(1929 - 2024)
Hiyo taazia hapo chini niliandika majuma machache yaliyopita nilipopokea taarifa kuwa Sultan Jamshid kafariki.
Haukupita muda nikapokea taarifa kuwa si kweli yu hai.
Nilijisikia vibaya sana.
Ninachokumbuka ni kupokea ujumbe kutoka kwa rafiki yangu akiniambia nilifanya haraka...
Wananzengo nimeona mtandaoni barua toka Canada, Mtanzania akimlilia Dr Ndugulile:
FROM OTAWA...........................Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini ?
Mke wa Faustine ambae ni Program Manager pale NBTS, Magdalena Swai nilifanya nae kazi kwa karibu...
BURIANI SALIM ‘’SAMMY DAVIS’’ HARIZ
Niko njiani naelekea Tanga.
Safari nimeanza alfajir sana.
Nasinzia baada ya kupita Wami.
Naizima simu yangu kuhifadhi ‘’charge.’’
NIlipofika Tanga ndipo nikaifungua na kuona msururu wa ‘’mis calls.’’
Msg zinaingia moja baada ya nyingine na ndipo nilipoona...
Tutakukumbuka milele milele yote, hakikanulikuwa mtu mwema na mwalimumwema.
Daima ulituonya, kutukanya na kutuasa.
JamiiForums watakukumbuka kwa ucheshi na vibweka vyako. Uliniasa nisi disclose ID yako na iendelee kubaki kificho.
Hi-Lo tumelitenda kwa nguvu ya Mungu atupaye Leo na kesho...
KOKNI MUSLIM JAMAAT of DAR ES SALAAM, TANZANIA
DEATH ANNOUNCEMENT
إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون
"Surely we belong to Allah and to Him shall we return".
It is with sadness that we share the news of the demise of MR MOHAMEDRAFIQ ZAHIR FAKI who passed away in Dar Es Salaam on 9th...
BURIANI MZUNGUMZAJI WANGU ABUU SHARIFF
Taarifa ya msiba wa Abuu (na hivi ndivyo alivyokuwa akifahamika Dar-es-Salaam) nimeipata kutoka Tanga kwa shariff mwenzake, Shariff Mohamed Yahya.
Wote walipata kucheza Young African kisha Cosmopolitan.
Mohamed Yahya akiwa mlinda mlango na Abuu mlinzi...
Huyu bwana ni kama tulikua tumeshampoteza, lilikua ni suala la kuhesabu siku tu maana hata mkewe alikua kamkatia tamaa. Wakuu mambo haya yasikieni nyie akina min -me , hiv watu mnapata wapi ujasiri wa kusema hakuna uchawi??
Kwakwel kila nikitafakari sipati jibu kwamba hivi ni mahubiri gani...
BURIANI HAMISI "SUPER VC 10" KIBUNZI
Kila nilipokutana na Hamisi Kibunzi tutazungumza mengi kuhusu mpira wa miaka iliyopita wakati Sunderland walipompa jina la "Super VC 10."
Hii ilikuwa aina ya ndege ambazo East African Airways ikitumia kwa safari za masafa marefu: Dar/Nairobi/Addis/London...
Wanabodi
Siku ya leo, tunampunzisha Mzee wetu, Rais Mtaafu wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi, kwa jina maarufu la Mzee Rukhsa, kwenye nyumba yake ya malalo ya makao ya milele.
Mara ya Kwanza Kulisikia Jina la Ali Hassan Mwinyi.
Kwa mara ya kwanza jina la Ali Hassan Mwinyi, nililisikia mwaka...
Habari Wadau,
Leo Februari 10, 2024 Makamu wa Rais Dkt. Mpango ametangaza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania na Mgombea Urais wa CHADEMA mwaka 2015 Edward Ngoyai Lowasa
Soma: Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia
Katika mwaka...
