Wanajeshi 11 wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika shambulio lililotokea Katika Kambi ya Jeshi Mashariki mwa Burkina Faso, lakini Jeshi lilijibu mapigo na kuwaua waasi 15 wakati wakitoroka baada ya kufanya shambulizi hilo.
Kwa miaka sita taifa hilo limekuwa likisumbuliwa na mapigano...
Kuna Mtanzania amekwama kwenye mgodi kule Burkina Faso, nchi ya mbali sana magharibi mwa Afrika, na mpaka sasa imeshindikana kutoka.
===========
Tanzanian among 8 trapped in Burkina Faso zinc mine
The accident, which occurred on April 16, 2022, was accelerated by the heavy rainfall, which...
Waziri wa Uchumi, Biashara na Viwanda Koichi Hagiuda aliwaambia waandishi wa habari siku ya Ijumaa kwamba Japan italenga baada ya muda kukomesha uagizaji wa makaa ya mawe kutoka Urusi, muuzaji wa pili kwa ukubwa wa nchi hiyo wa makaa ya joto mwaka wa 2021. Hagiuda alisema kupata wasambazaji...
Roch Kabore ambaye alikuwa chini ya kifungo cha nyumbani tangu alipopinduliwa katika mapinduzi ya kijeshi mwezi Januari, ameruhusiwa kurejea katika nyumba ya familia yake, kwa mujibu wa serikali ya mpito ya nchi hiyo.
Kabore aliruhusiwa kurejea katika makazi yake katika mji mkuu wa Ougadougou...
Mahakama ya Kijeshi imemhukumu Blaise Compaore aliyeongoza Nchi hiyo kuanzia Oktoba 1987 – Oktoba 2014 kifungo cha maisha kwa kuhusika katika mauaji ya 1987 ya Mtangulizi wake, Thomas Sankara
Sankara aliuawa kwa kushambuliwa na risasi katika Mji Mkuu wa Taifa hilo, Ouagadougou miaka minne baada...
Rais wa Mpito wa Burkina Faso, Paul-Henri Damiba ameidhinisha Serikali mpya yenye Mawaziri 25. Miongoni mwao ni Barthelemy Simpore aliyehudumu kama Waziri wa Ulinzi chini ya Rais Roch Kabore, kabla ya Jeshi kuchukua Mamlaka
Mapinduzi wa Burkina Faso yalikuwa ya Nne kufanyika Afrika Magharibi...
Albert Ouedraogo (52) ametangazwa kuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo kwa kipindi cha Mpito. Uteuzi wake unakuja siku chache baada ya Jeshi chini ya Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba kuidhinishwa kuongoza kwa miaka mitatu
Ouedraogo ambaye ni Raia wa kawaida ana jukumu la kuunda Serikali Mpya...
Mkutano wa Kitaifa Nchini Burkina Faso umepitisha Mkataba utakaoruhusu Utawala wa Kijeshi kuongoza kipindi cha mpito cha miaka mitatu. Mkutano huo uliidhinisha Hati ambayo baadaye ilisainiwa na Luteni Kanali Henri-Paul Damiba
Awali, ilipendekezwa kipindi cha Mpito kuwa miaka miwili na nusu...
Takriban watu 60 waliuawa siku ya Jumatatu katika mlipuko katika mgodi wa dhahabu katika kijiji karibu na Gaoua kusini-magharibi mwa Burkina Faso.
Makumi ya watu zaidi walijeruhiwa, wakiwemo wanawake na watoto
Ilitokea wakati vilipuzi vilivyohifadhiwa karibu na eneo la kuchimba dhahabu...
Jeshi Nchini humo limeahidi kushirikiana na ECOWAS katika kurejesha Mchakato wa Uchaguzi wa Kidemokrasia, lakini halijaweka wazi ni muda gani Luteni Kanali Paul-Henri Damiba aliyeapishwa kuwa Rais atakaa Madarakani
Damiba aliongoza Jeshi kumpindua Rais Roch Kabore, huku sababu kubwa ya...
Jeshi la Burkina Faso limetangaza kurejesha katiba, wiki moja baada ya kutwaa mamlaka katika taifa la ukanda wa Sahel. Tangazo hilo limetolewa katikati mwa mazungumzo baina yake na wapatanishi wa kimataifa.
Waziri wa mambo ya kigeni wa Ghana ambaye anaongoza ujumbe wa Jumuiya ya kiuchumi ya...
Kufuatia Mapinduzi ya Kijeshi ya Januari 24, Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imetangaza kusitisha Uanachama wa Burkina Faso, lakini kwa sasa haijaweka vikwazo vyoyote dhidi ya Taifa hilo.
Jumuiya hiyo pamoja na washirika wake wa kimataifa wamelaani Mapinduzi hayo kwa...
Picha: Luteni Kanali Paul-Henri Damiba
Luteni Kanali Paul-Henri Damiba aliyeongoza Mapinduzi yaliyomtoa Madarakani Rais Roch Kabore ametoa hotuba yake ya kwanza kwa Taifa hilo na kusema Jeshi litakutana na makundi mbalimbali ya Jamii kujadili mchakato wa kufanya mageuzi.
Amesema Burkina Faso...
Kundi la Wanajeshi lililomtoa madarakani Rais Roch Kabore limewaonya waliokuwa Mawaziri kutoondoka Mji Mkuu wa Nchi hiyo au kukwamisha mazungumzo kuhusu namna ya kurejesha Utawala wa Kidemokrasia.
Wanajeshi walimpindua Rais Kabore wakimlaumu kushindwa kudhibiti hali ya usalama ambayo imeendelea...
Paul-Henri Sandaogo Damiba: Kanali wa jeshi aliyeongoza mapinduzi Burkina Faso
CHANZO CHA PICHA, ANADOLU AGENCY: Wanajeshi walioongoza mapinduzi Burkina Faso
Paul-Henri Sandaogo Damiba ndio kiongozi wa vuguvugu la Patriotic Movement for Safeguarding and Restoration (MPSR).
Siku ya Jumatatu...
Mbali na kusema Rais Roch Kabore amepinduliwa Jeshi Nchini humo pia limesema Bunge limevunjwa na Mipaka ya Taifa hilo imefungwa.
Uamuzi huo umesainiwa na Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba. Jeshi limesisitiza Mapinduzi yamefanyika bila ghasia na watu wanaoshikiliwa wapo sehemu salama...
Burkina Faso: Milio mikubwa ya bunduki yarindima kwenye kambi kadhaa za jeshi
Burkina Faso Ouagadougou Unruhen
Milio mizito ya bunduki ilisikika kwenye kambi ya jeshi katika mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou mapema leo asubuhi. Huduma za mtandao wa simu zimepungua kasi kuanzia Jumapili...
Mamlaka nchini Burkina Faso imetangaza kukamatwa kwa wanajeshi wanane wanaotuhumiwa kupanga njama ya mapinduzi.
Miongoni mwa waliokamatwa ni Kanali Mohamed Emmanuel Zoungrana - kamanda maarufu wa zamani wa jeshi ambaye ameripotiwa kuikosoa serikali.
Wizara ya haki Jumanne ilisema uchunguzi...
Serikali Nchini Burkina Faso imeongeza muda wa kusitishwa Huduma za Intaneti, ikielezwa hatua hiyo inatokana na sababu za Usalama na Ulinzi wa Taifa.
Huduma za Intaneti zilikatwa kutokana na maandamano dhidi ya Serikali na Vikosi Washirika vya Ufaransa baada ya Maafisa 49 wa Jeshi la Polisi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.