MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 5,995
- 8,799
NCHIMBI kachimbwa huko una kaswali?inahusu nin gentleman 🐒
NCHIMBI kachimbwa huko una kaswali?inahusu nin gentleman 🐒
Umeanza uchawa kwa simbachawane baada ya kusikia jina lake linaenda ku....Habari za muda mrefu wa ukimya brother. Heri ya mapumziko ya sikukuu ya Maulid kitaifa.
Nimejiskia tu leo nikusabahi hadharani kaka. Nashukuru binafsi nasonga mbele vema.
Nakutakia majukumu mema brother ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Umeachana na ule upuuzi wako wa kumpamba Nchimbi sasa unajibebisha kwa Simbachawene.Habari za muda mrefu wa ukimya brother. Heri ya mapumziko ya sikukuu ya Maulid kitaifa.
Nimejiskia tu leo nikusabahi hadharani kaka. Nashukuru binafsi nasonga mbele vema.
Nakutakia majukumu mema brother ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
MAKAMU WETUHabari za muda mrefu wa ukimya brother. Heri ya mapumziko ya sikukuu ya Maulid kitaifa.
Nimejiskia tu leo nikusabahi hadharani kaka. Nashukuru binafsi nasonga mbele vema.
Nakutakia majukumu mema brother ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
PM Material boraaa kbsss .....VP ni kumdfanya apoozee mzee mikasii noo ...huyu mtendajiiiiHabari za muda mrefu wa ukimya brother. Heri ya mapumziko ya sikukuu ya Maulid kitaifa.
Nimejiskia tu leo nikusabahi hadharani kaka. Nashukuru binafsi nasonga mbele vema.
Nakutakia majukumu mema brother ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Nikutumie lipa nambakafanyaje gentleman 🐒
Sasa sijajua mkata viuno itakuaje utaewaeleze wadau hiyo porojo kwa kina kirefu kidogo gentleman na itapendeza zaidi 🐒
Lea kuwakatia viuno Kama kawaida au ndio unaondoka na mgombea wako?waeleze wadau hiyo porojo kwa kina kirefu kidogo gentleman na itapendeza zaidi 🐒