Kwa kilio kile lazima alizidiwa kutoa rushwa na wenzake kwa wajumbe.
Ila chama hicho jamani, da!
Ajabu yanarekodiana bila hata haya !
Siku si nyingi hawa watakuja kuuana kwa mambo ya kufilisiana halafu wanabaki kuliliana kijinga namna hiyo.
Watu mna siri.... Nimeumia sana. Kumbe kuna kipindi mlikuwa mnapata vitu vya bure hata sisi wengine hamkutuambia?
Ni miaka gani hiyo bandugu? Sisi tuliozaliwa early 70s nadhani hilo neno halituhusu. Maana sikumbuki mimi ni vitu gani tulipewa bure na sasa tunatakiwa kulipia. Sikumbuki kabisa...
Rais Samia: Watanzania tumezoea bure, kila kitu bure, kila kitu beiwauree, hakuna hiyo sasa. Tulipeni ili miradi tuweze kuitunza. Sawa ndugu zangu!
Pia Rais Samia ameongelea miradi ambapo amesema katika miaka miwili aliyokabidhiwa madaraka hakuna mradi uliosimama ambapo mengine imezinduliwa na...
Kwa utaratibu wa siasa za Kiafrika ninashauri haraka iwezekavyo katiba ya nchi ibadilishwe na kiongozi yeyote wa chama asiwe au asichaguliwe kuwa Rais wa nchi.
Utaratibu uliopo ni ndoto nchi kupata maendeleo na ni ngumu kuondoa rushwa kwenye jamii. Kiongozi wa chama awe kiongozi wa chama ila...
Wananodi,
Baada ya Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa kutoa kauli hii,
CCM, kwachafuka, wengi wamemjia juu kama moto wa kifuu, kwa kumshukia kama mwewe, huku wengine wakimbeza, kumkashifu, kumkejeli na hata kumtukana!.
Huu ni ushauri wangu wa bure kwake, "Ushauri wa Bure kwa...
Kama hauna Elimu kaa mbali na kitu kinaitwa siasa hautoelewa unapigania nini
Siasa inahitaji Elimu ukitaka kuifaidi hapa nazungumzia Elimu Kuanzia Degree na Masters au Angalau hata PHD
Mimi mjomba wangu ni Darasa la saba yupo Uvccm mwaka wa 10 kama katibu wa vijana huu lakini Mambo yake Ni 0-0...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidijitali, Eliud Owalo amesema lengo la kutoa Wi-Fi bure kote nchini ni kukidhi hitaji hilo muhimu kwa wananchi.
Amesema "Serikali inaamini katika uwekezaji wa Kidijitali kama njia ya kuwezesha Ujuzi wa Vijana, pia, tutatambua Mapungufu ya Ujuzi na...
Sugu aachane na mambo ya kitoto, kukubalika kwa Sugu Mbeya au popote pale hakuna uhusiano wowote kwamba kwa miaka 10 ya ubunge wake kuna jambo la ajabu au la maana sana amefanya jimboni Mbeya mjini la hasha, Bali ni kazi yake ya Sanaaa ndio imeendelea kumuweka mioyoni mwa watu hasa vijana, hata...
Nadhani umewahi kukutana na watu wakilalamika, "Mke wangu haniheshimu. Wadogo zangu wananidharau." Wengi hawa wanaamini kuwa maneno ya wahenga kuwa heshima ni kitu cha bure ni ya kweli.
Ukweli ni tofauti kabisa. Binadamu siku zote wanamheshimu mtu mwenye uwezo, yaani mtu capable. Social animals...
Yaani unahojiwa na Radio One kupitia Mtangazaji wao Godfrey Monyo kuhusu Kukosekana kwa Maji Wilaya anayoishi GENTAMYCINE ya Kinondoni badala ya Kujibu Kiufasaha na Kiutaalam Wewe unaanza Kujibu Kisiasa Kisiasa huku muda wote ukibabaika babaika tu.
Godwin Gondwe ( DC Kinondoni ) nakufahamu...
Kwa wale watakao ridhia kwa hiari chanjo ya Covid-19 kuelekea 2 November 2022 kuangalia mechi ya Young Africans vs Club Africain, tiketi 10,000 za bure wametengewa.
Hii ni maalum kuongeza ufahamu dhidi ya magonjwa kama Covid-19 na Ebola kwa kampeni kuwalenga watu wengi kuongeza ufahamu na...
Elimu ya sasa imewaacha vijana wengi kutojituma kimasomo, hawana uchungu kabisa kupambania viwango vyao darasani na hili ni tokeo la Elimu bure, Na ndio Maana shule binafsi bado zinaongoza kufaulisha wanafunzi kila iitwapo leo.
Hoja muhimu Hawa wanafunzi hawaoni uchungu kabisa Ela inayotolewa...
WAKIKATAA KUMFANYIA IBADA YA MAZISHI NDUGUYO, NIITE MIMI NITAMFANYIA BURE KABISA.
Na, Robert Heriel
Kuhani
Huna haja ya kuwa mnafiki Kwa kuogopa hautazikwa.
Tupo ambao tunajua kuendesha Ibada za namna yoyote Ile na zikafanikiwa Kwa kiwango cha juu Kabisa.
Kwanza elewa kuwa hata usipozikwa...
Habari wakuuu.
Uzi wangu utakuwa mfupi sana lakini wenye fikra na mawazo mapya kwa watu.
Msimu wa 2021-2022 Yanga imechukua;
Ubingwa wa Ngao ya Jamii
Kombe la Azam Sport
Ligi Kuu ya NBC
Imekuwa bingwa bila kupoteza mchezo wowote, hongera sana kwao. Japo Simba ndiyo ilikuwa ya kwanza kufanya...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amemteuwa Dk Harison Mwakyembe kuwa Mwenyekiti wa kamati ya watu saba ili kutafuta chanzo cha kufeli kwa wingi katika mitihani ya mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo (LST).
Kuundwa kwa tume hiyo kumekuja baada ya kelele za wananchi kufuatia hoja...
Nenda kachemshe bamia, hakikisha hutii chumvi kabisa au tia kidogo tu kama huwezi kula bila chumvi.
Chemsha kidogo (isibadilike rangi).
Kula kabla hazijapoa kabisa. Fanya hivyo kwa siku 12-16 mfululizo angalau mara moja kwa siku moja.
Addiction ya punyeto itakata. Utapiga vizuri kwenye game...
Yale maombi mabaya mabaya wanayokuombea watu kwenye mitandao nina imani yatakupitia mbali, maana siyo kwa laana zile unazotupiwa.
Naamini tozo zingekuwa ziko ndani ya uwezo wako ungekuwa umeshazifuta kwa hizi kelele, ila kumbe umefungwa na "Collective Responsibility".
Wito umetolewa kwa NGO, Vikundi vya mikopo au Vikundi vichanga vya maendeleo ambavyo ndio vimeanzishwa na vile ambavyo vina changamoto ya kupata wafadhili popote vilipo, pigeni sim namba 0711860995 kujiunga na group la NGOs ili kunufaika na Capacity Building za NGO na wafanya kazi wa vikundi...
Kwamba CCM hawajui umuhimu wa tume huru? Nani kasema?
Mgombea CCM ataka tume huru kuhesabu kura
Kafunguka mgombea kwenye chama hicho kikongwe bila tume huru, hamwamini mtu chamani humo.
Aliyajua jiwe. Anayajua Samia. Anajua Majaliwa. Anajua Mukandara na hata Dkt. Mahera.
Mengine ni manjonjo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.