Hii nembo haipewi heshima stahiki kila mtu anaitumia anavyotaka naomba serikali itoe tamko kuhusu matumizi, upande wa Bendera turuhusiwe lakini kwa kibali ijulikane inaenda kutumika wapi !!
Nawasalimu kwa jina la JMT kazi inaendelea.
Sina mengi ningependa tu kufahamu hawa wazee wetu Mzee Kabudi na Mzee Lukuvi majukumu yao mapya ya kuwa viranja wa mawaziri yameleta matokeo chanya? Na je ukitaka kuwapa ushirikiano ofisi zao ziko wapi za ukiranja?
Ni hayo tu.😄😄
Namshukuru Sana Samia ameifufua private sector baada ya kufa na kuanza kukejeli vijana eti wajiajiri wakati kiukweli kulikuwa hakuna sehemu au upenyo wa kutokea kila Kona ilikuwa ni vilio tu.
Sasa hivi kila Kona Kuna fursa kiasi ambacho watu hawaoni tena umaana wa kuajiriwa serikalini tofauti...
Wapendwa habarini leo ni ijumaa kuu ni kumbukizi ya kifo cha bwana yesu inasemekana yapata miaka 2000 iliyopita "baada ya wazazi wetu Adam na Eva kutenda dhambi pale bustani ya edeni MUNGU alichukia kwa hiyo dhambi na aliwafukuza pale bustanini na ndipo...
Shalom!
Wapendwa tunapoelekea, kukamilisha kipindi Cha Kwaresma, nawasihi wanamaombi tuingie KATIKA Maombi Maombi Maalum ya kuitafuta ukweli Juu ya Mpendwa wetu Ben Saanane! Mpaka Sasa haijulikani yupo wapi, alikufa au yupo hai!
Watoto wake, mke wake wazazi wake wemepitia Magumu sana! Hivo Kwa...
Ilikuwa kama ni kichekesho lakini ni kweli tupu. Mdogo wangu (mtoto wa aunt yangu) kanipigia simu akiwa mghahawa wa pale bungeni leo.
Mdogo wangu huyu kaenda Dodoma kupeleka malalamiko yake kwa Waziri Mkuu kwa kuwa baba yake amesingiziwa kesi ya uhujumu uchumi na yupo ndani kwa sababu ya siasa...
Yesu alikuwa na Pesa nyingi sana kuliko watu wa dini wanavyotueleza.
Ushahidi.
1: Alikuwa na Muhasibu. MTU binafsi bila kampuni wala biashara kufikia hatua ya kushindwa kutunza kipato chako hadi Uwe na Muhasibu basi utakuwa na Pesa nyingi sana.
2: Aliwazuia mitume wasifanye biashara zao...
Historia bado itamkumbuka Rais Kikwete kwa kuishi ki laghai na wapinzani wake muda wote wa uongozi wake.
Rais kikwete alifahamu vyema mdundo wa kina Mbowe na Lisu na hakika aliucheza vyema kwa kuwahadaa na hata walipodemka huko katika mikutano ya hadhara kwanza aliwachapa sawasawa kwa...
Nawasalimu wana JF
Watu wote duniani, wasio soma na waliosoma; watafiti na wasio watafiti hatujui kabla na baada ya kufa kitu gani kitatokea. Wengine wanakuja na theories za Time travel lengo lake ni kujifariji.
Nilikuwa katika ROHO siku ya Bwana, hakika siku hiyo ilikuwa siku kuu kwangu...
Bwana Humphrey Polepole, sasa tunataka kusikia maoni yako kuhusu huu ukopaji wa mikopo kutoka nje huku Zanzibar ikishirikishwa na kupata mgao.
Pamoja na mambo mengine,ulilaumu na kukosoa mawaziri kutosema lolote kuhusu kauli ya Mama kula kwa urefu wa kamba yake, na hapo hapo kumpiga kijembe...
Ha ha ha haaaaa!
Jamaa 1 alikuwa amekaa zake sebuleni anasoma gazet, ghafla akapigwa kwa frampen uson na mkewe!
JAMAA: VP tena darling kulikon?
MKE: kwenye surual yako wakat najiandaa kuifua nikakuta kikaratas kimeandikwa "JENNY", unaweza ukanieleza huyo JENNY ni nani kwako?
JAMAA: aaah! wik...
MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA TUNDU LISSU, AFICHUA UOZO WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA NA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA, TUNAPIGWA TENA
Kufuatia taarifa ya Prof. Rwekaza S. Mukandala kubainisha kuna hoja 5 katika hoja 80 zilizoibuliwa zinazohitaji uharaka wa kufanyiwa kazi, baada ya mkutano wa wadau...
Mwanamuziki wa kizazi kipya, Harmonize afunguka kuhusu mkataba alioingia na WCB amesema alikuwa akipewa 40% ya mapato yoyote anayoingiza na WCB kuchukua 60% ameamua kuelezea hayo yote kutokana na watu kuwa dhana ya kwamba yeye ni msaliti. Amesema alifanyiwa fitna nyingi zilizopelekea yeye...
SAMATTAAAAAAAAAAA LIVERPOOL 1-1 GENK
Genk's Tanzanian striker Mbwana Samatta powerfully headed in the equaliser at the near post from a corner five minutes before half-time.
We could have scored more often and that would have completely changed the game. But then they scored the goal, a really...
Mdogo wangu Rayvanny , najua hujawahi kusoma chuo kikuu na huelewi mazingira ya chuo, hata Kama ndo hivyo jua mchumba hasomeshwi, p funk mwenyewe hawezi kumsomesha Paula nje kwasababu amemdharau, hizo pesa utakazokuwa unamtumia watafaidi younger boys than you atawapa yeye.
Kwanini umtolee ada...
Augustine Makule na Mpenzi wake Rose Kimaro wamefunga ndoa wodini jijini Dodoma baada ya Bwana harusi kupata ajali ya Bodaboda siku mbili kabla ya siku ya harusi yao.
Ajali hiyo ya pikipiki iliyotokea eneo la zuzu Dodoma na kupelekea kijana Agustino kukatwa mguu wake wa kulia na vidole vitatu...
Katika hali isiyoendana na maadili yetu ya Kiafrika Best angu kaja kunipa story kua mke wake alienda kumsalimia wifi yake ambaye dada wa best angu dukani kwake katika mazungumzo yao wifi akaanza kuelezea maisha yake ya ndoa na mumewe ambaye wameoana muda tu na wajaaliwa kupata watoto wa 3 ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.