Habari wana JF,
Ule unaoitwa mtandao, una kila sampuli ya memba/watu. Wapo kila mahali. Ndio maana wanafanikiwa.
Wamo ndani ya vyama vya siasa vyote, wamo JF, IG, X, Fb, TikTok, threads, n.k. Wapo bongo, wapo diaspora.
Ni kama team ya mpira, kuna goalkeepers, defenders, midfielders, attackers...