Duh leo nimekaa nimemis pombe za bure leo weekend watu mnakaje nyumbani tokeni ata njee tu mtembee labda utapata pombe za bure mimi nipo hapa kitambaa cheupe nasubilia 😂
Baada ya Fatma kutoka kwenye kikao cha review ya hukumu ya mchezaji Feisal Salum dhidi ya Waajiri wake Klabu ya Yanga, Wakili Fatuma Karume maarufu kama 'Shangazi' aliyekuwa upande wa Fei Toto amesema: "Tumemaliza tulichokuwa tunakifanya, tumewaachia wao watafakri upya, mimi nina mwakilisha tu...
2008 hiyo Mshua alikuwa anapiga kazi zake za wiki lakini ikifika Ijumaa mida ya saa mbili flani hivi anapiga vyombo vyake kistaarabu kabisa hana kelele wala fujo na ni ndani sio bar.
Nilipewa takribani elf 10 kuchukua lvinywaji alivyoniagiza, enzi hizo ni pesa kubwa hii.
Nilipita sehemu...
MAVUNDE AFANIKISHA HUDUMA YA BURE YA WENYE MATATIZO YA MACHO, KIJANA ALIYEACHA MASOMO KWA TATIZO LA KUTOONA APONA. AAHIDI KUMSOMESHA.
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde kwa kushirikiana na Lion Club tarehe 24 na 25 waliendesha huduma ya kambi ya macho katika Kituo cha afya...
Hakika hakika Dunia ni watu.
Ndugu makomredi na wanafamilia nichukue fursa hii kama mpambanaji na mwanafamilia wa ukweli wa jukwaa hili kusaidiana inapobidi nyakati zote ni muhimu sana sana.
Hasa sisi wachatakaji, wazagamuaji, wakali wa msakalanyo, wazee wa kutimba aidha uwe umeoa au hujaoa...
Nimepita huku kijiweni Baba mmoja hapa Dar anadai kutozwa Elfu4 kwa wiki kwa ajili ya chakula, 500 kwa ajili ya maji, 500 kwa ajili ya mlinzi, na alilipa 1,000 kwa ajili ya kitasa cha mlango (Kiliharibika wakatakiwa kuchangia). JUMLA 6,000.
Baba huyu anadai anakaa na watoto 3 na kila mtoto...
Nisiwachoshe sana, huyu bint anafanya siku ionekane fupi kila ukikutana na videos zake mitandaoni.
Kiufupi ni kama comedian flani kuanzia muonekano mpaka kauli zake.
Nilitazama interview moja anasema amelipwa dola za kimarekani 705(mia saba na tano) na kwamba anadai ni sawa milion kumi na saba...
1. Chukua Jiwe Dogo rusha upande wa mbele lilipo Jeneza Marehemu wako hata kama hakutaka Kusafirishwa Kwao atafika tu na wala hamtadhurika njiani na Gari yenu haitopata Ajali.
2. Chukua Jiwe Kubwa liweke Juu ya Jeneza hapo mnafika nae Kijijini Kwao Salama na wala hamtopata Jambo lolote baya...
Nasikitika kwamba uzi wangu wa US ambassador's self help fund ulifutwa sikuelewa sababu ni zipi. Nimepata lawama sana juu ya uzi huu nimeurudisha tena uzi huu.
Vijana wenzangu ninawapenda sina wivu na mtu, mimi ni mpenda maendeleo tuchangamkie hii fursa.
US AMBASSADOR’S SPECIAL SELF-HELP FUND...
DSTV waheshimiwe sana. Haka kamvua kidogo tu AZAM haioneshi. Yaani imekata matangazo kabisa.
Kwa manyunyu tu. Tuwaheshimu sana. Miaka yote natumia DSTV hawajawahi kuwa waduanzi hata kidogo.
Leo January 30 ni kilele cha siku ya kimataifa ya maadhimisho ya magonjwa ambayo hayapewi kipaumbele Duniani, ambapo kitaifa maadhimisho hayo yanafanyika mjini Tanga kwa kauli mbiu ya “Chukua hatua sasa kwa pamoja tuchukue hatua tuwekeze sasa".
Kwa mujibu wa Meneja wa Mpango wa Taifa wa...
Hasa majengo ya nane nane. Kwenye viwanja hivi ambavyo vipo karibu kila mkoa, utakuta taasisi nyingi zimejenga majengo mazuri na ya kudumu. majengo haya huwa hayatumiki na watu kwa mwaka mzima isipokuwa Kwenye sherehe za nane nane au sabasaba. Tunawezake kuyatumia majengo haya kwa faida kwa...
Kiukweli hili jambo linashangaza sana.
Linashangaza kwa sababu watu hawataki kujifunza. Bado kuna watu bila sababu yoyote ya msingi wanahendekeza chuki zao dhidi ya Lissu.
Lissu hana kosa lolote. Lissu hajawahi kushika madaraka makubwa ya nchi. Kwa hiyo kama kuna watu wana umaskini, njaa...
Rais Emmanuel Macron ametangaza hatua hiyo baada ya ripoti ya Serikali kuonesha ongezeko kubwa la Magonjwa ya Zinaa kwenye kundi la Vijana na Watoto.
Huduma hiyo itaanza kupatikana nchi nzima kwenye Maduka yote ya Dawa kuanzia Januari 1, 2023 na ikumbukwe pia Ufaransa ni moja ya nchi...
Nasikitika sana hawa StarTine wamenifungia Channel zote isipokuwa TBC tu.
ITV hakuna
STAR TV hakuna
Channel Ten hakuna na nyingine
Nilipowapigia wakaniambia wanafanya ukarabati kisha watarejesha baadaye ila tu naweza kulipia kiasi ili niweze kuziona Channel hizo. Ujumbe huu ukanifanya nielewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.