Mgombea wa CHADEMA anapewa fomu na msimamizi kuwa hajateuliwa kugombea

Mgombea wa CHADEMA anapewa fomu na msimamizi kuwa hajateuliwa kugombea

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Mgombea wa ChademaTz anapewa fomu na msimamizi msaidizi wa uchaguzi, Bi. Diana Kabondo, ambayo imejazwa kuwa hajateuliwa kugombea nafasi ya ujumbe wa mtaa, Mji wa Bariadi, kabla hata siku ya uteuzi kufika.
IMG_20191101_135422.jpg
 
Hivi waziri Hon Jafo yupo nchi hii au kasafiri kwenda nchi ya Kusadikika kama siyo kufikirika?????
Niiombe serikali yetu itangaze matokeo ya uchanguzi leo au kesho watu waendelee na shughuli za kujenga uchumi ili kesho iwahi kufika!!!!!!!!!!
 
Nahisi huyo mtendaji ni nabii. Ashaona kuwa hatateuliwa na hata hivyo amemsaidia ili asipoteze muda wake. Haya mambo haya!!!! Yataisha tu.
Sababu za kutoteuliwa MAJINA SIO SAHIHI [emoji23][emoji1787][emoji1787] aliweka majina ya wife
 
Sababu za kutoteuliwa MAJINA SIO SAHIHI [emoji23][emoji1787][emoji1787] aliweka majina ya wife
Mchawi hanaga aibu mkuu. Akikosa cha kuloga hata mbwa koko anapigwa kifafii. Sawa na mwizi tu. Akikosa cha kuiba anachota udongo.
 
Mgombea wa ChademaTz anapewa fomu na msimamizi msaidizi wa uchaguzi, Bi. Diana Kabondo, ambayo imejazwa kuwa hajateuliwa kugombea nafasi ya ujumbe wa mtaa, Mji wa Bariadi, kabla hata siku ya uteuzi kufika.View attachment 1250763
Mimi ni mwanachama wa cdm tena mtiifu sana.
Lkn sikuona umuhimu na sioni sababu ya uongozi wa cdm taifa kuamua kushiriki hizi chaguzi ambazo tayari matokeo yake yashajulikana.
 
Nahisi huyo mtendaji ni nabii. Ashaona kuwa hatateuliwa na hata hivyo amemsaidia ili asipoteze muda wake. Haya mambo haya!!!! Yataisha tu.
Yataisha lini?
Muda ni huu sasa wa kufanya maamuzi na kuishauri serikali kutoingia gharama za uchaguzi na badala yake watangaze kuwa wagombea wa ccm wamepita bila kupingwa nchi nzima.
 
Yataisha lini?
Muda ni huu sasa wa kufanya maamuzi na kuishauri serikali kutoingia gharama za uchaguzi na badala yake watangaze kuwa wagombea wa ccm wamepita bila kupingwa nchi nzima.
Naunga hoja mkono. Wapinzani waachane nao. Na hata 2020 waachana nao. Ila ndugu nakuapia ikifika siku ya mwisho kurudisha form au siku mbili kabla ofisi za vijiji na kata zitafungwa na nyasi zitaoteshwa. Hao ndo CCM Wanaopendwa.
 
Mimi sioni kosa sababu mfano mgombea kaja jina la kitambulisho Cha uraia anasomeka Hamis Juma halafu kwenye fomu ya kuomba kugombea kajaza Asha Ngedere .Nampa fomu ya kumkatalia hapo hapo
 
Yataisha lini?
Muda ni huu sasa wa kufanya maamuzi na kuishauri serikali kutoingia gharama za uchaguzi na badala yake watangaze kuwa wagombea wa ccm wamepita bila kupingwa nchi nzima.
Naunga mkono hoja.
Hon Jafo pls pitia hapa uufanyie kazi ushauri huu murua kaisa ambao utakufanya upate legancy ya kukumbukwa daima, kama siyo milele na milele.
 
Mbona fomu hazina pa kuandika jina la msimamizi, bali ni signature tu!!!!
 
Back
Top Bottom