brazil

  1. JanguKamaJangu

    Neymar afutiwa mashtaka yaliyokuwa yakimkabili kuhusu usajili wake

    Mshambuliaji huyo wa Paris St-Germain na timu ya taifa ya Brazil alikuwa akikabiliwa na mashtaka hayo yaliyohusu usajili wake mwaka 2013 kutoka Santos kuhamia Barcelona akidaiwa usajili huo ulikiuka baadhi ya masuala ya kifedha. Katika kesi hiyo waendesha mashtaka walitaka nyota huyo ahukumiwe...
  2. Miss Zomboko

    Bachelet alaani mashambulizi ya Bolsonaro kwa mahakama za Brazil

    Mkuu wa haki za binaadamu wa Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet amemkosoa vikali Rais Jair Bolsonaro akisema ameongeza mashambulizi yake kwa idara ya mahakama nchini Brazil na mfumo wa upigaji kura kabla ya uchaguzi wa Oktoba. Bachelet ameonya kuwa hali hiyo inasababisha kitisho kwa...
  3. ryan riz

    Hawa Wabrazil wa Singida Big Starz si wa kitoto

    Hapa nawacheck naona ligi kuwa ngumu sana kule top 4. Wana nguvu speed, wepesi, control na namna ya ukokotaji wa mpira na zile press ni hatari.
  4. MK254

    KQ intends to buy 40 flying taxis from Brazil

    Kenya Airways(KQ) has signed a deal that will see it buy 40 flying taxis from two Brazilian firms as part of the airline’s diversification through its new subsidiary Fahari Aviation. The carrier said on Tuesday it had signed a letter of intent (LOI) with EVE UAM, LLC, a subsidiary of Eve...
  5. JanguKamaJangu

    Neymar mbioni kustaafu kuichezea Brazil

    Nyota wa Brazil, Rodrygo amedai kuwa kuna uwezekano wa nahodha wa timu yake, Neymar akastaafu kuichezea timu ya taifa hilo kisha kumkabidhi yeye jezi namba 10. Neymar ambaye amefunga mabao 74, akishika nafasi ya pili nyuma ya Pele aliyefunga mabao 77 katika historia ya Brazil inadaiwa Michuano...
  6. FaizaFoxy

    2014 Kombe la Soka la Dunia Pigo kubwa kwa Brazil Mafanikio makubwa kwa Mwanahabari aliyejielewa

    Mabadiliko mema kabisa kwa mwanahabari wakati Brazil inapata kipigo kikubwa kilichowahuzunisha si Brazil bali wapenda soka wote duniani. Video clip inajieleza.
  7. Y

    BRAZIL inaenda kuwa bingwa wa Kombe la Dunia 2022

    WAZEE WA SAMBA BALL, ni miaka 20 iliyopita tokea Brazil itwae Kombe la Dunia kwenye ardhi ya Japan na Korea ikiwa na nyota pendwa Ronaldo de Lima, Rivaldo, Cafu, Zee la mashuti Roberto Carlos, Dida, Gilbeto Silva bila kumsahau Ronaldinho Gaucho hakika Brazil ni taifa lililojaliwa vipaji lukuki...
  8. Suley2019

    Kifo cha raia wa Congo chazua taharuki Brazil

    Polisi nchini Brazil wamewakamata wanaume watatu kuhusiana na mauaji ya kikatili ya mhamiaji wa Congo mjini Rio de Janeiro. Mauaji hayo yaliyonaswa kwenye video yamesababisha ghadhabu ya umma. Jamaa wanasema Moise Kabagambe alishambuliwa baada ya kumtaka bosi wake alipe mshahara anaodaiwa kwa...
  9. Venus Star

    Denilison left winger hatari (Kwenye kizazi cha Dhahabu cha Brazil)

    Huyu winger alikuwa anasepa na kijiji. Alikuwa winga hatari kwenye kizazi cha dhahabu cha Brazil. Huku namba 10 akicheza Rovaldo, Mzee ilikuwa hatari. Ilikuwa Brazil kweli kweli.
  10. beth

    #COVID19 Brazil: Kamati ya Seneti yapendekeza Rais Jair Bolsonaro ashtakiwe

    Kamati ya Seneti nchini imepiga kura kupendekeza Rais Jair Bolsonaro ashtakiwe kwa namna alivyoshughulikia janga la Virusi vya Corona. Hakuna uhakika kwamba kura hiyo itapelekea afunguliwe mashtaka kwani mapendekezo ya Ripoti lazima yatathminiwe na Mwendesha Mashtaka Mkuu ambaye ni Mteule wa...
  11. Miss Zomboko

