Kilichojiri Septemba 8, 2026: Mwendelezo wa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, shahidi wa nne wa utetezi, Brenda Rupia, ambaye ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, alisema hotuba ya Lissu ya Aprili 3, 2025 ilihusu mageuzi ya mfumo wa Uchaguzi...
Katika mahojiano yake na Kituo cha Redio cha East Africa radio, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA Taifa, Brenda Rupia Jonas, amedai kuwa wana ushahidi wa kutosha, ikiwemo rekodi za sauti, za viongozi waandamizi wa CCM wakiwalipa watu kiasi cha shilingi milioni tatu ili kufanya...