Leo hii siku ya kufungua shule, Shule ya Olympio Upanga, Dar zaidi ya nusu ya wanafunzi wamerudishwa majumbani kwa kutokwenda na ada.
Wameambiwa lazima waende na angalau laki mbili ndiyo wataruhusiwa kusoma.
Je, hii si shule ya Serikali, au?
Baada ya Mh Rais kusema wazi kuwa wananchi waambiwe kuwa gharama za umeme sio 27,000 tena kama alivyotangaza Rais mwaka jana.
Hivi gaharama za kuunganishiwa Umeme zanzibar zikoje?
ZESCO imekuwa ikidaiwa madeni mengi sana ya Umeme na Tanesco na wamekuwa wakitegemea kusamehewa na wakisha...
BAADHI ya majina ya mastaa wakubwa kabisa kwenye soka yatakubali kujiunga na klabu yoyote wanayotaka kuanzia keshokutwa Jumamosi na hakuna kitu kitafanywa na klabu zao za sasa kuzuia jambo hilo.
Kylian Mbappe, Paul Pogba na Gareth Bale ni baadhi ya masupastaa wa soka la dunia kwenye orodha hii...
Mipango yako unaipanga wewe, elewa changamoto za wivu zipo kwenye maisha.
Good morning JF.
Mod I expect you to delete this nonsense if not I can live with the message.
Happy new year JF
Ni lini Watanzania tutakuja kuelewa kwamba hakuna kitu cha bure? Yaani Mchina atoke kwao aje kukujengea wewe Bandari kwa lipi hasa?
Inanikimbusha Mji wa Kigamboni kwamba USA wanakuja kujenga Mji wa kisasa Kigamboni, USA wachukue fedha za walipa kodi wao wakujengee wewe Mji, kwa lipi haswa?
Ni...
Niaminini ninachowaambia!
Misingi ya kesi ya makonda ni tofauti kabisa na ilivyokuwa kesi ya Sabaya!!
Ikumbukwe kwamba Punde tu sabaya baada ya kutenguliwa u DC, aliwekwa kitimoto/mahabusu chini ya Takukuru kabla ya kushitakiwa!
Sasa ishu ya makonda ukiitazama unaona kabisa waziwazi hakuna...
Kwa mambo mazuri na makubwa uliyoyafanya huko 'Isles' uliko kama Rais wao na 'Mikakati' kabambe ya Maendeleo kuelekea kuifanya Zanzibar kuwa Dubai ya Afrika Mashariki kama GENTAMYCINE nakushauri acha kuwa na nia ya kuja kuwa Rais wa 'Mainland' kwa ama 2025 au 2030 tafadhali.
Rais Dk. Hussein...
Wapendwa kama kichwa cha habari kinavyo sema kiti hicho kina panda na kushuka vizuri kabisa kina uzwa.
BEI 80000 MAONGEZI YAPO.
KITI KIPO DAR KIJICHI 0694185384
Wanabodi,
Nimekutana na bandiko hili
lenye tuhuma lukuki dhidhi ya kiongozi huyu..
Ukisikia majungu ndio haya. Ukituhumu humu, leta na uthibitisho.
Hapa umevurumisha tuhumu lukuki dhidi ya Biteko-
Tuhuma zenyewe ni hizi
Dotto Biteko ameiba kiasi kikubwa cha pesa, kiasi gani?-Ni tuhuma tuu...
Awali ya yote pokeeni pongezi za dhati kwa kazi takatifu mnayoifanya ya kuisaka haki katika mazingira magumu.
Kazi yenu ni ngumu zaidi hasa ikizingatiwa kuwa mafanikio yoyote yanayopatikana yanahatarisha matumbo ya watu yenye uchu uliopitiliza.
Jambo moja la hakika lenye kutia moyo ni kuwa...
Kabla ya vyama sisi sote ni watanzania.
Moja ya imani za CCM ni kuwa binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.
Tumefikaje huku kwenye kuuwana, kutekana, kutesana, kupotezana, kubambikiziana kesi na yote yenye ukakasi huu?
Ilikuwaje kina Sabaya wakatambulika kama vijana wazalendo...
mlezi anaweza kutafuta milioni 15 fastafasta kwenye mechi vs simba(hata kama ni za wauza magodoro) ila kwenye issue muhimu akihojiwa anakuambia siwezi toa hela zangu za mshahara
sasa pre match meeting huko benghazi libya imemalizika , Baadaye AHLY TRIPOLI wanaingiza team uwanjani watakaguliwa...
Kwa hii kasi ya mabadiliko ya vifurushi, tujipange isaikolojia, huenda tukaingia 2022 GB1 ikiwa inauzwa elf 2,500 sawa na petrol.
Fibre internet ni internet inayoletwa kwako kwa njia ya waya na uutapewa bure vifaa vya kusambaza internet kwa njia ya wifi.
Gharama zao zinaendana kwa speed na sio...
:):):):):):):)
Funny Facts!
Ukiingia kwenye soko la hisa la dar es salaam, idadi ndogo ya hisa za kununua ni hisa 10,
thamani ya hisa moja kwa makampuni kwa report ya jana ni kama ifuatavyo
Sasa Njia za kupata msosi ziko hivi, kwa sheria ya soko la hisa la Dar es salaam, kila mwaka kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.