Rais wa Burkina Faso ameanzisha viwanda, amewezesha kilimo kuchangia pato la Taifa kwa 30%, amenunua trekta na vifaa vya kisasa vya kilimo lakini pia amejenga nyumba zaidi ya 1000 na kuwapa wananchi wa hali ya chini.
Katika maadhimisho ya wanawake ameonekana akiwa mashambani kisha kufanya...
Sasa ni rasmi kuwa Mali, Niger na Burkina Faso si wanachama wa jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) ikiwa ni takribani mwaka mmoja tangu nchi hizo zitoe taarifa rasmi ya kujitoa kwao. Kwa taratibu za ECOWAS, uanachama hukoma takribani mwaka mmoja baada ya nchi mwanachama...
Nchi zinazoongozwa na utawala wa kijeshi, ikiwemo Burkina Faso, Mali na Niger, zimejiondoa rasmi katika Jumuiya ya Uchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS).
Taarifa iliyotolewa na ECOWAS leo Jumatano, Januari 29, 2025, imeeleza licha ya kujiondoa kwao, imetaka mshikamano wa kikanda na...
Rais wa Burkina Faso ameanza kazi vizuri na wengi wanampenda ameifanya Bara la Afrika kuwa sehemu ya Kivutio:
SOMA HAPA 👇🏻
1.Mosi ,Amefukuz Majeshi ya Ufaransa Nchini Burkinafaso akidai Burkinafaso Ni Nchi Huru (Sovereign State) isiyohitaji Uwepo Wa Majeshi ya Mataifa ya Magharibi katika...
Mapinduzi ya EV yanazidi kushika moto, na Burkina Faso kama moja ya nchi za Africa, hawapo nyuma.
Wamekuja na chuma ITAQUA EV yenye range ya 300 km.
Taarifa zaidi kuhusu gari kama bei, upatikanaji, perfomance na models hazijawekwa officially, ila ni mwanzo mzuri kwa nchi kama hiyo na iwe...
Wakuu
Nimeona vyanzo mbalimbali vimepost hii taarifa huko YouTube. Je, ni kweli Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso, amewasili nchini kuhudhuria mkutano wa nishati ambao unaendelea leo kwa siku ya pili?
Kiongozi wa Burkina Faso, Ibrahim Traoré amepiga marufuku majaji kuvaa mawigi yanayofanana na mitindo ya kikoloni ya Uingereza na Ufaransa, ikiwa ni juhudi za kuondoa athari za ukoloni kwenye mfumo wa mahakama wa taifa hilo.
Mawigi hayo yalianzishwa na wakoloni kama sehemu ya mavazi rasmi ya...
Kuna watu maarufu ambao wamewahi kutembelea Tanzania, na kwa namna moja au nyingine kuwa chachu ya mwamko wa kisiasa nchini. Tumetembelewa na watu kama Fidel Castro, Che Guevara, Nelson Mandela, nk. Hata kama hawakuongea mengi wakiwa nchini, kuwapo kwao nchini kulileta hamasa na mwamko fulani...
Traore amejizolea umaarufu mkubwa Duniani hasa kwa ulinzi wa rasilimali. Amekuwa na nguvu kubwa ya mapokezi kila anapokwenda. Amekuwa mwana mapinduzi anayetisha mabepari kwa misimamo yake.
Natambua Watanzania siyo wafuatiliaji wa siasa za nje, ila naamini ujio wa Traore ukifanyiwa matangazo...
Kwa nini huyu Rais dikteta wa Burkina Faso Waafrika wanapenda kumpamba sana kwa taarifa za uongo na propaganda? Ana maajabu gani?
Hapa wanasema alialikwa katika uapisho wa Trump akakataa!🤣
Imebainika kuwa Ufaransa ililipa kiasi cha Euro Milioni 60 sawa na Shilingi Bilioni 156 za Tanzania ili majasusi wake wanne waliokuwa wamekamatwa na kushikiliwa nchini Burkina Faso waweze kuachiwa.
Majasusi hao walikamatwa nchini Burkina Faso mnamo Disemba mwaka 2023 na kuachiwa mnamo Disemba...
Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore ndiye kiongozi pekee wa aliyekuwa jukwaa la VIP huku akiwa na pisto yake kiunoni.
Pia ndiye kiongozi pekee aliyeruhusiwa kuingia na walinzi wake jukwaa kuu.
Awali ilionekana asingehudhuria sherehe hiyo, ila akatokea dakika za lala salama.
Katika sherehe...
Baadhi ya Raia nchini Burkina Faso wameanzisha utaratibu wa kutumia muda wa usiku katika barabara na maeneo muhimu ya mji mkuu wa Ouagadougou badala ya kulala majumbani mwao ili kumlinda Rais Kapteni Ibrahim Traore dhidi ya jaribio lolote la mapinduzi.
Raia hao walioanzisha kikundi kinachoitwa...
Burkina Faso iliyo chini ya utawala wa kijeshi wa Kapteni Ibrahim Traore imeanzisha utaratibu wa kurusha live kesi zote zinazohusu ubadhirifu wa fedha za umma.
Utaratibu huo umeanza mwezi Novemba 2024 na watuhumiwa walioanza nao ni maafisa wa wizara ya misaada ya kibinadamu wanaotuhumiwa kuiba...
Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Ibrahim Traore, amemfuta kazi Waziri Mkuu Apollinaire de Tambela na kuvunja serikali ya nchi hiyo.
Tamko lililotolewa na ofisi ya Rais Traore jana, Disemba 6 limesema kuwa wadhifa wa Waziri Mkuu umefutwa, lakini hakuna sababu maalum iliyotolewa kwa uamuzi...
Serikali ya Burkina Faso inayoongozwa na Kapteni Ibrahim Traore inatarajia kununua mabasi 500 kwa ajili ya kurahisisha usafiri na kuondoa adha wapatayo wanafunzi hasa waishio maeneo ya mijini.
Hayo yamesemwa wakati wa utoaji wa ripoti ya kikao cha kawaida cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika...
Wakuu wa Majeshi kutoka nchi za Niger, Mali na Burkina Faso zinazounda umoja wa nchi za Sahel ( AES ) wamekutana na kufanya kikao nchini Niger jana tarehe 3 Disemba 2024.
Wakuu hao wa majeshi walifanya tathmini ya mwenendo wa mapamabano dhidi ya magaidi wanaozisumbua nchi zote tatú.
Baada ya...
Rais wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore amezindua kiwanda cha kusindika nyanya kilichopo katika mji wa Bobo-Dioulasso.
Uzinduzi wa kiwanda hicho umefanyika leo tarehe 30 Novemba 2024 . Kiwanda hicho chenye uwezo wa kuchakata tani 6 za nyanya kwa saa moja, kinatazamiwa kuiwezesha nchi hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.