Bukoba is a city situated in the north west of The United Republic of Tanzania on the south western shores of Lake Victoria. It is the capital of the Kagera region, and the administrative seat for Bukoba Urban District. Population estimate: 100,000. The city is served by Bukoba Airport and regular ferry connections to and from Mwanza, as well as roads linking to Uganda's Rakai District for the cross border car commuters with plans underway for a standard gauge railway construction[1] to fulfil the high ambitions of Uganda.
Baada ya kutoka Mwanza kujua maisha yake yapoje leo nipo Bukoba.
Kuna watu wanapotosha sehemu za mikoa kuwa zipo hivi.
Kwanza natanguliza shukrani kwa marehemu JPM japo wanasema binadamu hata tufanyiwe nini shukrani ziro.
Marehemu JPM kaweza sana kuboresha miji iliyopo mikoani asilimia kubwa...
MAENDELEO NA KAGERA
Dhana ya maendeleo watu wengi huitafakari tofauti kabisa.
Wataalamu wengi husema maendeleo ni ile hali ya kutoka kwenye hali duni kwenda kwenye hali bora( hali yenye unafuu kuliko ya awali)
Watu wengine hudhani maendeleo ni mfano kupatikana kwa umeme, barabara safi tena za...
Watu kumi wamefariki Dunia katika ajali ya magari mawili katika kijiji cha Ilalwe kata ya Bukombe wilayani Bukombe Mkoani Geita.
Mkuu wa wilaya ya Bukombe Said Nkumba amezungumza na TBC kwa njia ya simu na kuthibitisha tukio hilo na kwamba shughuli ya utambuzi wa maiti hizo bado unaendelea...
Ushahidi wa kesi ya jinai inayomkabili mchungaji Merchades Mugishagwe na mkewe Agripina Maganja, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Bukoba umefungwa leo, baada ya shahidi namba tatu kwa upande wa washtakiwa aliyetajwa kuwa ni Mungu kutofika mahakamani hapo.
Mchungaji Merchades Mugishagwe...
Picha hiyo hapo chini ya Bi. Titi na akina mama wa Bukoba wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika nimeletewa kutoka Bukoba na mmoja wa watu ambao nawaheshimu sana katika kuhifadhi kumbukumbu.
Kaniletea picha nyingi na In Shaa Allah nitaziweka hapa JF kwa faida yetu sote.
Waliosimama kutoka...
Taarifa kutoka Bukoba mjini zinasema kuwa Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewakamata viongozi wa CHADEMA na makada wa chama hicho waliokuwa wanafanya kikao cha kawaida katika ofisi za CHADEMA mkoani humo.
Hivyo ndivyo Jeshi la Simon Sirro lilivyogeuka kuwa jeshi la uonevu, uonevu huu mpaka...
MTU mmoja mkoani Kagera aliyetajwa kwa jina la Neema Bayo (49) aliyekuwa ndani ya moja ya vyumba vya nyumba ya kulala wageni inayojulikana kwa jina la Anti iliyoko wilayani Muleba mkoani Kagera amepoteza maisha kwa kuteketea kwa moto ulioteketeza nyumba hiyo ambao hadi sasa chanzo chake...
Sina mambo mengi naomba bwashee yoyote mwenye picha ya stendi kuu ya mabasi pale Moshi aitupie hapa.
Manispaa ya Moshi kwa muda mrefu imeongozwa na Chadema nataka kujiridhisha na ubunifu wao.
Hapa Iringa Chadema walijitahidi wakatujengea Stendi ya kisasa pale Igumbilo ila sijajua kule Mbeya kwa...
Meli ikiwa inazama na ikiwa imezungukwa na mitumbwi pamoja na boti ambazo zilisaidia kwenye uokoaji
RIPOTI ya Tume ya Jaji Robert Kisanga, iliyochunguza chanzo cha ajali ya mv Bukoba, inasema usiku wa kuamkia siku ya ajali, meli hiyo ilipakia abiria kati ya 750 na 800 pamoja na wafanyakazi 37...
