Wadau hamjamboni nyote?
Usumbufu niliopata Leo nikienda Morogoro nimejuta kupanda bus
Sitarajii kutumia tena usafiri huo nikienda Morogoro au Dodoma
Panda treni usipoteze muda wako kupanda bus labda kama unao muda wa kupoteza.
Mchana mwema
Basi jitahidini mkijua kuwa fulani mnaenda kuwala Vichwa ( Kuwatumbua ) muwe mnawaambia kabla ili wawe wanajiandaa Kisaikolojia pamoja na Familia zao halafu na hata wasiwe wanapoteza muda Wao kwenda Kuwajibika kwa Siku hiyo kwani kuna Watu mmewaumbua vibaya sana hivi karibuni kwa Kuwatumbua huku...
odinga alikuwa anasikilizwa sana ila inaonekana hana la maana kwa nchi ya kenya:
Raila Odinga : Ruto akiachia, ndo nini? Ruto huenda akaondoka kisha Gachagua achukue jukumu la kutekeleza sera mbovu. Ruto pia anaweza kusema ' nimechoka, wacha majenerali wa kijeshi wachukue madaraka. Kisha nchi...
Unajua watu ukiwaambia jinsi ulivyo na akili wanakudharau rafiki sasa sikia hii mimi ipo siku naanza biashara ya pombe na mpango wangu ukija unanunua pombe me offer yangu ni sigara moja si najua pombe ina faida ya Tsh. 300 so nakupa sigara moja ya 100 mimi potelea mbali acha nipate 200 halafu...
Hawa watu kama nilivyosema kwenye nyuzi zangu za nyuma kuwa hawana vibali vya biashara au wana vibali lakini wanakiuka vibali kwa makusudi kwakuwa serikali zetu za Afrika hazifuatilii shughuli za wawekezaji na wafanyabiashara kwa ukaribu.
Haiwezekani mkopo wa wiki moja wandai baada ya siku tano...
Habari wakuu I real hope you are doing good
Nimekua nikijiuliza kwanini mtu anapoenda mgahawani kuomba huduma ya maji ya kunywa pasipo kuitaji hudumu upata mapokezi mazuri hita pale ambapo mmiliki wa mgahawa anapokua na mauzo yasiyoridhisha
Hii imekaaje ndugu zangu?
Maelfu ya wakazi wa mji wa ifakara na walio nje ya mji leo tarehe 30/06/2024 wameanza kupokea tiba ya macho toka kwa madaktari bingwa wa macho ambao wameweka kambi hapa kwenye hospitali ya Mtakatifu Fransis.
Huduma zinazotolewa ni pamoja na dawa, miwani, upasuaji mdogo na ushauri.
Kambi hii...
Ilikuwa Jumamosi asubuhi na jua lilikuwa linawaka vizuri. Majirani wa mtaa wa Mjini Ndani walikuwa wanapanga mipango ya weekend yao. Lakini kijana mmoja, anayeitwa Toto, alikuwa na plan ya kipekee kabisa.
Toto alikuwa na sifa ya kuwa na ujanja wa kijinga lakini wenye kuleta matokeo. Alikuwa...
Msaada wa kisheria ni jambo muhimu katika kuhakikisha upatikanaji sawa wa haki kwa wananchi wote wa jamii. Nchini Tanzania, Sheria ya Msaada wa Kisheria inatambua dhana ya “watu maskini,” ikirejelea wale ambao hawana uwezo wa kifedha wa kuajiri wakili binafsi. Watu hawa wanaweza kukabili...
MATARAJIO YA WAASISI WA CCM vs. KINACHOENDELEA
________________________
"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania...
Huwezi kuamini lakini ni kweli, tangu mwaka 2020 njia zote za usafiri wa Umma nchini Luxembourg kama vile mabasi na treni ni BURE kabisa.
Ilianza rasmi mwaka 29 Februari 2020, ambapo malipo kwa usafiri wa Umma yalifutwa kwa wakazi na hata watalii wanaotembelea nchi hiyo, maneno mengine...
Nchini Tanzania, serikali inatoa kondomu bure ili kuhamasisha ngono salama na kupambana na kuenea kwa virusi vya UKIMWI. Hata hivyo, hedhi, ambayo ni hali ya kibiolojia isiyoepukika kwa wanawake na wasichana, mara nyingi haipati msaada sawa. Hii imekuwa ikiniacha nikijiuliza, ikiwa kondomu...
Gharama kubwa ya tiba ya magonjwa ya saratani na figo nchini zinasababisha baadhi ya wagonjwa kuacha tiba sahihi hospitalini na na kutumia dawa za kienyeji ambazo zinachangia vifo.
Pamoja na jitihada za serikali kuboresha huduma eneo la magojwa hayo kwa kutoa msamaha wa matibabu kwa baadhi...
Ufike wakati makampuni ya Ving'amuzi wafanye utafiti kwenye biashara zao, kwanini watazamaji wa Televisheni wanapungua?
Huwa najiuliza mbona baadhi ya makampuni yanayotoa huduma za Internet wanatoa vifaa bure na gharama za ufundi, mteja analipia gharama za kifurushi tu tena kwa mwezi tu.
Kwa...
Jana nilikuwa nahangaika ku unlock router isome laini zote nikawa naona kuna videos nyingi za Cameroon, Nigeria, Zambia na hata Tz. Hizi videos wanaonyesha maelekezo hatua kwa hatua lakini hawaweki link ya kudownload vifaa, wanaweka namba, ukiwasiliana nao waomba pesa.
Sio kwa ubaya ningeweza...
Gati linaloelea majini lililojengwa Gaza na Marekani kupitishia misaada kabla kufanya kazi yake limeshakumbwa na matatizo mara kadhaa na mwishowe limebomoka kutokana na upepo mkali.
Habari zinazoendelea kutolewa ni kuwa dude lote limeanza kuzama na haitokuwa rahisi kuliokoa.
Muda mfupi kabla...
Katika sekta ya elimu naipongeza serikali kwa uamuzi wa kutoa elimu bure kwa wanafunzi wote waliofikisha umri wa kuanza shule.
Nawapongeza pia walimu katika utendaji kazi wao wa kutoa elimu kwa watoto wetu wote.
Katika hili kuna changamoto kidogo ya matokeo katika mitihani ya shule mpaka...
Jimbo la bure kabisa lile mkiweka mtu makini mchana kweupe mnalipata lile jimbo.
Wekeni kichwa haswa pale, mbunge wa sasa wa pale ni mweupe peeee kichwani.