Habari JF,
Kenya sio Muda wanaingia kwenye Uchaguzi mkuu hivyo sio rahisi kujihusisha kwenye huu mgogoro wa Ngorongoro labda wawe na mfumo imara sana katika Uongozi wa Nchi ambao hautegemei Rais anae kuwepo madarakani.
Kinachofanyika Kenya ni kujizolea points za mezani kupitia huu mgogoro huu...
Hello!
Kuna jambo nimefikiria hapa, nimeona ni wakati sasa serikali ya Tanzania kutoa ELIMU bure kuanzia msingi mpaka chuo kikuu, bila kuisahau kutoa huduma bure za msingi za afya.
Kwakuwa tuko kwenye dunia ya 3 si rahisi kuanza vyote kwa pamoja.
Kimoja lazima kianze na kingine kitafuata...
Karibu tena jamaniina leo nakuleteya kitu ambacho ulikuwa unatamani ukifanye alafu unashiindwa.. kuna wakati unahitaji sana kutengeneza Android Application lakini haujui kuhusu lugha inayotumika kutengeneza hizo Android Application yaani JAVA au Python na jinsi ya kutengeneza mpaka ikamilike...
Tabia za Mwalimu zinamchango mkubwa kwa mwanafunzi kufauru somo. Mwalimu ni kiungo katika kunogesha akili ya mwanafunzi. Mwalimu anaweza kuwa na digriii mia moja, lakini akikosa sifa moja muhimu ya kujuwa kuishi na kukabiliana na mazingira anayofanyia kazi na kusoma maisha na Tabia za mwanafunzi...
Hebu soma maagizo hayo hapo chini
Hello Gavanas naomba kupata taarifa kwa kila kijiji ambao tayari wameshafikishiwa Rangi za kuandika No za nyumba ktk mitaa yenu.
Kazi hii ya kuandika no inatakiwa kufanyika kwa siku 2 tu yani Leo Ijumaa hadi Jumapili saa sita usiku ndio mwisho.
Ushauri wangu...
1. Jikite katika Uhalisia wa Masuala na siyo Propaganda
2. Acha kutumia muda mwingi kutafuta Mipasho ya Kujibizana na Mwana Mipasho Mwenzako Haji Manara.
3. Jikite hasa katika Kuitangaza Simba SC Kimataifa na Kisayansi zaidi
4. Acha kutoka nje ya Uweledi wako na kuanza kuwa Mswahili Mswahili...
Kwa mujibu wa takwimu kutoka tovuti ya "Gun Violence Archives" ya Marekani, tukio la ufyatuaji risasi lililotokea mjini Buffalo, New York, tarehe 14, limekuwa tukio la 198 la mauaji ya watu kwa kutumia risasi nchini Marekani mwaka huu, na pia ndilo baya zaidi kwa mwaka huu. Kijana mzungu mwenye...
Wanabodi.
Utambulisho.
Mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, yaani freelance journalist, hatutumwi na mtu yoyote au media yoyote. Sisi waandishi tuko wa aina nyingi na tunafanya kazi za aina nyingi, wengine ni maripota, wengine watangazaji, wengine wahariri, na ndani ya makundi hayo...
Kasheku Msukuma(MB) - Geita Vijijini leo bungeni akichangia kwenye bajeti ya Wizara ya Elimu na Ufundi, amesema yawezekana walikosea kuja na sera ya "elimu bure" ama sometime hutumia kiswahili cha "elimu bila malipo" mwaka 2015..
Kuna kila dalili kuwa Msukuma ametangulizwa na CCM kulichokoza...
Inaonekana Ndugai aliamini alichokisema pale alipopinga sera za taifa kuishi kwa kuomba omba misaada na kupelekea kujiuzulu uspika kwa shinikizo... amelirudia tena jambo lile kwa angle nyingine...
Hili dhahiri ni jiwe limerushwa Ikulu, na natumaini wakubwa watapata ujumbe kwamba kuna sehemu...
Ndugu wapendwa
Kumezuka upatu nyingine kwa style tofauti
Hivi sasa kuna makampuni yanajitangaza kutoa vifaranga/vyakula vyake bure kwa wananchi
Wameanza kukusanya watu kila kona ya Tanzania wakihadaa kuwapa vifaranga na vyakula bure
Baada ya kufikia malengo ya idadi..Vile vikundi havijapewa...
Hello wanajamvi,
Natumai mko poa kabisa na mnaendelea vema na weekend!! Kwa wale mashabiki wote [simba na yanga] nawatakia ushindi lakini sipendi yoyote afungwe for the sake ya furaha ya marafiki na jamaa zangu waliogawanyika katika kambi hizo mbili na wote nawapenda.
Back to the topic;
Leo...
Ukikaa nao watakwambia Algebra mara hivi mara vile lakini waarabu hawana mchango mkubwa sana hapa duniani, na wenzao wahindi wamo humohumo, hamna kitu. Wamegundua vitu vichache sana hapa duniani kwa hiyo ni sahihi kabisa kusema kwa hapa duniani mchango wao katika uvumbuzi ni negligible...
Kila idara ya serikali siku hizi ina vyanzo vya mapato!
Ndungu zangu NEMC naona bado wamelala usingizi wa pono wakati kuna pesa kibao za kuokota!
1. Sheria na kanuni za mazingira ziko wazi kabisa! Hivyo basi!
Nashauri NEMC ianze kutoza kodi ya spika na miziki mikubwa katika kumbi na taasisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.