Mgombea wa CHADEMA anapewa fomu na msimamizi kuwa hajateuliwa kugombea

Mgombea wa CHADEMA anapewa fomu na msimamizi kuwa hajateuliwa kugombea

Jafo kama Jafo hana na hatokuwa na maamuzi juu ya hilo kwani kila kitu kwa sasa ni mwenyekigoda
Naunga mkono hoja.
Hon Jafo pls pitia hapa uufanyie kazi ushauri huu murua kaisa ambao utakufanya upate legancy ya kukumbukwa daima, kama siyo milele na milele.
 
Mimi sioni kosa sababu mfano mgombea kaja jina la kitambulisho Cha uraia anasomeka Hamis Juma halafu kwenye fomu ya kuomba kugombea kajaza Asha Ngedere .Nampa fomu ya kumkatalia hapo hapo
Wewe si bwe.GE tu?
 
since 1992 yataisha tu kwa maneno hivyo hivyo with no action, hadi unazeeka hivyo hivyo...
Nahisi huyo mtendaji ni nabii. Ashaona kuwa hatateuliwa na hata hivyo amemsaidia ili asipoteze muda wake. Haya mambo haya!!!! Yataisha tu.
 
Sifa zikizidi inakuwa ni aibu, alafu utasikia CCM imepata ushindi wa kishindo cha tsunami
Mbozi nasikia kimewaka! Ofisi za serikali na ccm zimechomwa moto kwa sababu ya figisu za watendaji.
Wangewa ...............hata wawili tuu, fundisho lingefika
 
Sina uhakika kama Jafo ana ubavu wa kwenda kinyume na matakwa ya Boss wake!!
Semina elekezi na juice za Ikulu lazima zilipiwe na hao watendaji!!
 
Back
Top Bottom