BURIANI RAIS MAGUFULI,TILL WE MEET AGAIN.
Leo 18:30hrs 26/03/2021
Yapo maisha baada ya kifo,kuthibitisha hilo,turejee kufa na kufufuka kwa Bwana wetu Yesu Kristo,Death is not a full stop but a comma,there is life after death,Rais Magufuli umeenda kimwili tuu ila kwa kazi ulizofanya katika...
Salaam!
Tarehe 26/03/2021 Ni siku ya Kumpumzisha Aliyekuwa Rais wetu John Pombe Magufuli huko kwao Chato.
Nawapongeza sana JamiiForums Facebook page kwa Kuelewa na Kumuenzi kwa Nukuuu Nkutu alizowahi kuzisema wakati wa uhai wake.
Na moja ya nukuu hizo ina maneno haya "Siku moja mtanikumbuka...
TAARIFA KWA UMMA
NI MSIBA MZITO SANA! BURIANI MAALIM SEIF
The Civic United Front CUF- Chama Cha Wananchi kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa sana Taarifa ya Kifo Cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa ACT-WAZALENDO Mheshimiwa Maalim Seif Shariff Hamad kilichotangazwa...
MKONO WA BURIANI WA MAMA SYKES KWANGU
Hii picha nimepiga na mama Bi. Zainab Sykes tarehe 12 January 2021 nyumbani Mbezi.
Nilikuwa natoka kufanya kipindi cha Mapinduzi ya Zanzibar, Studio za Clouds Plus, nikaona kheri nimpitie Mama Sykes kumwamkia.
Nimemkuta ameshika mashafu yake anasoma...
BURIANI BI. ZAINAB SYKES
MUHIFADHI WA HAZINA YA NYARAKA ZA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Baada ya kupata taarifa ya msiba wa mama yangu Bi. Zainab Sykes baada ya mshtuko kupita niliinamisha kichwa nikarejea utotoni na nikajaribu kukumbuka mama zangu ambao kwa hakika nilikuwa na...
BURIANI ASAYYID SHARIF HUSSEIN AHMAD BADAWIY
Shariff Hussein Badawiy kaacha athari kubwa sana Dar es Salaam katika usomeshaji wa Qur'an Msikiti wa Badawiy (sasa Rawdha) hadi pale alipofukuzwa Tanganyika mwaka wa 1963 yeye na mdogo wake Mwinyibaba.
Masjid Badawiy ilisifika sana kwa kutoa...
BURIANI SALUM ZAHORO
Makala hiyo hapo chini niliandika miezi miwili iliyopita.
Naiweka tena tuisome kama kumbukumbu ya Salum Zahoro aliyefariki jana na kuzikwa jana hiyo hiyo:
SALUM ZAHORO MWIMBAJI WA "TANGANYIKA NA UHURU" 1961 NI MGONJWA SANA ANAHITAJI MSAADA
Tarehe 9 Desemba TBC walirusha...
BURIANI SHEIKH AHMED HAIDAR
Sheikh Ahmed Haidar...
Mtoto wa Sheikh Haidar Mwinyimvua mmoja wa wapigania uhuru wa Tanganyika na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya TANU.
Sheikh Ahmed Haidar mtu mwenye ilm kubwa sana kutoka Azhar.
Mpole, "humble," ndani ya mifupa yake.
Hata siku moja hakuonekana...
Kwa wale tulioingia Chuo Kikuu cha Dar-es –Salaam faculty of Medicine enzi hizo intake ya mwaka 1982 tutamkumbuka ndugu yetu huyu mcheshi sana Rosemery Nyerere.
Miaka hiyo intake moja ilikuwa inachukua wadahiliwa 50 na majina yote tulikuwa tunayakuta kwenye gazeti la Daily News, gazeti la...
Mwamba hatunaye tena.
Alikuwa na miaka 60.
Masikitiko makubwa.
Rais wa Argentina katangaza siku 3 za maombolezo.
-----
Wasifu Wa Hayati Maradona
-----
Mmoja wa wachezaji waliobarikiwa, Argentina ilijivunia kipaji cha kipekee, madoido ya ajabu akiwa uwanjani, maono na kasi vilivyovutia...
John Lester Nash-1940-2020
Nikiwa bado Bw mdogo nyumbani alifika Baba yangu mdogo mmoja akiwa na kaseti kadhaa alizotoka nazo ng'ambo..miongoni mwa nyimbo zilizonivutia kwenye moja ya kaseti ni ngoma ya "rock me baby"
Sikujali sana ni nani aliyeimba kibao hicho ila baadae nilikuja kujua...
Bado kuwaachia mashehe wa Kiislamu tu, sasa tunaona CCM wanajitahidi kuweka na kuziba au kutia viraka sehemu zao,mara walimu, mara pembejeo, mara afya, mara 'ishuwarensi'. Yaani wanahangaika na kurusha madaluga vibaya sana. Walikuwa wapi tokea tupate Uhuru, walikuwa wapi miaka mitano iliyopita...
Nchi yetu sasa inaanza kupitia kipindi kigumu sana kama ilivyotabiriwa na wale tulioitwa waleta taharuki. Hakika ni kipindi cha buriani. Kwa tuliofuatilia kwa kina tabia za gonjwa la korona tunajua masaa 24-48 ni mengi mno na hayatabiriki kabisa.
Hivyo, hiki ndicho kipindi kigumu cha kupeana...
Na. M. M. Mwanakijiji
Mungu ni Mungu wa wote. Hana upendeleo na hajali sura, hali, au mahali pa mtu. Wema wake na uaminifu wake ni wa milele. Niandikapo hili nimejawa na huzuni kwani siku chache zilizopita nimepokea taarifa ya kifo cha Padre Pierluigi Dell’Amico kilichotokea huko Trento, Italy...
Buriani Mzee Ali Abdul Mufuruki, Mhandisi Mwenye Mapito Mengi Kwenye Biashara
“Zitto mnahitaji mgombea Urais anayeijua sekta binafsi vizuri asaidie kuijenga Tanzania, ongea na Ali Mufuruki agombee Urais” yalikuwa maneno kutoka kwa mmoja wa rafiki zangu, mwaka Jana katikati ya sakata la zao la...
Buriani Mzee James Mapalala, Wajibu umeutimiza
Zitto Kabwe
James Kabalo Mapalala ametangulia mbele ya haki. Mwenyezi Mungu ndiye anajua amali zake duniani na yeye ndiye atampima kwa matendo yake. Lakini Mzee huyu alitimiza wajibu wake kwa sisi wanadamu tunaoishi Tanzania.
Mimi sikuwa...
ULE msemo kuwa chelewa chelewa utamkuta mwana si wako umejidhihirisha wazi kwenye suala lauwekezaji wa mradi wa Liganga na Mchuchuma wilayani Ludewa mkoani Njombe ambapo mwekezaji, Sichuan Hongda Group yuko njia panda kwa kukosa mwelekeo na kuungwa mkono.
Kampuni imesema madai yote yalikuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.