Bwana Yesu Asifiwe kaka Goege Boniface Taguluvala Simbachawene!

Bwana Yesu Asifiwe kaka Goege Boniface Taguluvala Simbachawene!

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Habari za muda mrefu wa ukimya brother. Heri ya mapumziko ya sikukuu ya Maulid kitaifa.
Nimejiskia tu leo nikusabahi hadharani kaka. Nashukuru binafsi nasonga mbele vema.

Nakutakia majukumu mema brother ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
HQkC8B_W0AAFppQ.jpg
 
Mzee wangu simba chawene hanaga shida na mtu mzee alienyooka kabisa kwenye chama namkubali sana kuna uzi wangu kuhusu simbachawene
 
Kumbe na wewe unawatu wako?

Nikajua unapenda ccm na samia tu.
 
Back
Top Bottom