarajiwa kuiongozi timu yake ya taifa katika mchezo wa kukamilisha Hatua ya Makundi dhidi ya Cameroon, leo Desemba 2, 2022. Alves (39), beki wa kulia ambaye anaichezea UNAM Pumas ya Mexico atapewa nafasi hiyo kwa kuwa tayari timu yake imeshakata tiketi ya kucheza Hatua ya 16 Bora...
  17. comte

    Kupinga uchaguzi wa rais Brazil inaruhiswa ila ukipeleka ushahidi wa mchongo na ukashindwa unapigwa fine

    https://www.yahoo.com/news/brazil-election-court-throws-bolsonaro-144821018.html
  18. technically

    Brazil au Argentina mmoja bingwa Kombe la Dunia

    Naiona kabisa Brazil Au Argentina wakichukua Kombe la Dunia kwasababu moja tu, timu nyingi za Ulaya huwa hazina bahati sana zinapocheza Kombe la Dunia nje ya Ulaya. Ukindoa hiyo hoja mwaka huu, Brazil wana kikosi kinachokaribia kile cha mwaka 2002 ingawa siyo kwa asilimia kubwa. Pia Argentina...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    🇧🇷Mashabiki wa Brazil World Cup 2022 Qatar tukutane hapa🇧🇷

    Position No. Player Club Age Caps GK 1 Alisson Liverpool (ENG) 30 56 GK 23 Ederson Manchester City (ENG) 29 18 GK 12 Weverton Palmeiras (BRA) 34 11 DEF 4 Marquinhos PSG (FRA) 28 70 DEF 14 Eder Militao Real Madrid (SPA) 24 23 DEF 3 Thiago Silva Chelsea (ENG) 38 108 DEF 2 Danilo...
  20. BARD AI

    Kocha wa zamani wa Brazil, Scolari amethibitisha kustaafu

    Luiz Felipe Scolari, ambaye aliiongoza Brazil kunyakua taji lake la mwisho la Kombe la Dunia 2002 na kuipeleka Ureno hadi fainali ya Ubingwa wa Uropa mnamo 2004, amethibitisha kustaafu ukufunzi wa Soka. Mbrazil huyo mwenye umri wa miaka 74 aliaga baada ya ushindi wa nyumbani wa Athletico wa 3-0...
Back
Top Bottom