Upotoshaji, Britanicca hakuanza kumkosoa Samia, bali kuanzia kwa Jakaya na Magufuli nao walikaangwa

Upotoshaji, Britanicca hakuanza kumkosoa Samia, bali kuanzia kwa Jakaya na Magufuli nao walikaangwa

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Watu ukikosoa wanasema kisa mi si muislamu ndo maana namkosoa Samia,

Kwamba hata Jakaya nilimkosoa ila Magufuli hapana!

Kama kuna mtu alimlaza Magufuli basi alikuwa Mimi, na kule twitter nilikuwa na combination na Kigogo kabla hajarejea kusifu,

Ila Magufuli nimemkaanga sana


Uzi wa pili



Wa tatu


Hapa nilimtetea Kikwete kiaina nikimponda Katto


Uzi Mwingine kwa kifupi nina nyuzi zaidi ya 20 za kumkaanga Mekko



Tuendelee

Tuendelee

Wa moto

Tena

BRITANICCA
 
Kifo Cha Magufuli nilikijua Kabla Kabla Kabla hata Kabla Lissu hajajua,

Ubalozi wa China ulikuwa na una watu walionijuza Tarehe 8 . Hata Samia Kurekodi ile Clip akisaidiwa na Mabeyo wakaipost it wasn't easy

Kundi la Wahaya na Wasukuma lilitaka Jambo fulani kufanyika bila Kufuata taratibu na Katiba,

Pia Kuna jambo la Kujifunza kupitia quote hii ya Lissu


"I was the first to break the news that something strange was going on with Magufuli’s health. Following tips from credible sources in the United States and South Africa three days earlier, on 7 March, a Sunday, I tweeted that the president had not been seen in church that day, an unusual event for a president, whose weekly church attendances were the subject of live television coverage and an obligatory front-page story in all the major newspapers, both government-owned and privately held" by Lissu
Here
 
 
Watu ukikosoa wanasema kisa mi si muislamu ndo maana namkosoa Samia,

Kwamba hata Jakaya nilimkosoa ila Magufuli hapana!

Kama kuna mtu alimlaza Magufuli basi alikuwa Mimi, na kule twitter nilikuwa na combination na Kigogo kabla hajarejea kusifu,

Ila Magufuli nimemkaanga sana


Uzi wa pili



Wa tatu


Hapa nilimtetea Kikwete kiaina nikimponda Katto


Uzi Mwingine kwa kifupi nina nyuzi zaidi ya 20 za kumkaanga Mekko



Tuendelee

Tuendelee

Wa moto

Tena

BRITANICCA
Sawa kabisa, twazikumbuka makala zako
 
Sawa kabisa, twazikumbuka makala zako
Hakika nakumbuka hata orodha ya vilivyofeli
MISSION FAILED....!
1>Tanzania ya viwanda❌
2>Ajira kwa vijana❌
3>Lap top kila mwalimu❌
3>Million 50 kila kijiji❌
4>Kila nyumba bomba la maji❌
5>Mikopo elimu ya juu❌
6>Matibabu kwa wazee bila malipo❌
7>Kupandisha mishahara❌
8>Umeme kukatikakatika❌
9>Barabara za rami kila mtaa/kijiji❌
10>Elimu bure(madarasa,madawati)❌
11>Kuinua uchumi wa nchi na wananchi❌
12>Nchi kujiendesha bila wahisani❌
13>Mazingira rafiki kwa wawekezaji❌
14>Miradi ya ndani( tenda kwa wazawa)❌
15>Kupunguza matumizi ya serikali❌
16>Masikini kuishi kama matajiri na matajiri kuishi kama masikini❌❌❌
17>Ushirikiano na wafanya biashara❌
18>Kuheshimu katiba❌
19>Hela za makinikia( kila mtanzania noah)❌
20>Kubangua korosho kwa mabomu/meno❌
21>Kuua upinzani❌

Nikikumbuka hizi sound nachoka kabisaaaa!

Mpendeni ninyi
 
Back
Top Bottom