Sitasahau Mei 2015 uwanja mzima wa Sheikh Amri Abeid, Arusha ukiimba "Lowassa Lowassa, Lowassa Lowassa, sitasahau ile picha Dr. Emmanuel Nchimbi na wengi wa wanachama wa CCM wakiimba "Tuna imani na Lowassa" kwenye mkutano wa NEC 2015.
Kipindi cha mchujo hakijanitoka akilini, Edward Lowassa...
Nipo Tabora leo ni siku ya tatu nikifanya kazi maalumu ili kuendelea kulijenga taifa. Kinachonisaidia ni kuwa nina powerbank tatu, toka nimefika Tabora umeme unakatwa asubuhi na kurudi usiku saa nne, na muda Mwingine unaweza kukatwa hata mara sita.
Nauliza mkuu wa Mkoa, Batilda Buriani hili...
Rashid Mbuguni Afariki Dunia.
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kuondoka duniani kwa Ndugu Rashid Mbuguni.
Apumzike Kwa Amani.
Maggid
Luqman Maloto anaandika:
Luqman Maloto
“MZALENDO ALIYEDHULUMIWA KIWANDA AMEKUFA HAJAONA HAKI
NAKUMBUKA mwaka 1999. Mara ya kwanza naingia chumba cha...
BURIANI LEILA SHEIKH SIKIO NA MWANDANI WA BI. TITI MOHAMED
Wasomaji wangu niruhusuni niweke msg niliyomtumia Leyla Sheikh tarehe 12 December 2022.
(Mtaniwia radhi nimeifanyia uhariri kidogo ili ipate kueleweka kwa wasomaji).
Wakati huo CCM na serikali yake walikuwa katika pilikapilika ya...
Once again, Msasani Village tùmepatwa na pigo kubwa. Huu ni mfululizo wa vifo vya kaka zetu, dada zetu na baba na mama zetu.
Leo nasikitika kuujulisha umma juu ya kuondokewa ña mzee wetu Pius Gogadi. Pius Gogadi alikuwa ni msadifu majengo mkuu wa shirika la nyumba la taifa NHC
MKE wa maremu...
Nyota huyo mkongwe wa Muziki wa Rock’n’Roll amefariki akiwa na umri wa miaka 83 baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Kwa mujibu wa familia, Turner alianza kuwa na hali mbaya ya Kiafya baada ya kugundulika kuwa na Saratani ya Utumbo mwaka 2016 na kupandikizwa Figo mwaka 2017.
Enzi za uhai wake...
BURIANI RASHID "INZI" TIMAMY MWANASOKA WA SIFA
Imekuwa kawaida yetu kuwa hatuna historia yetu yoyote iliyohifadhiwa rasmi.
Kama si kwa hii video ya marehemu Abdulkarim Shah maarufu kwa jina la Bulji ambae alipata kuwa mbunge wa Mafia leo tusingekuwa na kitu cha kuweka hapa kueleza historia ya...
Wanabodi, leo katika viwanja vya Karimjee, Watanzania tunamuaga aliyekuwa Waziri wetu kwa kipindi chote cha miaka 10 ya utawala wa Jakaya Mrisho Kikwete, Mwana Diplomasia nguli, Bernard Cammilus Membe, aliyefariki dunia ghafla, juzi Ijumaa asubuhi.
Nilivyomfahamu Membe.
Fani yetu ya uandishi wa...
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki.
Bernard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la...
afariki dunia
amekufa
bernard membe
buriani
hospitali
jasusi
kamanda
kifo
kitabu
mambo ya nje
maombolezo
marehemu
mazishi
mbowe
membe
mkubwa
musiba
nyumbani
picha
Buriani brother.
Jana tumekutana Msasani Flats tukipanga mipango mingi na mipangilio kuhusu safari ya leo kwenda kwenye mashindano ya mbio za magari Sao Hill Iringa zinazo dhaminiwa na CMC Automobiles.
Ulitamani sana uingie kwenye michuano hii ukiwa na gari yako, lakini ilikuwa na changamoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.