Lilisikika nyumbu Moja lililokata tamaa likijambajamba "puu puu pruuuu" kwa kupitia mdomo!
Ukweli huwa unajitetea wenyewe.Limeeleweka vema kuwa ni propaganda za CCM na machawa kachara. Limepigwa teke na kukanyagwa misili ya mitalawanda!
Machawa tafuta lingine , hili limebuma!
Unaijua sifa kubwa ya chawa? Kuwa chawa ni lazima uwe huna akili timamu. Hakuna mwenye akili timamu anayeweza kukubali kuwa chawa.Limeeleweka vema kuwa ni propaganda za CCM na machawa kachara. Limepigwa teke na kukanyagwa misili ya mitalawanda!
Machawa tafuta lingine , hili limebuma!
Shetani hajawahi kumshinda MunguMapambano ni makali sana
Mi nafikiri wamebrush off kwamba Heche na Chadema ni wezi tu kama wengine na ndio maana hata maandamano waliyagomea!Limeeleweka vema kuwa ni propaganda za CCM na machawa kachara. Limepigwa teke na kukanyagwa misili ya mitalawanda!
Machawa tafuta lingine , hili limebuma!
Ikiwezekana atoe no yake binafsi tumchangie zingine azi manage peke ake 💃🏻💃🏻KWa jinsi Heche anavyompelekea moto chura kiziwi na genge lake la uuaji,acha tu ale hizo hela za tonetone atakavyo.
Na tutachanga nyingine tena.
Wazo jema kabisa ingawa litaleta kamgawanyiko.Ikiwezekana atoe no yake binafsi tumchangie zingine azi manage peke ake 💃🏻💃🏻
Jamani nasema imani ya yangu kama mimi, anayesema si CHADEMA ni mimi Retired! Si Chadema. Nadhani umenielewa.Kusema asante bwana yesu wakati chadema ni chama cha siasa, huu ni udini ulioanza kujikita mizizi kwenye hii chadema ya sasa, hata mikutanoni tunasikia bwana yesu asifiwe,
Hamfiki popote na huu udini, ndio maana kila siku mko bize kujibu tuhuma badala ya kujipambanua na kuendelea mbele.
Mmekiharibu sana chama huku mkijifanya eti ndio kimeendelea kwa kuwa chama cha uanaharakati badala ya chama cha upinzani
Fanya kama unaokota kitu ukasomulie kwenu!!Hivi ni lazima mwenyekiti akiwa mwanamke wote jinsia zenu zibadilike muwe mashoga kuendana naye?
Chawa wa kilaza form 4 failure!Lilisikika nyumbu Moja lililokata tamaa likijambajamba "puu puu pruuuu" kwa kupitia mdomo!