bure

Buré is a commune in the Orne department in northwestern France.

View More On Wikipedia.org
  1. Teko Modise

    Marumo watangaza kiingilio bure mechi yao ya marudiano dhidi ya Yanga

    Ummat halaiki ya wapenda kandanda nchini Afrika Kusini watapata fursa ya kuangalia mechi ya Marumo vs Yanga bureeee. Hii ni habari mbaya, maana ninavyowajua wasauzi watajazana uwanjani na mavuvuzela ya kutosha na kitachofata inaweza kuwa mauaji ya halaiki kwa Yanga. Mimi kama shabiki nguli wa...
  2. B

    Serikali yafanikisha Wajawazito kupimwa vipimo vya awali bure

    Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan inazidi kuboresha huduma za afya kwa wananchi na kuanzia sasa akina mama wajawazito wanaofika kwenye kliniki za uzazi na zile za mama na mtoto kupimwa vipimo vya uwingi wa damu, mkojo, kuangalia uwingi wa protini, shinikizo la damu...
  3. NetMaster

    Ni vipi nyumba inakuwa na uhaba wa vijiko vya shilingi 300 ?

    Huwa nashangaa sana baadhi ya nyumba tatizo la uhaba wa vijiko linaweza kuwepo kwa muda mrefu, vijiko unakuta ni vya kusubiriana. Hivi mtu anapungukiwa kipi kununua hata vijiko vya buku viwe hata vinne ama vitano ? Tatizo huwa ni lipi hasa ?
  4. J

    Natoa bure shamba la kulima

    Habari, Namtafuta mtu anayetaka kulima shamba bure, lipo Masaki, Kisarawe. Linafaa kwa kilimo cha mihogo, mahidi, nampa alilime bure. Lina ukubwa wa hekta 2, lipo karibu na barabara. Contact: WhatsApp 0713 95 92 90.
  5. Youngblood

    Hii inasaidia nini au kujipa kazi za bure tu

    Wataalamu wa friji na freezer hizi mbao kama stand hapo chini ya friji, huwa zinasaidia nini au tunajipa kazi za bure tu.
  6. D

    Kwanini huwa tunalipia kodi ya pango la ardhi wakati ardhi tumeikuta ipo bure? Why?

    Mambo mengine mtu ukiwaza unaona kabisa maisha ni mepesi kimtindo lakini kuna baadhi ya wanadam wenye dhamana ya uongozi ndiyo waliyoyafanya maisha yawe magumu! Tumeumbwa ardhi ilikuwapo, tumepata Uhuru, ardhi ilikuwapo milele hadi milele yote! Sasa kwanini tunalipia kodi ya pango la ardhi...
  7. Titicomb

    Russia kupeleka mbolea bure nchini Kenya

    Wakati MK254 akimtukana na kumshambulia Rais Putin kila siku, yeye aamua kumjibu kwa vitendo kwa kupeleka mbolea bila malipo nchini Kenya na gharama za usafiri italipia Russia yenyewe ili kuwakomboa na njaa wakenya wanaoteseka na njaa kali. Nasema hivi UUNGWANA NI VITENDO. Russia to deliver...
  8. Hemedy Jr Junior

    BASATA mnakula hela za wasanii bure, hakuna mnachokifanya

    Baraza la sanaa Tanzania sijaona kazi yenu kama madudu ndo haya mnamefeli. Jaribu kujipanga upya. Diamondplatnumz ,alikataa kushiriki tuzo zenu afu mkampa tuzo ya heshima😁 mko sawa na utendaji kazi wenu kweli. Umeandaa Tuzo za (TMA) ila kinachoendelea mnakijua nyie sijui mmelogwa au nini...
  9. Mr Pixel3a

    Pasaka hii tukumbuke kuwasaidia wahitaji, yatima na wajane

    PASAKA ni kuyaishi maisha mapya ndani ya kristo yaani utakatifu, wokovu, utuwema, fadhili upendo na matendo mema. Maisha ya Yesu hapa duniani yalikuwa yakutenda mema. Hivyo Basi Tuuishi Ukristo kuwasaidia wengine (mpende jirani yako) Yatima, wajane na wasiojiweza kwa namna moja ama nyingine.
  10. kocha Nabi

    Ushauri wa bure kwa benki ya NBC kwenye udhamini wa ligi ya Tanzania

    Habari wakuu, Nikiwa kama mfanyabiashara ninayeanza kujikita katika hii tasnia huwa kuna hali inanijia kwa asilimia kubwa vitu ninavyokutana navyo huwa nahusisha sana na biashara. Katika pilika zangu nikajikuta nachukia sana matangazo wanayofanya NBC kwenye udhamini wa ligi yaani hayaakisi na...
  11. M

    Ina maana hizi Bodaboda wanazigawa bure kama peremende?

