Bukoba is a city situated in the north west of The United Republic of Tanzania on the south western shores of Lake Victoria. It is the capital of the Kagera region, and the administrative seat for Bukoba Urban District. Population estimate: 100,000. The city is served by Bukoba Airport and regular ferry connections to and from Mwanza, as well as roads linking to Uganda's Rakai District for the cross border car commuters with plans underway for a standard gauge railway construction[1] to fulfil the high ambitions of Uganda.
Sisi wananchi wa Bukoba Vijijini tumemkataa Rweikiza then nyie mnaforce mambo sasa subirini kichapo kikali.
Nadhani utaratibu unajulikana Wahaya tuko vizuri kichwani.
Mazoea mnayoleta mtayajutia Hugo Rweikiza kafanya jambo gani zuri , hata barabara moja haipo Tangia kumpa ubunge ...sasa...
Katika majimbo yote hapa Tanzania, kwa Bukoba mjini CCM mtachezea kichapo cha karne.
Hivi huyo diwani wa Ijuganyondo, kamala anawezaje kumshinda Chief kalumuna kwenye ubunge? Hapo CCM jiandaeni kulia tena uzuri sisi Bukoba mjini tunajitambua.
Happiness Essau ALITAKA JIMBO LA BUKOBA MJINI, AJITOSA KUCHUKUA FOMU
Bi Happiness Essau akikabidhiwa fomu yake ya kugombea Ubunge Jimbo la Bukoba Mjini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Bi Happiness Essau amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini...
Mimi si mzawa wa Bukoba ila nazijua vizuri siasa za Bukoba. Kwa sasa hivi CCM haina mtu wa kumtikisa mgombea ubunge wa CHADEMA Ndg. Chief Kalumuna.
Nasema ukweli kabisa bila kuficha, Chief anatakiwa apambanishwe na vichwa vyenye nguvu ya ushawishi kama King James otherwise wanaCCM tujiandae...
Huyu kamanda ndiye alikuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba, uko uzi humu JF ulioonyesha kwamba Bashiru Ally akishirikiana na Waziri wa fedha walishindwa kumshwawishi huyu kamanda kujiuza.
Ni meya msitaafu wa manispaa ya Bukoba kwa akina Rwetabangula,Rweikiza ,etc
Kusema ukweli jamaa ana ushawishi wa kisiasa hatari, angekuwa mtumishi wa Jehova nafikiri hata shetani angetubu na kuacha ushetani wake.
Ikumbukwe kuwa,Chief Kalumuna mpaka alipofikia hapo ni malezi na taaluma nzuri...
“Sisi tumekuja bungeni si chini ya mara moja, kwa TUME hii tuliyo nayo. Tuulizeni TULISHINDAJE, tuulizeni tulitumia MBINU zipi?. Ili anayekuja kugombea ajue MBINU na kuacha KULIA kwamba tume hii SIO huru,"
Pia soma > Wilfred Lwakatare arejea CUF baada ya kufutwa uanachama CHADEMA. Kutumika...
Wakuu, hivi karibuni imeanza kuzoeleka kusikia mtangazaji wa Radio Maria akiitangaza Radio Mbiu ya Bukoba kama mshirika wake.
Nachotatizwa hapa ni namna ya UHUSIANO kati ya radio hizi mbili kwani inajulikana Radio Maria Tanzania inaendeshwa kwa nguvu ya wasikilizaji kwa kutoa michango.
Je...
Kuelekea kumaliza kipindi chake cha utumishi katika jimbo la Bukoba mjini na katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. WILFRED M. LWAKATARE (Mb) na Waziri kivuri wa wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi anayo furaha kuwashirikisha mafanikio makubwa ya usimamizi wake juu ya...
Nahimiza watanzania tupige gombo la kutosha, tufanye maombi Mungu atajibu. Tukeshe mabarabarani, makanisani, misikitini na kila mahala.
Hakuna haja ya kupoteza hela zinazochangwa kupambana na corona, pesa hizo zikusanywe ziachwe baadae zitumike kujenga mashule na hospitali.
Yalichangwa...
Waziri wa Fedha na Mipango, ambaye majuzi alimpigia simu Meya wa Bukoba, Chifu Karumuna, akamwita kwa dharura aende Dodoma kwa mazungumzo ya kikazi. Manispaa ya Bukoba inaongozwa na CHADEMA. Iilikuwa hivi:
Chifu Karumuna akapokea simu toka Waziri Mpango, akaitwa Dodoma. Akaenda.
Kufika ofisi...
Kwa kweli sina milioni saba ya kulipa... Ila Mkuu ana maneno mazito! Anasema waathirika wasikae tu huko wanangoja hela za serikali kwa sbb wanasikia zimechangwa,waanze kujisaidia kwanza wao na serikali itawasaidia pale waliposhindwa.
Mkuu anasema mtu ukuta umedondoka, anataka asubiri serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.