bukoba

Bukoba is a city situated in the north west of The United Republic of Tanzania on the south western shores of Lake Victoria. It is the capital of the Kagera region, and the administrative seat for Bukoba Urban District. Population estimate: 100,000. The city is served by Bukoba Airport and regular ferry connections to and from Mwanza, as well as roads linking to Uganda's Rakai District for the cross border car commuters with plans underway for a standard gauge railway construction[1] to fulfil the high ambitions of Uganda.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyankurungu2020

    Taifa linafanyiwa ubadhirifu na wahuni wachache halafu mnabaki kumletea lawama Waziri Majaliwa kisa tu ajali ya ndege Bukoba

    Leo hii mgao wa umeme umekuwa kero kwa taifa letu kiasi cha kuporomosha uchumi wa wananchi lakini mnachukulia poa. Hiyo kampuni ya Mahindra group iliposaini mkataba wa bil 78 kuiboresha TANESCO mbona haijaboresha? Bunge linapitisha kuwa serikali ikope tril 10. Halafu zinakopwa tril 15 bila...
  2. Analogia Malenga

    TANZIA Stekamba Dunia, member wa JF ni mmoja wa marehemu wa ajali ya Ndege Bukoba

    Ajali ya ndege iliyoua watu 19 kule Bukoba imeondoka na mmoja wa member wa JF Stekamba Dunia
  3. Shoctopus

    Ajali ya Precision Air Bukoba: Yawezekana IAMSAR Serikalini haipo au hawaitumii?

    Wana JF Awali ya yote napenda kuwapa pole wafiwa na majeruhi wa ajali ya ndege Bukoba ya 06/11/2022. Mengi yamesemwa kuhusu mazingira ya tukio la ajali kabla na baada ya tukio, hasa kuhusu operations za uokoaji na utendaji mbovu wa vyombo husika Serikalini. Na kwa taarifa yenu vyombo husika ni...
  4. Nyankurungu2020

    CHADEMA acheni uzandiki. Ina maana uwanja wa ndege wa Chato ungejengwa Bukoba ndio ajali isingetokea?

    Huu ni uzandiki usiofaa na usio na kipimo kabisa. Yaaani mnakuwa wanafiki na wazandiki
  5. GENTAMYCINE

    Serikali hongereni kwa kukwepa lawama ya uokoaji manusura wa Ajali ya Bukoba kupitia kupewa zawadi muokoaji Majaliwa

    Naona hivi sasa Watanzania (Waswahili) kama kawaida yao wameshahama katika Kuizungumzia Ajali na Mapungufu yake na sasa 97% ya Waswahili (Watanzania) wapo katika Kumzungumzia na Kumzawadia Muokoaji wa Taifa Dogo Majaliwa. Taifa lenye Watu (Raia) makini kamwe hawawezi Kushadadia na Kufurahia...
  6. Roving Journalist

    Uwanja wa Ndege wa Bukoba bado umefungwa. Huduma zaweza kurejea Ijumaa

    Uwanja wa ndege wa Bukoba bado umefungwna na hakuna ndege ya abiria inayotua. Pamoja na Waziri wa Ujenzi, Profesa Makame Mbarawa jana kueleza umma kwamba ndege zinaweza kutua, lakini kampuni mbili za ndege; ATCL na Precision hazijapeleka ndege zao Bukoba. Ndege ya ATCL iliyokuwa itue leo...
  7. Ex Spy

    Bukoba: Mwili wa Raia wa Uingereza aliyefariki kwenye ajali ya Precision Air wasafirishwa

    Mwili wa raia pekee wa Uingereza aliyefariki ndani ya ndege ya Precison Air, unasafirishwa leo kwa gari kuelekea Mwanza. Baadaye usiku wa leo, mwili huo wa Jonathan Rose, utasafirishwa kwa ndege kuelekea Dar es Salaam ambako mipango ya kuupeleka London, Uingereza inaendelea. Nimepata taarifa...
  8. Roving Journalist

    Abiria wa Precision Air waliokwama Bukoba kusafiri leo

    Abiria waliotarajia kusafiri kwa ndege iliyopata ajali Jumapili nje kidogo ya Uwanja wa Ndege wa Bukoba, sasa wataondoka leo kuelekea Dar es Salaam na Mwanza. Wasafiri hawa ambao idadi yao ni 21 wa ndege ya Kampuni ya Precision, tangu Jumapili walikuwa Bukoba wakikaa hoteli ya ELCT...
  9. Mwl.RCT

    Chadema wanatoa tamko juu ya ajali iliyotokea Bukoba

  10. INJECTION TECHNICIAN

    Vifo 19 katika ajali ya ndege Bukoba, muuaji apata kazi katika kikosi cha zima moto

    Inasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa. Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na...
  11. and 300

    PENDEKEZO: Bukoba Airport (Sasa iitwe Majaliwa Airport)