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekabidhi pikipiki 100 zenye thamani ya sh. milioni 260 kwa vijana wa wilaya ya Ruangwa ili wazitumie kufanya biashara ya usafirishaji. Akizungumza na vijana wa Ruangwa kwenye hafla ya kukabidhi pikipiki hizo iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vya CWT...
  12. DR HAYA LAND

    Elimu bure ambayo haimpi mtu Maarifa ina umuhimu gani?

    Serikali kuhusu Elimu bure waliamua kufanya siasa tupu , Watu wanamaliza hawajui hata kusoma vizuri na Kuandika Juzi nimechart na wanawake kumi wapo chuo kikuu, nimechart nao lugha ya kingereza wote wamelalamika kuwa nawaumiza hawajui kingereza so wameomba nitumie Kiswahili au nitumie kihaya...
  13. Torra Siabba

    Mwanza, jiji linaloongoza kuwa na mbuzi watembea bure

    Mwanza Bwana ni Jiji linalokua kwa kasi sana, hilo linatokana na watu kuongezeka na Serikali imeweka miradi mingi ya kimkakati katika jiji hilo, lakini cha ajabu ni kwamba Mwanza ni mji unaoongoza kwa kuwa na mbuzi (wanyama) ambao hawana mwenyewe. Mara nyingi nimekuwa nikishuhudia mbuzi...
  14. Tate Mkuu

    Ushauri wa bure kwa mchezaji Feisal Salum baada ya mchezo wa marudio kati ya Taifa Stars na Uganda The Cranes

    Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza timu yetu ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya wapinzani wao wa jadi Uganda. Hakika ushindi wa leo, umefufua matumaini ya kufuzu AFCON kwa mara nyingine tena. Nije sasa kwa mchezaji Feisal Salum (Fei Toto). Kwanza nampongeza...
  15. D

    Awamu hii kama una silaha usitembee nayo. Utawala wa kambare, kila mtu anasharubu. Unaweza jikuta unaua mtu bure

    Huko barabarani siku hizi madereva wa magari ya serikali wamekuwa wababe kupitiliza! Nchi inaongozwa kwa sheria na taratibu! Usalama barabarani unaongozwa na sheria za usalama barabarani. Lakini bahati mbaya sana madereva wa magari ya serikali na polisi, Trafiki ,wanaUsalama, wanajeshi...
  16. Foffana

    Mafuriko Dar ushauri wa bure kwa vijana wanaotafuta maisha

    Habari za jioni wakuu straight to the point Niwape ushauri vijana wenzangu ambao tumepanga huku mabondeni na ambao wanatarajia kupanga kuwa wasijaribu hiko kitu Mafuriko yanarudisha sana nyuma hasa kwa vijana ambao tunahustle ili tuweze kutoboa Leo asubuhi nilitoka kidogo ghetto kuna mishe...
  17. wilcoxon

    Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

    Hii ndiyo hali ilivyo katika Stendi ya Mabasi Chato, Je, tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je, nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha Wananchi?
  18. Mganguzi

    Kwanini biashara ya Figo inapigwa vita wakati wahitaji wa Figo ni wengi? Figo sio damu watu hawawezi kujitolea bure

    Hali yetu ya uchumi ni mbaya na ndio maana watu wetu wako tayari kufanyiwa lolote ili TU labda wajisogeze kidogo. Hata kama ni kwa kuhatarisha maisha Yao !! Kwanini wasiruhusiwe iwe na utaratibu maalumu namna na jinsi ya kujitolea. Figo ni kiungo ambacho wagonjwa wengi wanateseka kama Kuna...
  19. profesawaaganojipya

    Msaada; Utaratibu wa matibabu ya bure kwa wazee upoje?

    Ndugu wakuu, nina bibi yangu anaishi Dar na maza, ana umri wa miaka kama 100 hivi, sasa anasumbuliwa sana na maradhi na upande wa uchumi uko vibaya, siwezi mkatia bima ya afya. Naomba kujua utaratibu wa kupata kitambulisho cha matibabu ya bure kwenye hospitali za Serikali, kwa anaejua...
  20. Chizi Maarifa

    Mama akaniambia "Mwanangu huyu ni bure kabisa" Nlichukizwa sana

    Nlishawahi kuwa na demu mmoja kilaza sana. Unajua sometimes sisi wanaume kabla ya kuoa unakuwa na mchakato wa muda mrefu wa kutafuta mke. Yule demu nlikutana naye mazingira flani nami akili yangu nayo ikiwa kama saa mbovu. Nikakamata sasa kwa kuwa alikuwa hana akili nikampenda. Si nami nlikuwa...
Back
Top Bottom