Bukoba is a city situated in the north west of The United Republic of Tanzania on the south western shores of Lake Victoria. It is the capital of the Kagera region, and the administrative seat for Bukoba Urban District. Population estimate: 100,000. The city is served by Bukoba Airport and regular ferry connections to and from Mwanza, as well as roads linking to Uganda's Rakai District for the cross border car commuters with plans underway for a standard gauge railway construction[1] to fulfil the high ambitions of Uganda.
Ni tukio la kwanza kabisa katika ardhi hiyo ambayo kila mtu ni mwanasheria kwa mjibu wa Rc Chalamila kuweza kutambua mchango wa kiongozi mteule wa Rais kwa kipindi alichowatumikia.
DC Machali ni Miongoni mwa ma DC wachache waliotumikia Wilaya hiyo bila kuyumbishwa na kundi lolote eidha...
Polisi mkoani Kagera inamshikilia dereva wa Basi la Happy Nation, Shaaban Khatibu 38 mkazi wa Dare es Salaam akidaiwa kusababisha vifo vya watu wawili.
Tukio hilo inadaiwa lilitokea Barabara ya Biharamulo, Kata Ijuganyondo, Manispaa ya Bukoba, Jumanne Desemba 6, mwaka huu majira ya saa 5.30...
Ninachoogopa MINOCYCLINE ni kwamba Wazungu huwa hawanunuliki na wala hawajui kusema Uwongo hivyo huenda Muongo Mkuu wa Taifa Mr. Super Black Daima na Msaidizi wake wa Mr. Kukurupuka Kuchangayikiwa Wakaumbuka na Kumuaibisha hata Boss wao Kikatiba.
Kazi ipo.
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limevifungia vituo vya mitihani 24 sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote 17,935 vilivyofanya mtihani ambavyo vimethibitika kupanga na kufanya udanganyifu katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2022.
Vituo hivi vimefungiwa hadi Baraza litakapojiridhisha...
Tangu kutokea kwa ajali hii, kumekuwa na maoni mengi na watu mbalimbali kuhojiwa ili watoe maoni yao. Kinachonmishangaza ni kuwa, wakati chanzo cha ajali kikitajwa kuwa ni hali mbaya ya hewa(najua uchunguzi unaendelea) mpaka sasa sijaona waandishi wa habari wala wadau wengine walioona umuhimu wa...
Yamesikika mengi kuhusiana na ajali ya ndege ya PW kule Bukoba, yamesemwa mengi na wanasiasa na wasio wanasiasa. Kila mtu anasema la kwake, lakini moja na lenye uhakika ni kuwa, kuna watu wanapaswa kuwajibishwa kwa ajali ya ndege Bukoba.
Tumepoteza ndugu, marafiki na jamaa zetu kwa sababu ya...
Wadau wenye akili kubwa tulimjua shujaa wa ajali ya ndege iliyoua abiria 19 kuwa ni abiria aiitwaye Victor na mfanyakazi wa ndege walioshirikiana kuufungua mlango wa ndege kwa ndani na huyo Bw.Victor ndiye aliyesimama mlangoni kuwavusha abiria kuingia kwenye mtumbwi. Pia huyo huyo Bw. Victor...
Imefahamika kuwa licha ya Jeshi la Wanamaji kujulishwa tukio la ajali, Boti rasmi ya uokoaji ya Kitengo cha Wanamaji ilichelewa kufika eneo la ajali na sababu ni kwamba haikuwepo katika Bandari ya Bukoba
-
Pia, pamoja na Askari wa Kitengo cha Wanamaji kuchelewa kufika, hawakuweza kufanikisha...
Hakuna DC aliyewahi kuja Bukoba mwenye ujasiri na uthubutu kama Moses Machali. Kafanya mambo magumu bila kuogopa mtu, ametouch hata untouchable wa mji wakatikisika japo wamemsagia kunguni kwa Mama mpaka baasi, nawachosubiri nikuona Machali anatolewa Bukoba wafanye sherehe.
Kwakweli mji huu uko...
Katika hali isiyo ya kawaida Mkurugenzi ameamua kufunga maduka ya Bukoba Manispaa kutokana na mgogoro wa Leseni na service levy.
Hali hii imetokana na aliyekuwa afisa biashara Richard kugushi vitabu vya Reciept na kutoa Leseni hewa lakini amekuwa akilindwa licha ya ushahidi wote kuwekwa...
Mara ya mwisho niliposafiri na kutua uwanja wa ndege wa Bukoba nilikaa na mama mmoja wa kihaya aliniambia hali ya hewa uwa mbaya kuanzia saa kumi na mbili asubuhi mpaka around saa sita mchana,kulikuwa na mpango toka awamu ya tatu kujengwe airport kubwa maeneo ya omkajunguti 40km kutoka Bukoba...
Ndege ya Air Tanzania imeshindwa kutua Bukoba Airport imerudi Mwanza.
Stay tuned
======
UPDATES
Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) imeshindwa kutua katika uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera kutokana na hali mbaya ya hewa. Badala yake ndege hiyo imelazimika kutua salama katika...
Brenda na Lydia walikuwa ni wahudumu wa ndege ya Precision iliyopata ajali ziwani kule Bukoba.
Mabinti hawa warembo ni kama mchango haupo au ni kidogo sana, lakini ni hawa ndio walio watuliza akili abiria waliokuwa katika taharuki kubwa, ni hawa ndio waliogawa life jackets, na pia ni hawa...
Tunajua mzee Kato hakuwapenda wahaya maana walimuita mshuti kwakuwa wote walio hamia kutoka Bahima , Babito, Wanyarwanda na warundi wanaitwa washuti na kazi zao kubwa ni kufanya kazi mashambani, bahati mbaya mshuti alikuja akatoboa akawongoza mpaka wao!
Kwanza akazima ndoto nyingi za mkoa ule...
Kuna haja ya Serikali kuzilipa fidia familia za wahanga wote wa ajali ya ndege kutokana na uzembe uliosababishwa na kukosa uweledi kwenye uokoaji. Suala la uokoaji ni dhima ya serikali, wala haikupaswa kuwa shughuli ya wavuvi.
Nashauri familia za wahanga waungane na kufungua kesi dhidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.