bure

Buré is a commune in the Orne department in northwestern France.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyuki Mdogo

    Mmeziona Fursa za kusomeshwa Bure na KCB? Changamkia hizi short course nchi nzima

    Benki ya KCB imetoa fursa ya mafunzo kwa vitendo na ujasiriamali kwa kushirikiana na vyuo vya kati (VETA na SIDO) Course za miezi mitatu zitakazofundishwa ni Tembelea website ya KCB kujisajili ONLINE na kusoma vigezo na masharti Mwisho ni tarehe 26 July.
  2. Upekuzi101

    Watu hawapigi kelele bure

    Kelele kelele "Viongozi wa chama cha ANC wametishia kwenda mahakamani wakiishutumu serikali kuwapa Dubai tenda ya usimamizi wa bandari kinyume cha sheria kwasababu wananchi hawakuhusishwa. Wakisema kwamba, barua iliandikwa na kutiwa saini na Waziri wa Fedha tarehe 30/3, barua yenye maelezo...
  3. Pascal Mayalla

    Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni makala elimishi ikielimisha kuhusu heshima ni kitu cha bure, hivyo kuwaelimisha wana jf na mitandao ya kijamii, kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote, lakini ni lazima...
  4. Beberu

    INAUZWA Fridge za boss zinauzwa bei ya sawa na bure kabisa

    Wakuu nina mzigo wa fridges nzuri sana za boss hapa, nautoa nataka uishe chap sana ili nilete mzigo mwingine, hivyo basi nimeweka punguzo kubwa sana la bei. Ukinunua kwetu unapata Usafiri bure, Pasi ya umeme bure, Jagi la umeme, stand ya fridge bure kabisa. NB: Malipo ni baada ya delivery...
  5. H

    Designer au supplier wa T-shirt ya "Tunatangazwa bure "Burj Khalifa" tafadhali sana naomba kujua nitaipataje?

    Leo katika pitapita yangu nimeona Mtanganyika mwenzetu kavaa Tshirt imeandikwa "Tunatangazwa bure Burj Khalifa", nikashindwa hata kupiga picha, hata kumpata kwa haraka sababu nilikuwa nadrive na wakwe zangu na taa ziliruhusu, kwa hiyo nikashindwa kabisa ila nimefarijika sana kwa ujasiri ule...
  6. Nyendo

    Jeshi la Polisi: Ukipewa dhamana polisi kutoka ni bure usitoe pesa

    Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo amepiga marufuku tabia ya baadhi ya Askari kuomba rushwa pale ambapo Mtuhumiwa anapokamatwa na kupewa dhamana na Ndugu zake kwa kumtaka atoe chochote katika Vituo vya Polisi. Akiongea na Wakazi wa Kata ya Kamoge Wilayani Bukombe Mkoani Geita...
  7. K

    Nani anayeihujumu TTCL? Kuna tatizo la kuadimika kwa laini, zinauzwa mpaka 7000

    Nani anayeihujumu TTCL kwa kiwango hiki? Kuna mmbo fulani yanaendelea kwenye TTCL kiasi kwamba tunaona kama ni hujuma kwa TTCL: Kwanza, kipindi kirefu sasa ukitafuta laini za TTCL kwa mawakala wanakuambia hamna. Ni kweli shirika likose laini ambazo kimsingi ndio mteja na ndio zitachochea...
  8. D

    Kupata APP za Bure

    Wakuu habari za leo , naomba msaada wa namna au site za kudownload app za Bure za Computer. zile ambazo zipo cracked
  9. Jidu La Mabambasi

    Bandari: Ushauri wa bure kwa Rais Samia, achana kwanza na suala la kuikodisha kwa wakati huu

    Bandari bado ni kaa la moto. Wabunge na Bunge limeupitisha mkataba, lakini wenye nchi, Watanzania hawajui kilichopitishwa ni kitu gani. Kwamba kuna habari kuwa Wabunge walioenda "kuona" shughuli za DP World katika bandari za huko nje walikuwa compromised, hili linaleta utata mkubwa. Ushauri...
  10. Nyuki Mdogo

    Graduate, Umekaa tu bure nyumbani na unataka ule milo mitatu?

