Kwa maisha na mifumo ya kimaisha ya Afrika kupigika ni jambo la kawaida sana.
Hivi umewahi kujiuliza hawa Wazungu wanaotalii Tanzania na kuzunguka dunia kazi wabafanya saa ngapi?
Turudi kwenye mada.
Haya basi chukua kapesa kadogo ulichonacho kisha kashike na ukiamuru kiite wenzake (pesa...
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Ndugu zangu nimepata taarifa kutoka kwa baadhi ya ma homeboyz kwamba kuna baadhi ya vijana wa panya road wako katika process za kutaka kuikimbia nchi ili waje Kaburu kwa lengo la kukwepa mkono wa...
Kila mtahiniwa wa kidato cha nne na sita alitakiwa kulipa ada ya mtihani TZS 50,000. Baada ya kufuta ada na michango isiyo muhimu, Serikali imefuta ada ya mtihani kwa shule za Serikali ikiwa ni sehemu ya azma ya Mhe. Rais Samia Suluhu kuifanya elimu kuwa nafuu.
Utangulizi
Sera ya elimu bure hapa nchini ilianza kutekelezwa na Serikali ya awamu ya tano. Sera hiyo ya elimu bila malipo inahusisha shule zote za Umma za msingi na sekondari. Ndani ya miaka mitano (2016-2020) ya utekelezaji wake, Idadi ya wanafunzi wanaoandikishwa katika shule zote hapa nchini...
Juzi kati ilibidi nigombane na ndugu yangu baada ya kunipigia ghafla akiniomba nauli ya kwenda kwenye usaili wa psrs huko Dar. Kwa kifupi ndugu yangu huyu alinishtukiza na sikua na kitu mfukoni, hivyo ikabidi niingie madeni kwa kumkopea pesa mahali.
Ushauri wenyewe ni huu:
Nashauri kwamba...
WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, ameagiza matibabu ya malaria kutolewa bure kwenye vituo vya kutolea huduma za afya vya serikali.Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa wananchi wanaofika kufanya vipimo vya malaria na kifua kikuu.
Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa...
Huyu mtoto anajeuri sana, mimi nimeshindwa kuvumilia.
Namuomba mwakinyo kubali kupigana na twaha Ili ujiweke fiti zaidi pambano lako na twaha litakupa nguvu zaidi Kwa mapambano yajayo njoo umpasue huyo tumechoka na madharau yake.
Wenzetu wanatoza kodi na tozo kwenye kila kitu, lakini wanamnyonga kila mla kodi na tozo hizo za wananchi. Lakini hapa kwetu sio hivyo, wala rushwa, kodi na tozo wanafahamika lakini hakuna lolote.
Haina shaka kwamba pombe na sigara, soda na vinywaji aina yake, na pengine sekta ya madini, ndio visababishi vikubwa vya maradhi. Visababisha maradhi basi viwe na mchango katika tiba.
Serikali ikae ifanye tathmini ili kujua endapo itaongezwa shilingi 100 kwa kila kinywaji, itapatikana shilingi...
Kwa yeyote anayehusika na jambo hili ikiwa ni mchengerwa au karia ama mwingine yeyote akitumia akili yake bila kuipeleka likizo atakubaliana na mimi kwamba Kwa wachezaji wa timu ya taifa tuliyonayo sasa ni uharibifu wa mali za umma kuleta kocha Toka mataifa ya kigeni.
Kama wadau wako serious...
ULIKUWAJE ULIVYOKUWA MTOTO? HIVI NDIVYO NILIVYOKUWA!
Anaandika, Robert Heriel
Shahidi!
Moja ya sababu kuu zilizonifanya nikiwa mdogo nisipende kusafiri Kwenda kwa Ndugu Mjini, ni sababu ya Uvivu wangu.
Nilikuwa mtoto mvivu wa kazi hasa za Kuosha vyombo😊, sipendi kutumwa tumwa hasa nikiwa na...
Serikali inaongeza vituo 2,000 zaidi vya Wi-Fi ya bure kote nchini katika hatua ambayo inatajwa kuongeza ufikiaji wa huduma ya intaneti katika maeneo ya pembezoni mwa nchi, ikiwemo wakati wa dharura kwa watakaohitaji huduma za Serikali kama vile usajili wa Vitambulisho vya Taifa
Hadi sasa...
Vituo vya msaada wa kisheria vilianzishwa ili kumsaidia asiye na uwezo wa kuajili gharama za wakili wa kujitegemea!
Wizara na serikali kwa ujumla!
Tazameni upya vituo vya misaada ya kisheria!
Wanasheria waliopo kwenye vituo hivyo Wanafanya kazi kwa visirani kama wamelazimishwa!
Wako too...
Hello wanajamii forums,
Ni wiki kama mbili sasa tokea kutumia zile apps za wire tun, Thor VPN na HA Tunnel zinazotoa huduma ya free internet kutoka servers za mbali kama vile UK, US, German e.t.c
Simu yangu iliyotoka kiwandani ikiwa na 6000 mAh, ambayo ilimaliza siku 3 pasipo kuchajiwa kwa...
Ndg wanajukwaa kumekuwa na tabia ya ubaguzi ktk utoaji mikopo ya manispb kwa vijana.Mfano hai ni manispaa ya Songea mkoani Ruvuma. Miaka mi3 nyuma niliunda kikundi tukaakisajili, tukafungua akaunti tukandaa mchanganuo.
Kabla hawajatutembelea ikaibuka hoja dhaifu eti miongoni mwa barua ipitie...
Kuanzia leo Agosti 15, Wanawake nchini Scotland wanaanza kupata Taulo za Kike bila malipo kufuatia Sheria muhimu iliyopitishwa mwaka 2020.
Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali iliyotolewa na Katibu wa Haki Jamii, Shona Robinson imesema Halmashauri na watoa Elimu watalazimika kisheria kuhakikisha...
Habari wana JF ,Binafsi huwa sipendi kutoa ushauri wa bure huwa naamini kile nlichosomea ili kizae matunda ni Lazima kiwe na thamani lakini kwa leo ntampa ushauri wa bure kuhusu mfuko wa Taifa NHIF .Mambo mengi haya unayajua ila naweka msisitizo .
Kwa kifupi sipendi waziri uwe Chanzo cha...
Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Javier Hernandez “Chicharito” amesema yupo tayari kurejea klabuni hapo ili kuikoa jahazi la timu hiyo katika suala la ushambuliaji
Chicharito, 34, aliyefunga magoli 59 katika mechi 157 akiwa United kwa sasa anaichezea LA Galaxy ya Marekani amesema...
Mwanafunzi ahaha kulipa deni la Sh9 milioni Mloganzila
Rombo. Mwanafunzi wa Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI), Hombolo mkoani Dodoma, Lightness Shirima (22) amesema anahangaika kulipa deni la matibabu la Sh9 milioni aliloliacha baba yake aliyefariki dunia Hospitali ya Mloganzila ili apatiwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.