Dunia ya sasa ni dunia ya kidigitali. Vitu vingi vinapatikana mtandaoni, vingine vya bure, vingine vya kulipia. Watanzania wengi wakisikia unalipia huduma fulani mtandaoni wanakushangaa wakati ni hela ndogo tu. Kwa mfano mtu yuko tayari kuangalia ads kila baada ya dk 5 kwenye boomplay au Spotify...
Hakuna faida ya kubadilisha wanaume kama nguo maana kumbuka kadri miaka inavyozidi kwenda thamani yako inapungua huku thamani ya mwanaume ikiongezeka. Ndio maana utaona mzee wa miaka 60 akioa binti wa miaka 25 huku bibi wa miaka 60 akipata ndoa ni muujiza mkubwa.
Unapowadanganya wanaume...
Watanzania ni mashololo ,ni mabishoo ni watu wasiopenda shida hawajui hamasa ila wanachojua wao ni kulaumu na Kutukana basi !tungepeleka wanafunzi wa secondary na vikundi vya hamasa vya ccm ,bendi ya TOT na twangapepeta nk
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza ofa ya kipekee kwa watanzania kuiona mechi ya timu ya taifa, Taifa Stars, bila malipo. Ofa hii inalenga kuongeza hamasa kwa wapenzi wa soka nchini katika kipindi hiki kigumu baada ya tukio la kusikitisha la kuporomoka...
Miaka ya karibuni CHADEMA kimekuwa kikiitisha maandamano na muitikio wake umekua ni almost zero
Wameibuka watu wengi wakilaumu chadema kwamba wanashindwa kuwashawishi watanzania bali ukweli umeonekana jana mubashara
Imagine mtu anatekwa mchana wa saa 8 watu wako pembeni wanashangaa tu alafu...
Habari Tanzania !
Naomba kuuliza inaruhusiwa kujenga Hospital binafsi na kutoa huduma ya Afya bure bila gharama yoyote kwa kila mtu mwenye changamoto. Nauliza swali, je kwa nyinyi Serikali mtaruhusu mtu binafsi atoe hiyo huduma buree!?
Karibu.
Vipaumbele vyangu nikipewa Kitengo cha ku Recruit Watu mahiri wa Idara za Usalama wa Taifa Barani Afrika vitakuwa...
1. Atokee kwa Wazazi wenye Akili Timamu na Koo za Watu Werevu
2. Ufaulu wa Kitaaluma ni ziada ila Akili ya Kuzaliwa ndiyo kitakuwa Kipaumbele changu
3. Awe na uwezo wa...
Kuna miamba huwa inadhani hizi button ni kubonyeza tu. Sasa kaa hapa nikupige shule kidogo.
Hivi vyoo vinaitwa Dual flushing buttons au dual-flush toilets kwa lugha janja ya kimombo.
Ni vyoo vya kisasa vilivyokuwa modified ili kupunguza matumizi ya maji.
Lengo kuu la vyoo vya dual-flush ni...
Elimu na Afya ni huduma muhimu sana katika jamii,ila nina uhakika kwamba moja wapo ni muhimu zaidi hivyo inapaswa kutolewa bure.
Nakusanya data kwa kazi maalumu ya kiutafiti,naomba nisaidie kufanya voting kulingana na mtazamo wako.
Baada ya polling hii nitakuja na muendelezo ili utimiza adhma...
Naandika kwa masikitiko makubwa Leo nimelipia kingamuzi changu cha 28,000 kwa ajili ya Derby na kibanda umiza changu cha kuunga unga ila ghafla wamekata umeme.
Na Leo ndio ilikuwa siku ya kutusua mana watu walijaa si haba
Wameondoka wote na kwenda kwenye banda lense jeneeta.
Imeniuma sana...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Njombe limefanikiwa kuingiza umeme na kuuwasha bure katika nyumba ya Bibi Esteli Nyalusi mwenye umri wa miaka 62 ambaye ni mkazi wa kata ya Maguvani halmashauri ya mji wa Makambako ikiwa ni kutoa shukrani kwake baada ya kuruhusu bila vikwazo eneo lake...
Kuna kipindi nilikwenda nje ya Afrika na kuishi huko kama miaka 4 hivi na kidogo. Mwnyeji wetu alichukua muda wake kutueleza mambo ya msingi sana ya kuzingatia katika taasisi ile, mji ule na nchi ile na kukutembeza kwenye maeneo machache sana Muhimu ambayo tunaweza kujipatia mahitaji na huduma...
Location ilipo fremu ambayo nimepewa niifanyie kazi na mzee wangu bure bila kuilipia imezungukwa sio mbali sana na taasisi zifuatazo stand, shule, college, dispensary,ofisi za maji na iko barabara kuu.
1.HARDWARE (Vifaa vidogo vidogo vya umeme na maji)
Advantage:
-Connection ya mafundi na mimi...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu gazeti la Mwananchi Jumatano ya leo, 2 October, 2024
Watanzania walio wengi, hata wenye uwezo, hawazijui haki zao, kunapotokea vifo vya kizembe vya wapendwa wao, lakini hata wakizijua haki zao, Watanzania walio wengi ni masikini wa kutupwa, hivyo hata wakizijua...
50 Cent anasema siku ya kwanza alipogundua uchafu wa P. Diddy ilikua kwenye studio za tv, wakiwa katika live interview kwenye tv P. Diddy alimwambia 50 Cent, "50 nataka nikutoe out siku 1 nkufanyie shopping unaonaje ofa hiyo bro?"
50 Cent anasema alishtuka na kujibu pale pale kwa hasira, "Huyu...
Hello,
Jina Langu Mr Documentor, Founder and Owner of Mr Documentor Academic Hub.
Nitumie Furse hii ya uhai kuwakaribisha wanafunzi wote Tanzania hii na Nje ya Tanzania Ambao wanatarajia kufanya Research Mwaka huu wa Masomo yaani 24/25 Kuhudhuria kwenye Darasa la uandishi wa Research Proposal...
Gharama za ununuzi na usajili - 2,800,000
Mkataba – miezi 13 (siku 365 za mwaka + 30 za mwezi moja)
Hesabu ya siku – elf 10
Hesabu ya miezi 13 – elf 10 x siku 395 = 3,950,000
Faida miezi 13 = 3,950,000 – 2,800,000 = 1,150,000
Faida ya kila siku = 1,150,000 / siku 395 = 2,911.. (elf 3...