tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,779
- 31,297
Hako ka propaganda kadogo sana ukilinganisha na mapito ya nyuma CHADEMA wamepitia
1.Zito kusaliti
2.Dr Slaa kukengeuka
3.Risasi za Lissu
4.Mbowe kuwa pandikizi
5.Msigwa
6.Mdee
Yote hayo yalipitq,sembuse huu uzushi na upuuzi wa kitoto!
Waombe msamaha,waachie madaraka CCM Kwani wameua wana damu mikononi na Mungu atawapiga mapigo tu.