Baada ya Ihefu kubahatisha na wakabahatika kibahati bahati, imekuwa nongwa!!
Kabla ya kuvunjiwa heshima na hawa madogo wa kuitwa Ihefu, Mabingwa wa kihistoria, mabingwa wa muda wote, wazee wa unbeaten, WANANCHI tulipewa kila aina ya lawama na tuhuma! "Ooh, wanahonga marefa! Ooh, wanapendelewa...
Safi sana kuona Kyev inaendelea kupokea viongozi wakuu....
Ameahidi kuwapa Ukraine teknolojia za kupiga chini aina yoyote ya drones....
British Prime Minister Rishi Sunak made a surprise visit to the Ukrainian capital Kiev on Saturday for his first meeting with Ukrainian President Volodimir...
Kuna dada mmoja alikuwa rafiki ila nilikuwa namwelewa. Nilivyompa mistari akasema atajifikiria. Baadae akasema hana hisia nami badala yake ana mtu mwingine. Ingawa iliniuma inakubidi nipotezee.
Baada kipindi cha uponyaji kupita nikapata bonge la pisi kali. Yaani ningepata rafiki yangu hii...
Nakumbuka mafundisho fulani hivi niliyopewa mwaka fulani kwamba kila jambo lina kanuni au 'principle' zake, ukishindwa kucheza ndani ya hizo principle umekwisha 'kipopoma', vilio vingi vya mapenzi siku hizi watu tunajiendea tuu hatufuati 'principles' za association then matokeo yake ndio hayo...
Mbeya ni mkoa mzuri sana kijografia, ukiwa umezungukwa na milima na vilima. Mito na vijito, hali nzuri ya hewa, udongo mzuri wenye rutuba na mambo mengi mazuri.
Watu wa Mbeya ni wakarimu sana, watoaji na wenye upendo, ila ukiwazingua wanakuzingua mara milioni sita zaidi.
Mbeya kuna mandhari ya...
Miaka iliyopita, nilichepuka na dada mmoja; kwa bahati mbaya yule mdada alinogewa na akatamani kupindua meza; kwa kuniwekea mazingira, nikikutana na mwanamke mwingine, jogoo asisimame ila kwake tu.
Siku moja niko na 'wife', jogoo akagoma kabisa kusimama, kula kongoro, mara mbuzi n.k hakuna...
Kuna MC fulani kitaa ni muongeaji mzuri, kuna siku alikuwa ana kazi mbili. Moja ilikuwa kuongoza ibada ya mazishi makaburini mida ya alasiri kwenye msiba wa mtu wake wa karibu, alipewa kazi hii kutokana na kuwa muongeaji mzuri.
Usiku alikuwa na kazi ya kuongoza sherehe ya harusi na alilipwa kwa...
Wakuu, kwa muda mrefu kulijitokeza GENGE hapa likijinasibu na kusifu kwamba Rais Samia ametoa bilioni 20 kwaajili ya kuwakopesha vikundi vya Wavuvi.
Baada ya kuwafuatilia vijana wetu ambao wanajishughulisha na kazi za uvuvi katika maeneo mbali mbali, tumebaini HAKUNA KIKUNDI CHOCHOTE...
Rais Samia akimsikiliza bwana Peter Sands ambaye ni mkurugenzi wa Global Fund alipozuru Ikulu ya Dar es Salaam pamoja na ujumbe wake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mtendaji Mkuu wa Global Fund Bw. Peter Sands baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini...
Mwenyekiti CCM wilaya Shinyanga Mjini, Bwana Abui, unamchafua na unatumia jina la Mh. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano vibaya kwa maslahi ya nani? unaeneza siasa za udini kwamba Mwk wa CCM taifa anataka waisilam wachaguliwe kwa asilimia kubwa ili wampitishe 2025 kwa kura nginyi...
Dah! Kweli maisha ni safari hadi uje kufika,umekwepa mishale ya kutosha.
Mimi binafsi nimeajiriwa na bosi wangu muhindi wa Bombay, nafanya kazi za kutumwa tumwa sokoni kama punda....mara kalete hichi mara kile hadi na watoto wadogo. Wananidharau sana mpaka muda mwingine nakaaga peke yangu nalia...
Habari wana JF
Poleni na majukumu ya kazi pia tujipe pole shabiki wote wa Simba siku ya leo imekua ngumu na yenye maumivu sana juu ya team yetu ya Simba kufungwa basi bana wacha twende kwenye Maada
Kupitia derby hii ya Kariakoo nikiwa Kama shabiki wa Simba huku kitoto cha boss wangu kikiwa...
Ije mvua lije jua Wakenya wameamua kwenda na Wajahckoya. Vijana kwa wazee , watu wa mashambani na mjini, watu wa dini na kabila zote za Kenya wamesema tumechoka. Ruto na Raila kwa wakati Fulani kuwa serikalini kumewafanya kuwa na madoa na hivyo kufanya goli kuwa wazi kwa jamaa. Ruto na Raila kwa...
Bwana Bonge ni mmoja wa matajari wa nchi ya Kusadikika, alimuoa classmate wake ambae alijaliwa kupata nae watoto wanne. Wakike mmoja na wanaume watatu. Watoto wote walishakua na miji yao na wengine waliishi nchi za mbali.
Mrs Bonge aligundulika na saratani ya ziwa akiwa na miaka 40, wakati...
Kumbe Jogging club zinazoanzishwa wa wingi hasa maeneo ya mjini zimekuwa platform ya kutongoza wanawakeee aiseee!!!.
Nimepita mahali nikakuta Kuna vijana wanamshawishi kijana mwenzao ajiunge Kwenye jogging club yao waliyoianzisha, Sasa Huyo mwenzao akauliza "wanawake wapo???"
Wakamjibu Wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.