Mamlaka nchini Burkina Faso inapaswa kurejesha agizo la kuwajumuisha kijeshi waandishi wa habari Issaka Lingani na Yacouba Ladji Bama na kuhakikisha usalama wa mwandishi wa habari Boureima Ouedraogo kutokana na vitisho vya kutekwa nyara, Kamati ya Kulinda Waandishi wa Habari ilisema Jumatano...
Umoja wa Ulaya (EU) umetaka uchunguzi ufanyike kuhusu madai ya Watu 100 kuuawa katika Vijiji kadhaa Nchini Burkina Faso hasa katika Kijiji cha Zaongo.
Marekani pia imetoa kauli ya kulaani mauaji hayo licha ya Serikali ya Kijeshi ya Burkina Faso kutotoa kauli yoyote hadharani juu ya taarifa hizo...
Utawala wa kijeshi wa Burkina Faso inatumia vibaya sheria ya dharura kuandikisha wanaodhaniwa kuwa wapinzani na wakosoaji wake kuijiunga kwenye vita hatari dhidi ya wanamgambo.
Watu hao wanasemekana kulazimishwa kupambana na watu wanaohusishwa na makundi ya kigaidi ya Al Qaida na Islamic State...
Wakuu,
Habari hii imesambaa kwenye mitandao ya kijamii, kwamba huyu Daktari baada ya kumkosoa Rais wa Burkina Faso Kpt. Ibrahim Traore kuhusu kushindwa kupambana na magaidi, alikamatwa, akavishwa magwanda kwenda kupambana na magaidi hao kwakuwa yeye analiweza suala hilo kuliko jeshi.
Hii...
Novemba 24, 2021 Kijana wa miaka 13 raia wa Burkina Faso, Aliou Sawadogo akiwa na manati yake porini akiwinda ndege, aliona kitu kikiambaa angani.
Sawadogo akatoa jiwe kutoka katika kaptula yake kisha akaliweka katika kigozi cha manati na kuanza kutafuta shabaha.
Akavuta pumzi na kuzishusha...
Ni baada Serikali ya Kijeshi Nchini Burkina Faso kusema itapigana na yeyote atakayejaribu kuwavamia Kijeshi viongozi waliofanya mapinduzi nchini Niger ili kumrejesha Madarakani Rais Mohamed Bazoum
Hatua hii inakuja baada ya muda ambao Jumuiya ya Afrika Magharibi ECOWAS iliwataka Viongozi wa...
Kwa umri wake wa miaka 35 kaptein Ibrahim Traore ni mtoto kwa umri wa Samia Hassan Suluhu ila kwa utendaji wake wa kazi Ibrahim Traore ni mwalimu kwa Samia.
Ni raisi mwenye msimamo na uthubutu hazungukwi na Wezi na Machawa inakatisha tamaa kuona Raisi ana chama chake cha Machawa(AIBU)...
It is 1984. President Thomas Sankara moves to change his nation's name from the Republic of Upper Volta to Burkina Faso 24 years after freedom from French rule. This name change gives way to new public images like the song of devotion, maxim, and banner (all the more later).<br>
He made another...
Which nation Colonized Burkina Faso?
The historical backdrop of Burkina Faso incorporates the historical backdrop of different realms inside the country, like the Mossi realms, as well as the later French colonization of the region and its autonomy as the Republic of Upper Volta in 1960.
What...
Kitendo cha Wanahabari hao wawili wanaoripoti katika magazeti ya Ufaransa ni mwendelezo mbovu wa uhusiano kati ya Serikali za mataifa hayo.
Waandishi hao ni Sophie Douce na Agnes Faivre ambao waliwaili Ufaransa baada ya kupewa saa 24 za kuondoka,
Chanzo kikiwa ni kuchapishwa kwa uchunguzi...
Ni mwendo wa kuua tu,
Twenty-eight people have died in new attacks by suspected jihadists in Burkina Faso, including 15 who had been abducted at the weekend, the authorities said Tuesday.
Fifteen bodies bearing bullet impacts were found on Monday near Linguekoro, a village in the western...
Wizara ya mambo ya nje ya Ufaransa ilisema Alhamisi kuwa inamwita nyumbani balozi wake nchini Burkina Faso, ikitaja muktadha wa matukio ya hivi karibuni, siku moja baada ya Paris kutangaza kuwa itaondoa wanajeshi wake katika nchi hiyo.
Tumeamua kumrudisha balozi wetu mjini Paris ili kufanya...
Matukio hayo yametokea Kaskazini mwa Burkina Faso, ambapo walikamatwa katika makundi mawili nyakati mbili tofauti.
Wakati matukio ya utekwaji yanatokea eneo la Arbinda, baadhi ya Wanawake walifanikiwa kutoroka na kurejea katika vijiji vyao.
Wanawake wengi wamekuwa wakitembea kimakundi kuingia...
Serikali ya Kijeshi ya Nchi hiyo imemtaja kiongozi huyo wa Umoja wa Mataifa, Barbara Manzi kuwa ni mtu ambaye hatakiwi kubaki Nchini humo
Waziri wa Mambo ya Nje, Olivia Rouamba amesema tamko la UN la hivi karibuni kuwa machafuko yanayotarajia kutokea Burkina Faso yanasababishwa na udini...
Serikali ya Kijeshi imechukua maamuzi hayo kwa madai kuwa kituo hicho kimetangaza taarifa za uongo na kuwapa nafasi Waasi wa Kiislamu kusikika kwenye matangazo yao.
Pia, Jeshi limesema RFI ilirudia ripoti iliyokanushwa kwamba Rais Kapteni Ibrahim Traore aliyeingia madarakani kwa mapinduzi ya...
Taarifa imethibitishwa na viongozi wa dini waliofanya mazungumzo ya amani na Ibrahim Traore kiongozi aliyempindua Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba.
Damiba aliyechukua mamlaka Januari, 2022 ameenda uhamishoni nchini Togo baada ya kuhakishiwa mambo mawili, Usalama wake na kurejeshwa...
Beki wa Simba Sc Inonga Baka ameanza kwenye cha Congo kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Burkina Faso. Hii imenistua kidogo,maana kosi la Congo limeesheheni nyota
Jeshi la Burkina Faso limekiri kuua raia wa kawaida kwa kimakosa katika mashambulizi yake ya anga Kusini Mashariki mwa Nchi hiyo wiki hii.
Nchi hiyo ya Afrika Magharibi imekuwa ikipambana na waasi wenye silaha baadhi wakihusishwa na makundi ya Al-Qaeda na ISIL (ISIS).
Jeshi hilo halijataja...
Jeshi limewataka raia kuondoka katika maeneo yanayotajwa kuwa na maslahi ya kijeshi katika Mikoa ya Kaskazini na Kusini Mashariki mwa Nchi hiyo kabla ya oparesheni zinazolenga kudhibiti ghasia kuanza.
Maafisa wa Jeshi walioongoza Mapinduzi na kuiondoa Madarakani Serikali iliyochaguliwa...
Watu 50 wameuawa katika shambulizi la vikundi vya waasi katika Jimbo la Seno Kaskazini mwa Burkina Faso, ambapo washambuliaji hao wamehusishwa kuwa na uhusiano na vikundi vya Al-Qaeda na ISIL (ISIS).
Msemaji wa Serikali ya Burkina Faso, Lionel Bilgo amesema idadi ya vifo inaweza kuongezeka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.