Wana JF. Kwa mkoa wa Kagera takribani wiki sasa mjadala mkuu ni hali halisi ya Stendi ya mabus ya mkoa ambayo hakika ni iabu kusema hii stendi ni ya mkoa.
Hapa JF kuna thread na michango mingi iliyojadili stendi hii. Sitaki kuendeleza majadala unaweza kurejea thread hizi hapa chini...
Nani aliwaroga Wahaya? Inawezeka aliyewaroga alikufa na ndumba zake, ni lini Kagera itarudisha heshima ya NSHOMILE?
Hii ni stendi kuu ya Bukoba. Kwa sasa hali iko ivi ukiingia stendi inabidi ununue mabutusi uvue viatu alafu ukunje nguo yako kwa chini ndio uingie stendi kuu.
Niaibu kwa Wahaya...
Tulionya Mapema sana kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu katika lolote , na nadhani hata nyinyi wenyewe ni mashahidi, wote waliojipa uungu Mtu na kujimwambafai wanazidi kupukutika huku wengine wakiwa njiani.
Video hii inaonyesha umati wa watu wa Bukoba wakishangilia baada ya aliyekuwa...
Wakazi million tatu na laki mbili wanaoishi katika mkoa huu wa kagera hasa mji mkuu wake bukoba wanazidi kushangaa ukimya wa viongozi wa mkoa, wanasiasa, wasomi nk ambao hupita kila siku katika hii stendi (maana ipo katika barabara kuu iingiayo mjini) wanavyojikausha kama haiwahusu vile hiki...
Kutoka kwa Nguli la Artifical Intel
=AZVPJI1yW9MoSQQLn68jW059p2Hv9XovEul-4su0ExTptJBYvDyS1jE5BzK4VAjAg3BPzbI5cl3_G1i3_IVWYde5oHPBIku7pj_dWLi-vjUNkq-t6QDJYUANsPiE71cRXRnvYf8ry6HAPQzOgsnRiNESlOhsj5GV4YoFJKBSAXIKfDAMnXeQyhtjAwwxN8jaSQE&tn=-R']Yahya Msangi
Wakati wa zile RTC palitokea uhaba wa...
Chonde Chonde Serikali ya Awamu ya 6 wekeni taa katika uwanja wa ndege wa Bukoba, msisubili vifo na majanga yatokee ndiyo taa hizo ziwekwe. Tatizo hili limekuwa la muda mrefu na sijui tatizo liko wapi, ambapo uwanja wa ndege wa Bukoba ni kati ya viwanja vichache nchini vyenye habiria wengi na...
Walimu na wafanyakazi wa shule za msingi na sekondari ya kolping inayomilikiwa na kanisa katoriki jimbo la Bukoba wamegoma tangu wiki iliyopita wakishinikiza uongozi kuwalipa malimbikizo ya mishahara ya miezi 8.
Hata hivyo kikao cha kuwaomba wafanyakazi hao kurudi kazini kimevunjika baada ya...
Karibuni katika mbio za Bukoba Mega City International Marathon zitakazoanzia Bukoba International Airport tarehe 28 Machi, 2021 saa 12 asubuhi.
Tupo kwenye mazungumzo na KLM na Qantas Airlines namna ya kusafirisha wahaya waliopo ughaibuni kuja kushiriki mbio hizi.
Ni huzuni
Ni majonzi
Mpendwa wetu ametutoka akipatiwa matibabu Hospitali Mugana wilayani Misenyi
Mtumishi huyu wa Bwana amehitimisha safari yake ya Utume katika Parokia ya Mtakatifu Yohana Maria Muzeyi - Minziro Jimbo Katoliki la Bukoba
Mwili wa Mwendazake huyo utapumzishwa Jumatatu kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.