Huu uzi ni matokeo ya utafiti nilioufanya kwa miaka zaidi ya 15,nilifatilia matukio mengi ya watu wanaodai kutajirika kwa nguvu za ngiza,nilisoma vitabu vingi,niliongea na ma guru wengi na mwisho wa siku niligundua kanuni saba za asili ambazo mimi naziita 7 natural laws.
Ninaposema natural laws...
Artificial Intelligence (AI) is now becoming transformational not only for large multinational companies but also for small businesses. The advancement in technology, specifically AI, has made it easier, cheaper, and more efficient to use. AI can now be utilized by small businesses to increase...
Habari Naitwa Aisha. Mimi ni mkazi wa dar es salaam, natafta sana mtaji wa kuanzisha biashara ya kilimo hapa dar kisiju, eneo la kufanyia kilimo ninalo, ila sina mtaji wa kuanzisha kilimo kwa ujumla, nimeazimwa heka 11 za kulimia tu, na eneo lina asili ya maji chini kama nikichimba kisima...
Msaada Nondo za business administration kwa ajili ya written interview utumishi - tutorial assistant,
Msaada wakuu mwenye a,b,c karibu hapa tupeane madini
I am writing concerning the subject mentioned above. I am a graduate with a degree in Business Information Technology, seeking any opportunity to learn and gain practical experience in line with my career. Although I acquired extensive knowledge during my time at university, I am eager to find a...
Habari mazee ,kitambo sijapost business ideas.
Leo nimekuja na wazo moja hivi naona linakuja linakata nikasema niforce kingi nilitoe hivyo hivyo tu, miezi kadha nyuma nilipata hamasa ya kutaka kujua zaidi biashara ya MAYAI YA KUCHEMSHA NA SOSEG ZA KUMCHEMSHA, nilitafuata wana wanaofanya hizo...
TRADESAFE LIMITED
LOCATION: DAR ES SALAAM, TANZANIA
POSITION: SENIOR BUSINESS AND MARKET INTELLIGENCE OFFICER
CONTRACT TYPE: FULL-TIME / PROJECT BASED
---
ROLE OVERVIEW
TradeSafe Limited is seeking an experienced Senior Business and Market Intelligence or Analyst Officer who will also serve...
Habarini ndugu,
Nimekuwa nikifatilia mara nyingi sana mtu unaweza kuletewa hata kuku 10 kama zawadi na ukaamua kuwafuga katika banda la hovyo tu ajabu ni kwamba watazaliana ingali huwapi chakula cha maana zaidi ya mabaki ya ugali na maharage muda mwingine hawaingii hata bandani wanalala nje ila...
Biashara zipo kila Kona biashara yoyote ukiinvest Hela hata biashara ya makopo inaweza kukutajirisha.
Ila tatizo linakuja kwenye mtaji how to get capital malegend
AU tips Gani hutumika kukuza small Business mpaka iwe huge
Amani iwe nanyi, watu wa Mungu.
Kijana wenu hapa Brojust baada ya kupata shida kidogo za kifamilia nimeamua sasa kurudi tena Buguruni na sasa napatikana Buguruni sheli.
kwa kutumia kampuni yangu ya SHALOOM AFRICA ENTERPRISES nimeamua kutengeneza centre ya Biashara hapa Buguruni itakayo...
Happy Sunday
Binti wa sales and marketing (msichana) anahitajika kwenye kampuni.
Hakuna vigezo vingi
-awe anajua vizuri kutumia social media (instagram, facebook, x (twitter), ticktock nk.
-Awe anajua vizuri kufanya sales na on time in social media.
location : Darces salaam
Salary kwa...
Marathon Hub in Tanzania: Connecting Runners, Organizers, and Communities
As marathon running continues to gain popularity globally, Tanzania has become a prime location for these athletic events. Marathons like the Kilimanjaro Marathon, CRDB Marathon, and others attract thousands of...
Chuo tukisoma business administration , unapewa format ya kuandaa business plan ambayo robo ya muongozo unajikuta unashindwa kundana nao.
Lakini ukiingia sasa elimu ya kimtaani taani (iite kitaalogy) unagundua lngo kuu la Businss Plan ni marketing.
Wiki hii kuna familia walinitafuta wanataka...
Hizo ni huduma zangu kwa mdau yeyote Tanzania, popote alipo Tanzania hii tunafanya nae hizi WRITEUPS. Hii inaambatana na ushauri kabla na baada ya kukabidhiwa writeup. Pia naweza fanya Fund Seeking from financiers au donors world wide.
A) Business plans for all profit oriented activities new or...
Habari za muda huu.
Inawezakana litakuwa ni swali la kijinga kwa baadhi ya watu ila kwangu mimi naomba mnitoe ushamba kidogo nami nijifunze.
Kama tunavyojua Rais wa nchi yoyote ni Taasisi inayotembea. Popote anakapo kuwepo duniani.
Je, Raisi ana kitambulisho kinacho onyesha nafasi yake katika...
Habari za wakati huu wana JF, natumai mko salama na mwaendelea na mapambano ya kujitafutia mkate wa kila siku.
Niende moja kwa moja kwenye mada yangu.
Mimi nipo jijini Mwanza na nimekuja kwenu hapa jukwaani kuweza kupata msaada wa kupata ideas za biashara katika jiji hili la Mwanza. Kiwango cha...
Looking for a serene yet central place to stay while in Arusha? Welcome to Parrot Hotel Arusha, where luxury meets affordability. Whether you're in town for business, safari, or a relaxing getaway, we offer a warm and inviting space that caters to all your needs.
🏨 Why Choose Parrot Hotel...
affordable hotels arusha
arusha
arusha bed and breakfast
arusha business hotels
arusha conference rooms
arusha hotel deals
arusha meeting rooms
best hotel arusha
business
hotel
hotel near arusha city center
hotels in arusha
hotels with meeting rooms in arusha
luxury hotels in arusha
parrot hotel arusha
Habari, mimi nimeanzisha kampuni ya kutoa huduma za ki ICT. Ofisi ya kampuni ipo Dar es Salaam, kuna vifaa vya kazi kama Computer 5, printer 2, ofisi kubwa yenye AC, mashine nyingine kama mashine za Stationery servies pia zipo kama, lamination machine, binder, paper cutter nk. ipo miradi kadhaa...
Je, unahitaji mfumo wa kisasa wa kusimamia biashara yako kidigitali? Business management Systems inakupa uwezo wa kusimamia biashara yako kwa kutengeneza Invoice, Proforma, na Delivery Notes kwa urahisi. Mfumo huu unatumika kwenye computer na simu pia, hivyo unaweza kutumia popote ulipo...
Business idea hii itabase kwenye moja ya sehemu yenye idadi kubwa ya watu ukiacha mziki nayo si nyingine ni Soka(Mpira wa Miguu). Soka letu linakua kiasi sasa ni muda wa kutumia fursa mbalimbali zilizopo kwenye Soka.
Je ni ipi hiyo business idea?
Hii ni business idea kwa ajili ya kuanzisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.