    Rais wa Brazil kushtakiwa kwa makosa ya Uhalifu Dhidi ya Binadamu

    Brazil's president will be accused of a series of crimes over his handling of the country's COVID-19 pandemic, a draft of a major inquiry report says. The report is the culmination of a six-month inquiry that has revealed scandals and corruption in government. President Bolsonaro has been...
  12. beth

    #COVID19 Vifo Nchini Brazil vyafikia 600,000

    Taifa hilo limerekodi zaidi ya vifo 600,000 vya COVID19, ikiwa ni Nchi ya pili duniani kufikisha idadi hiyo baada ya Marekani ambayo imerekodi vifo 672,196 tangu kuanza kwa mlipuko Brazil imerekodi visa vipya 18,172 na vifo 615 kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Wizara ya Afya =======...
  13. Miss Zomboko

    Brazil yapitisha Sheria kuzuia Mitandao ya Kijamii kufuta Akaunti na maudhui ya Wateja

    Rais wa Brazil Jair Bolsonaro ametia saini kanuni ambayo inakusudia kuzuia mamlaka za kampuni za mitandao ya kijamii kufuta akaunti na machapisho. Kulingana na ripoti ya BBC, Bolsonaro alisema kuwa mabadiliko ya kanuni yanahitajika ili kupambana na kufutwa "kiholela" kwa akaunti za watumiaji...
  14. Analogia Malenga

    #COVID19 Brazil: Sumu ya Nyoka ‘jararacussu’ Yabainika Inaweza Kupambana na Covid-19

    Watafiti nchini Brazil wamegundua aina ya nyoka ya jararacussu ambaye sumu yake ina protini ambzo zinavyoweza kupambana na #COVID19 Vitu vinavyopatikana katika sumu ya Jararacussu inaweza kupambana na PLPro ambayo ni enziyamu ya Corona bila kuathiri seli nyingine, ufanisi wake ni 75%...
  15. beth

    Kauli za Rais wa Brazil kuhusu udanganyifu katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2022 kuchunguzwa

    Mahakama Kuu ya Uchaguzi Nchini humo (TSE) imefikia uamuzi wa kumchunguza Rais Jair Bolsonaro kutokana na kauli zake zinazodai kutakuwepo udanganyifu katika Uchaguzi Mkuu wa 2022. Bolsonaro ambaye anatarajiwa kugombea muhula wake wa pili mwakani amekuwa akisema mara kwa mara kwamba mfumo wa...
  16. Sky Eclat

    Kilimo cha ndizi Brazil

  17. K

    #COVID19 Viwapi virus vya SA, UK & Brazil

    Wadau, Kama mnavyokumbuka kuna kipindi viliibuka aina mpya za virusi vya korona vya kutoka South Africa, Brazil and UK. Virus hivi hasa kile cha SA vilisemekana kuwa hatali zaidi na kuna baadhi ya nchi zilifikia hatua ya kisotisha safari zote kwenda SA Muda umekwenda kwa sasa hatusikii...
  18. Greatest Of All Time

    Copa America 2021 Final: Argentina Vs Brazil

    Usiku wa leo, Katika dimba la Maracana pale Brazil, kutapigwa mchezo wa kukata na shoka kati ya Argentina Vs Brazil kuanzia saa 9:00 Usiku kwa masaa ya Afrika Mashariki. Mara ya mwisho Argentina kutwaa ubingwa huo ni mwaka 1993 wakati Brazil ni bingwa mtetezi. Brazil imeandaa michuano hiyo...
  19. beth

    #COVID19 Brazil: Vifo vitokanavyo na COVID-19 vyafikia 500,000

    Idadi ya waliopoteza maisha kutokana na mlipuko wa Corona Nchini Brazil imefikia 500,000 huku Wataalamu wakionya janga hilo linaweza kuwa baya zaidi kutokana na kasi ndogo ya utoaji Chanjo Maelfu ya watu wameandamana Jumamosi dhidi ya Serikali wakitaka mabadiliko katika programu ya Chanjo. Miji...
  20. beth

    Brazil: Mahakama Kuu yaamua Copa America kuendelea licha ya kitisho cha Corona

    Mahakama Kuu ya Brazil imesema Michuano ya Copa America ambayo inatarajiwa kuanza Jumapili inaweza kuendelea Nchini humo licha ya janga la Corona. Majaji wametoa uamuzi huo baada ya Mkutano wa dharura kusikiliza maombi ya kusitisha mashindano hayo kutokana na COVID19 ikielezwa yatahatarisha...
Back
Top Bottom