Jina la Bwana na Mwokozi Yesu libarikiwe. Karibu tujifunze biblia.
Je kuna utofauti wowote ya Ubatizo wa Yohana na ule wa Bwana Yesu?,
Jibu ni kwamba hakuna utofauti wowote, ubatizo ni ule ule mmoja wa toba, lakini kinachoutofautisha ule wa Yohana na ule wa Bwana Yesu ni “jina” Lakini ubatizo...