    We kijana uliyesoma soma huko, kuna sera mpya inakuja haiwezekani ule milo mitatu hivi hivi wakati huna kazi yoyote unayofanya hapo nyumbani Halafu ukute anayekulisha amekubali kuteseka na kazi ya laki na nusu kwa mwezi... amka upambane tukutane mezani Jioni tu Milo mitatu ni kwa watoto wadogo
  11. Boss la DP World

    Maprofesa na Wahadhiri wa Vyuo vya Tanzania ni bure kabisa

    Nilitegemea hawa wasomi wa ngazi za juu kujitokeza hadharani kutoa maoni yao kuhusu hiki kinachoendelea nchini, badala yake wanagugumia chini chini tu. Sasa ikiwa hawa watu wenye jukumu la kubrush akili za vijana wetu wanakuwa waoga kiasi hiki, vipi hawa wasomi wanaoingia mtaani kama matokeo ya...
  12. kavulata

    Ombi la Rais kuhusu Fei Toto kwa Yanga ni agizo lakini lisivunje kanuni za FIFA

    Mpira ni taasisi yenye lugha yake, taratibu zake na sheria zake. Mpira ndio taasisi inayoruhusu mtu kuuzwa kwa mkataba fulani wa muda fulani kwa kiasi fulani. Hii inafanyika kwakuwa: 1. kila timu inataka wachezaji wazuri kuliko timu pinzani. 2. Wachezaji wazuri sio wengi sana kwenye jamii...
  13. Baraka Mina

    Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Chakula cha Usiku na Timu ya Yanga kwa ajili ya kuwapongeza kwa hatua waliyofikia ya kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF). Hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu Magogoni jijini Dar...
  14. Maleven

    Wahenga, Kuongea bure baada ya dakika ya 3 :Tigo, My number 1: Vodacom

    Kama ulitumia hizi huduma nadhani sasa uko kwenye ndoa au unawatoto Kwakweli Tigo na Vodacom walisaidia sana mahusiano ya watu mana hata utaratibu wa kujiunga bando haukua sawa. Tigo unasubiri saa sita baada ya dk ya tatu, unakua unaongea bure mpanga asuburi Vodacom: unajiunga shiling 50...
  15. Mparee2

    FISTULA inatibika na kupona kabisa bila gharama/bure!

    Kuna hili tatizo linalopata wanawake wakati wa kujifungua hasa wale waliopata Uzazi pingamizi na kuwafanya washindwe kuzuia haja (kubwa na ndogo). Tatizo hilo linatibika na Kupona kabisa na huduma hii kwa sasa inatolewa bure kabisa. Kama mgojwa yupo kijijini na akawa hana nauli ya kwenda...
  16. A

    Ni nini hatma ya tiketi za bure za Rais kwa mashabiki kwa mechi ya Yanga vs. USM Alger?

    Miezi michache iliyopita Rais alitoa tiketi 20k bure kwa ajili ya mashabiki kwenda kuishangalia Taifa Stars vs. Uganda matokeo yake tulipigwa. Jana katoa tena tiketi 5k bure kwa mashabiki kwenda kuishangilia Yanga vs. USM Alger. Je, historia itajirudia?
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Bila uzalendo hata tujenge hospitali au shule kila kata, bado ni Bure.

    BILA UZALENDO HATA TUJENGE HOSPITALI AU SHULE KILA KATA, BADO NI BURE. Anaandika, Robert Heriel Kukosa miundombinu ya Huduma za kijamii ni tatizo lakini kukosa uadilifu na Uzalendo ni janga kubwa katika mataifa yetu ya Afrika. Nchi yetu inamatatizo mengi Sana lakini yake makubwa ni matatizo ya...
  18. Mwamuzi wa Tanzania

    Anayetaka pesa ya bure aweke bashiri hii mechi ya Yanga kesho.

    Yanga itashinda goli 2 kwa bila na ili upate pesa nyingi bashiri kuwa goli zote zitapatikana kipindi cha kwanza. Pesa nje nje, wataalamu wa betting mnisaidie , nikibeti kwa kutabiri yanga itashinda goli 2 kipindi cha kwanza na kuweka elfu 10 itazaa sh.ngapi? Nimeota, na inaenda kuwa kama...
  19. S

    Dawa aina ya Amoxicillin, Zinki na ORS ni bure kwa watoto chini ya miaka 5

    Picha: Ummy Mwalimu Serikali imesema dawa za kidonge myeyuko cha Amoxicillin, Zinki na ORS kwa ajili ya watoto wenye umri chini ya miaka mitano, haziuzwi, zinatolewa bure kwa wananchi, kwa sababu zinanunuliwa na serikali kwa kushirikiana na wadau. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Mhe.Ummy...
  20. BARD AI

    Serikali yaagiza Dawa za Kutibu Homa na Kuhara kwa Watoto zitolewe bure Nchi nzima

    Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu leo Mei 12, 2023 Bungeni Dodoma kwenda kwa Waganga wa Wilaya na Mikoa Nchini kote akiwataka kusimamia utoaji wa Dawa hizo kwa Watoto wenye chini ya miaka 5. Waziri Ummy amesema Dawa hizo zikiwemo Kidonge Myeyuko cha 'Amoxicillin', Zinc na...
Back
Top Bottom