    Katika kumuenzi kijana jasiri aliyeokoa watu kwenye ajali ya ndege ingefaa Bukoba Airport ipewe jina lake kwa heshima na kumbukumbu ya vizazo vijavyo (MAJALIWA AIRPORT).
  12. J

    Kisiasa: Kilichofanywa na Wavuvi Bukoba ndio inayoitwa "Nguvu ya Umma"

    Duniani kote Nguvu ya Umma ikiwa kazini vyombo vingine vyote husubiri pembeni automatically. Wavuvi wa Bukoba mmetufundisha kitu kikubwa. Mungu wa mbinguni awabariki sana!
  13. GENTAMYCINE

    Mnaohojiwa na Media kuhusu hii Bukoba Plane Crush ni kwanini mnaanza Kumpa Pole Rais Samia? Kwani Yeye ndiyo Kafiwa?

    Na cha Kushangaza zaidi huyo huyo ambaye Mnajipendekeza Kwake na Yeye pia kawapa ( katoa ) Pole kwa Wafiwa na Familia zao sasa nyie hizi Pole zenu Kwake zinatokana na nini? Yaani kila Kiongozi ( Boss fulani ) akipelekewa tu Microphone na Camera Kuzungumzia Ajali ya Jana Mkoani Kagera badala ya...
  14. Mwamuzi wa Tanzania

    Ninaposema Mwafrika kapunjwa akili na Mungu kwa makusudi kabisa muwe mnaelewa. Rejea ajali ya ndege Bukoba 06/11/2022

    Habari Mimi nitazungumzia vitu vichache tu kati ya vingi vilivyojitokeza jana ambavyo vinaonyesha ufinyu wa akili wa viongozi wetu ambao ndio wanawakilisha uhalisia wa wananchi. 1. Ziwa Victoria pamoja na ukubwa wake na umuhimu wake kiuchumi serikali haijaweka boti angalau 4 za dharura...
  15. D

    Kikao cha kishirikina tunakaa leo jumapili, kupinga maji yasivuke mjini kabla ya wanakigamboni kusambaziwa

    Kigamboni hakuna maji ya bomba tangu Uhuru, neema ya kisima iliyopatikana inapelekwa mjini kabla ya wanakigamboni kupatiwa maji hayo kwanza! Malalamiko yamepelekwa kwa wahusika kwamba maji yasambazwe kigamboni kwanza kabla ya kupelekwa mjini, hawajatusikiliza! Tumeamua kufikisha ujumbe wetu...
  16. L

    Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

    Precision air yapata ajali Bukoba ziwa Victoria === NDEGE YA PRECISION YAANGUKA ZIWA VICTORIA MJINI BUKOBA Ndege ya Shirika la Ndege la Precision, imeanguka ziwani mjini Bukoba, Mkoani Kagera asubuhi ya leo Novemba 6, 2022 Taarifa za awali zinaonesha ndege hiyo imeanguka ziwani, uokoaji...
  17. Roving Journalist

    Askofu Kilaini: Nyerere alikuwa Mtu Mwema. Mwana wa Kanisa, Baba wa Taifa na mwanadamu mwenye harufu ya Utakatifu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Misa Takatifu ya kumuombea Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere inayofanyika Kwenye Kanisa Kuu Katoliki Jimbo la Bukoba Mjini Mkoani Kagera leo tarehe 14 Oktoba, 2022 Misa hii inayoongozwa na Mhashamu Askofu Methodius...
  18. C

    Review classes za CPA Bukoba

    Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu, nahitaji kujua ni sehemu gani naweza kupata review classes za CPA pamoja na kituo cha mitihani maeneo ya bukoba. Thanks in advance.
  19. Roving Journalist

    Bukoba: Rais Samia afungua Msikiti wa Jami'ul Istiqaama, Juni 10, 2022

    Rais Samia akifungua Msikiti wa Jami'ul Istiqaama, Bukoba Mkoani Kagera, leo Ijumaa Juni 10, 2022 Shukrani za kipekee kupitia kwako Muwakilishi wa Balozi wa Oman, ziende kwa Sultan wa Oman na vilevile kwa niaba ya mtangulizi wake ambaye ndiye muasisi wa ujenzi wa Msikiti huu. Mwenyezi Mungu...
  20. chiembe

    Moses Machali, naona ukuu wa Wilaya Bukoba unaelekea ukingoni, vijiwe vya kahawa soko kuu vinakung'oa

    Ile ajenda ya Kodi za zamani aliyoisema Mh. Rais na Mbunge wa Bukoba Mjini ni taa ya kukaa sawa dhidi ya Moses Machali, mkuu wa wilaya ya Bukoba, kwamba "walangila wameshamkalia vikao, na hawamtaki". Bukoba ni wilaya ambayo Siasa imetamalaki, na Kuna wafanyabiashara wameshamuunguzia Uzi, na...
Back
Top Bottom