FEDHA YA DHARURA ITENGWE HARAKA KUOKOA ELIMU NCHINI🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
✍️Mwl. Modest Alphonce
(Mwandishi wa Makala hii ni mwalimu wa Sekondari, mwalimu wa Taaluma Mwandamizi na Mjumbe wa Kamati ya Shule ya Msingi iliyopo jijini Dsm)
Wakati shule wanazosoma watoto wa watunga Sera hapa nchini zikizidi...
Moja kwa moja kwenye mada, mods msiuunge huu uzi na nyuzi nyingine, ladha zinatofautiana.
Inawezekana kabisa walioko kwenye mifumo wanajua shida iko wapi, ila tatizo lao kubwa ni ubinafsi na kutojali watu wao - UBINAFSI NI TABIA MOJAWAPO SUGU YA MWAFRICA, NI SAWA NA UCHAWI TU...
Aisee nimetokea kumpenda bure huyu mama Nancy Pelos jamani. katikati ya mijabali miwili inayotunishiana misuli, mama anatembea kwa madaha bila wasiwasi wowote. Hili hata Trump, pamoja na kujitia kichaa, asingeweza! Hili hata yule msema hovyo aliyetimuliwa uPM kule UK, Bojo, asingeweza...
Huu ni Utumwa Katika Elimu.
Ni wazi kuwa hakuna umuhimu wa Elimu bure maana cha bure hakina Thamani.
Udogoni tumekimbia sana kukwepa kujisomea jioni na wazazi walituacha tu ila hatukujaribu kukwepa tuition tukihofia wazazi kutuadhibu yote sababu tunaonekana kuchezea pesa yake ambayo anaitoa...
Niko hapa nasikiliza nyimbo mbalimbali za kidunia na kidini!
Aisee nyimbo kama za Twenty percent ukisikiliza una feel kabisa ubunifu waziwazi, pia nyimbo kama za prof. J, Wagosi wa kaya, Mwinjuma muumini na wasanij wengine wengi unaona kabisa kuna kitu kilifanyika! (Wasanii na maproducer)...
Katika ulimwengu wetu wa leo matumizi ya Intanet yamekuwa ni miongoni mwa hitaji la msingi kwa kila mtu.
Katika mazingira mbalimbali tumejikuta tukiwa katika maeneo ya umma ambapo kuna wifi za bure na kwa namna fulani tumekuwa tukifurahia na kuunganisha vifaa vyetu kwa na mitandao hiyo. Maeneo...
Inakuwaje taasisi kubwa ya kidini kama hii, watangaze kuwa watagawa nyama bure kwenye sikukuu yao ya kuchinja, halafu mwisho wa siku wagawane waislamu wenyewe huku wasiokuwa waislamu wakinyimwa?
Kulikuwa na ulazima gani wao kusema kuwa watagawa nyama kwa watu wote bure?
Huo si uhuni?
Bondia Tyson Fury amesema kuwa yupo tayari kutoka kwenye kustaafu na kurejea ulingoni kupigana na Anthony Joshua bila malipo kwenye Uwanja wa Wembley, England.
Fury, 33, alishinda pambano lake dhidi ya Dillian Whyte, Aprili 2022, na akasisitiza kuwa anastaafu.
“Ni Bwana Biashara, siyo...
Kwema Wakuu!
Wakati wewe ulitumia mamilioni ya pesa kufaulu Kidato cha nne, kuna wajuba gharama zao Kwa ujumla tangu Kidato cha Kwanza mpaka cha sita hawafikishi hiyo milioni Moja. Hivyo usiringe Sana Utaonekana mshamba tuu!
Wakati wewe ulitumia mamilioni ya Pesa kupata Pisikali Fulani, kuna...
Kura zipigwe na Sisi Wadau wa Soka au na Makocha au na Wachezaji wa zamani na siyo na Watendaji wa TFF waliokaa hapo Karume na Vitambi vyao kama Mapipa ya SIMTANK ndiyo Wachague / Watuchagulie Washindi.
Huwezi kusema kwa Magoli yote yaliyofungwa katika Msimu wa Ligi Kuu Goli la Fiston Mayele...
Unakuta mtu anajisifu kuwa yeye hapendi mademu kumbe ana kiwango kidogo cha testasteron mwilini. Sisi wenye kiwango cha juu cha testasteron tunaonekana wahuni kisa tuna michepuko mingi.
Mtusamehe sio sisi bali ni hormone zimezidi hatuna jinsi zaidi ya kupeleka moto kwa hawa viumbe. Kama una...
Leo limetokea tukio la kustaajaabisha sana hapa katika shule ya msingi Tumaini iliyopo manispaa ya Bukoba, watoto wamerudishwa majumbani kwa kuwa wazazi hawajalipa mchango wa Tuition ya jioni.
Kinachoumiza ni kumrudisha mtoto asubuhi nyumbani, yaani akose vipindi vya msingi vya asubuhi kisa...
Habari wanaJF,
Katika harakati zozote za binadamu changamoto hazikosekani katika maisha, nimesema hivyo kwasababu kuna mdada mmoja jirani hapa nimefamiana naye kidogo sana. Siku moja akanifuata akaniomba nimsaidie chochote nilichonacho akaniambia yeye anadaiwa kodi na mwenyumba wake na pia hana...
Katika hali isiyo ya kawaida serikali ya Tanzania imeshindwa kugharamia elimu bure kama ccm ilivyohaidi wananchi.
Inasikitisha fedha za kuendesha shule za sekondari na msingi nchi nzims tangu mwezi May 2022 hadi sasa hazijapokelewa fedha za uendeshaji na mitihani ya ndani imefutwa kwa...
Hii ndio taarifa ya leo iliyoripotiwa na gazeti la Raia Mwema , ni kwamba DPP ameamua kukata rufaa kwa ile kesi ya kwanza iliyowashangaza wengi ambayo pamoja na Sabaya kufungwa miaka 30 Jela , lakini aliachiwa huru katika mazingira ya kutatanisha , baada ya kukata rufaa na kushinda .
Tuendelee...
Wanabodi,
Chadema ilijikwaa, ikaanguka, ikaangalia tuu pale ilipoangukia, ikainuka, ikaendelea na safari, bila kuangalia ilipojikwa, sasa imejikwaa tena pale pale, Ila bado haijaanguka, hivyo huu ni ushauri wa bure wa kuisaidia this time around, isianguke!.
Mtu unapokuwa umejaaliwa uwezo wa...
Nimeona wamesema Elimu High school itakuwa bure, ni vema na Haki, Lakini hii kuwasaidia watu elfu 70 ambazo wazazi wanaweza kujichanga na kuomba omba wakapata na kule ambapo wanadaiwa mamilioni ya Pesa na kukosa hata mikopo (Kwenye Vyuo) Hawapewi kweli kuna tija?
Kwa kila mzazi kutoa elfu...
Nimekuwa nikifanya freelancing kwa zaiid ya miaka 7 sasa.
Nilikuwa na bado uwa naendelea kushare na watu humu tips za freelancing na mambo mengine lakini weekend ijayo nimejisikia kushare nanyi tips zaidi.
Hivyo kwa wale watakaopenda kushiriki, nitafanya online mentoring kwa 1 hour kupitia...
Bajeti yapendekeza Elimu ya kidato cha tano na sita kutolewa bure. Wanafunzi 90000 wa kidato cha tano na wanafunzi 50000 wa kidato cha sita. Ili kupunguza adha wanazokumbana nazo ada za watu hao imefutwa.
Hivyo elimu bila ada itakuwa kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita. Pia inaangaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.