Maandamano yanaendelea Nchini Brazil kuhusu namna janga la COVID-19 linavyoshughulikiwa na Serikali ya Rais Jair Bolsonaro.
Katika Mji Mkuu wa Brasilia, maelfu ya watu wamekusanyika mbele ya Jengo la Bunge wakitaka Rais kufunguliwa mashtaka na kushinikiza upatikanaji wa Chanjo zaidi.
Pia...
Kamati ya rais ya kupambana na janga la Covid-19 nchini Nigeria, imesema taifa hilo litapiga marufuku wasafiri wanaokuja kutoka India, Brazil na Uturuki, kutokana na kuenea pakubwa kwa virusi vya corona katika mataifa hayo.
Taarifa ya mwenyekiti wa kamati hiyo Boss Mustapha, imesema watu walio...
Pamoja na kwamba maambukizi ya maradhi ya corona nchini Brazil kutajwa kuwa makubwa na kwamba siku ya Ijumaa pekee watu zaidi ya 4000 walikufa kutokana na athari za maradhi hayo.
Pamoja na hivyo nchi hiyo imeamua kufungua kila kitu ikiwemo mashule na mighahawa ili shughuli ziendelee.
Hatua...
Mahakama Kuu nchini Brazil imeamuru Baraza la Senate kuchunguza jinsi serikali ya nchi hiyo ilivyodhibiti maambukizi ya virusi vya corona, huku ikikataza makanisa kufunguliwa na kuzidisha uwezekano wa kuongeza mvutano baina ya Rais Jair Bolsonaro na mhimili wa mahakama.
Uchunguzi huo utahusisha...
Mahakama nchini Brazil imemuamuru Rais wa nchi hiyo, Jair Bolsonaro kumlipa fidia mwandishi wa habari wa kike kwa kumtolea maneno ya kumdhalilisha.
Uamuzi huo wa Mahakama umekuja kufuatia kauli aliyoitoa Rais Bolsonaro dhidi ya Patricia Campos Mello ambaye ni mwandishi wa habari wa gazeti la...
Brazil imerekodi idadi kubwa zaidi ya vifo ndani ya siku moja vinavyotokana na virusi vya corona tangu kuanza kwa mlipuko.
Jumla ya watu 2,286 walifariki dunia ndani ya saa 24 pekee siku ya Jumatano na kufanya idadi ya vifo kufikia 268,370, kwa mujibu wa takwimu za Chuo Kikuu cha John Hopkins...
Brazil imeendelea kuweka rekodi ya vifo vingi kwa siku ya pili mfululizo baada ya kurekodi vifo 1,910 siku ya Jumatano pekee, huku watu 71,704 wakipata maambukizi mapya.
Hii ni baada ya vifo vya watu 1,641 siku ya Jumanne pekee, kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Afya ya taifa hilo, ikiwa ni...
Mods tafadhali msiunganishe uzi huu na mwingine wa kuhusu PELE`
Jamani hamna wa kulinganishwa na Pele` wa Brazil. Hamna wa kumfikia Adson Arantes Dos`Nacimento(PELE).
Pele wa Brazil ndiyo mchezaji wa mpira wa miguu wa hali ya juu zaidi kuwahi kutokea duniani mpaka sasa, mimi hapa mwenye uzi...
WARNING: GRAPHIC CONTENT
In a Carrefour supermarket, 40-year João Alberto dies after security agent kneels on his back for four minutes; protests erupt across Brazil
Note from BBT: When I first heard the slogan Black Lives Matter some years ago, one of my first thoughts was, if black lives...
Hello,
If you want an application to be able to watch sports channels in Brazil, especially football. You can download playtv geh at TechBigs
Do you know other good apps?
Tena mtu mzima mwenye heshima zake kama kiongozi, ameanikwa kwenye runinga ya taifa la Brazil na sasa taarifa zake zimeenea duniani kote
Chico Rodrigues reportedly had 30,000 reais (more than £4,000) in his underpants. Photograph: Adriano Machado/Reuters
Jair Bolsonaro’s efforts to portray...
Shirikisho la Mpira wa Miguu la Nchini, Brazil limetangaza sera mpya ya malipo na posho kwa wanasoka Wanawake na Wanaume
Sera hiyo itafawanya wanasoka Wanawake na Wanaume wawe wanalipwa kiwango sawa.
CBF, imeeleza kuwa Wachezaji wa Timu za Taifa(Wanaume na Wanawake) za Brazil kwa ngazi zote...
Kwa kile kinachoitwa muendelezo wa Marekani kutumia mkono wake mrefu na wenye nguvu kuiwekea vikwazo kampuni ya Huawei kutoka China, sasa mbinyo huo umeifikia Brazil.
Balozi wa Marekani nchini Brazil ameionya nchi hiyo kua itakabiliwa na hatari iwapo itairuhusu kampuni ya Huawei kujenga mitambo...
Kupitia chaneli ya Taifa, Rais Jair Bolsonaro (65) ametangaza kupata maambukizi ya #CoronaVirus baada ya kufanyiwa vipimo kwa mara ya nne siku ya Jumatatu kufuatia kuonesha dalili za ugonjwa huo
Bolsonaro amekuwa mara kwa mara akipuuza ugonjwa huo huku akiuita ni mafua madogo ya kawaida na...
Habari!
Kutokana na kushamiri ama kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya corona nchini Brazil, Mahakama nchini humo imemuamuru Rais wa nchi hiyo Jair Bolsonaro kuvaa barakoa ya kinga la sivyo 'kukiona cha mtema kuni'.
Jair Messias Bolsonaro.
Taarifa kamili:
Katika uamuzi uliotolewa...
Viongozi wa Brazil walichukulia poa hiki kirusi, wakakaidi ushauri wa wataalam na kujichokea, leo idadi ya waathirika imegonga 960,309, ikizingatiwa hao ni waliopima ila kila mmoja wa hao inawezekana kaambukiza watano na hao watano kila mmoja ana watano wake, yaani mtandao balaa.
Hiki kitu...
Hii ni kutokana na serikali kuifunga website iliyokuwa ina report trend ya maambukizi ya coronavirus/covid-19.
Mahakama imetoa hukumu kuwa kupata habari ni takwa la kikatiba na Rais asitumie ugonjwa wa covid-19 for political gain!
Mh CJ Juma, umewasikia wenzako?
====
A Brazilian supreme...
Brazil imeondoa takwimu za COVID19 kwenye tovuti ya Serikali. Wizara ya Afya imesema kuanzia sasa itakuwa inatoa takwimu za saa 24 na idadi ya jumla itaacha kutolewa
Uamuzi wa kuondoa takwimu za jumla umepingwa vikali na wanahabari pamoja na Wabunge nchini humo
Rais Jair Bolsonaro amesema...
Uzi huu ni mrefu.
Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa.
Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
afrika
afya
brazil
ccm
corona
covid
covid-19
covid19
hela
jafo
korona
kubwa
lockdown
magufuli
maisha
maombi
mungu
nyuzi
pandemic
pepo
propaganda
rais
serikali
tahadhari
taifa
taifa letu
tanzania
ulaya
ushauri
video
wanawake
watanzania
who
wizara ya afya
| Jamhuri ya Shirikisho la Brazil, República Federativa do Brasil au Federative Republic of Brazil
Ni taifa linalopatikana bara la Amerika ya Kusini, lenye ukubwa wa eneo zipatazo millioni 8,511,965 Km2 sawa na millioni 3,286,488 Square Mile's.
Brazil iliyopakana na Argentina, Bolivia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.