Zaweza kuwa ni nchi zitakazofanikisha sana mashindano haya. CAF wasione haya wayalete tu huku kwenye mzuka wa mpira. Ufunguzi iwe Tanzania na ufungaji pia iwe Tanzania.
Dua zenu tafadhari.
=====
Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) limepitisha ombi la pamoja la nchi za Kenya...
Waziri wa Nishati Bwana Dotto awa TANESCO wanafanya makusudi, walifanya hivi wakati Makamba alivyoanza na nikasema, sasa hivi wewe.
Stop just talk with the press nenda eneo la tukio ujue shida ni nini.
Hao jamaa ni wahuni
Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Dear Money Penny
YAH: BWANA WANGU ANAENDESHA BODABODA
Mimi NI binti ambae sikuwahi kuwa kwenye mahusiano nikiwa chuoni.
Nilikuwa busy na masomo na ibada za casfeta.
Mapenzi yangu yalikuwa Kwa Yesu.
Baada ya kumaliza masomo sikupata KAZI, nikasota benchi Kwa Miaka 5, wenzangu nilisoma NAO...
Salaaam Wakuu,
Nimeona katika sehemu mbalimbali picha zikisambaa zikionesha nembo inayotumika kwenye Podium ya Rais Samia haina bibi na bwana kama ambayo alikuwa anaitumia Rais Magufuli.
Hili limekaaje Wakuu tunaomba ufafanuzi.
Nembo anayotumia Rais Samia ikiwa haina Bibi na Bwana
Nembo...
Kwenye majukwaa ya hadhara utasikia Bwana Yesu Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo
Tofauti hapo ni nini ?
Au utasikia "Asalam Aleikum, Bwana Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo.
Zinatumika salamu za dini zote mbili ili kuleta balance, sasa kwa nini za Wakristo ziwe mbili? Na mbili zenyewe ni kitu kile...
Usiku wa Julai 15, Msanii Barnaba alifanya sherehe ya kusherehekea ndoa ambayo aliifunga na mpenzi wake wa muda mrefu Raya, ambapo shughuli hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Mlimani City na kuhudhuliwa na watu mbalimbali wakiwemo wasanii na Mastaa kadhaa. Miongoni mwa wasanii ambao walihudhulia...
Nimezaa na mwanamke fulani hatukubahatika kuoana akapata bwana mwingine ambae pia wamezaa kabla nilikua namuona mtoto wangu nitakavyo lakini baada ya ndoa alibadilika nkitaka kumuona mtoto anatoa dharura nyingi
Ilibidi niwe nawasiliana na mumewe mshua hakua na shida lakini kila nikipanga ratiba...
Matajiri wa dunia wanataka kuzichapa!!!!!!! Usikute huo nao ni uwekezaji!!!!!!!!!! Hiyo sababu ya kupigana sasa!!!!!!!!
Musk picks location for ‘cage match’ with Zuckerberg
The Meta CEO accepted a challenge issued by the Twitter owner
Twitter owner and Tesla CEO Elon Musk and Facebook...
Habari.
Ktk manispaa hii kuna mitaa michafu Sana ikiwemo mtaa wa mshangano yani pale stendi ya malori zimemwagwa taka Hadi pananuka hazijazolewa.
Njia ya kwenda kwa diwani kuna taka njiani yani mnataka Hadi tupate mlipuko wa magonjwa?
Wilaya yetu maeneo ya kumwaga taka na kuzichoma yapo...
Mbinu za Kuwavuta Watu kwa Shetani kwa Kutumia Nyimbo za Kidini Zenye Midundo ya Shetani
Utangulizi:
Katika ulimwengu wetu wa kisasa, kumekuwa na kuibuka kwa kundi la watu wanaotumia mbinu mbalimbali za kuvuta wengine kwa shetani, huku wakitumia nyimbo za kidini zenye midundo ya shetani. Ingawa...
Tukiwaambia nchi hii tumepitia kipindi kigumu sana muwe mnaelewa jamani! Maana kuna watu kabisa uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana.
During that regime kila mwekezaji alikuwa anaogopa na wengine walifirisiwa kabisa ama moja kwa moja au kwa kuchukua pesa kwenye akaunti zao, mfano Nimrodi mkono...
Salaam Ndugu zanu,
Bunge linaendela muda huu, mgomo wa kariakoo unaendela muda huu lakini Spika analetewa hoja hii mezani anajifanya kama hajui kinachoendelea.
Kwamba Spika anashindwa kutazama hata vyombo vya habari kujua nini kinaendelea? Eti anadai anataka ajiridhishe kama ni kweli au la...
Wanabodi, leo katika viwanja vya Karimjee, Watanzania tunamuaga aliyekuwa Waziri wetu kwa kipindi chote cha miaka 10 ya utawala wa Jakaya Mrisho Kikwete, Mwana Diplomasia nguli, Bernard Cammilus Membe, aliyefariki dunia ghafla, juzi Ijumaa asubuhi.
Nilivyomfahamu Membe.
Fani yetu ya uandishi wa...
Siyo mbaya kwani anayejua anajua tu na hakuna cha nyumbani wala ugenini, ingawaje kiafrika wa nyumbani ana faida kuliko mgeni. Ni barua ya mwaka jana, hakuna kulalamika.
“The final shall be played in two matches, home and away. The team which will have scored the highest aggregate number of...
Kuaharisha na kuugua matumbo limeshakuwa ni janga. Kulingana na mazingira ya kazi na umbali, inakuwa ni vigumu kurudi nyumbani ukale kisha uendelee na kazi.
Baadhi ya migahawa imekuwa ni janga kwetu wateja, mbinu hizi chafu hutumika kwa lengo la kukuza faida bila kujali afya zetu na huku ndipo...
Mchungaji Joseph at Gwajima wewe ni mbunge wa jimbo la Kawe. Upo bize kweli na siasa za Sukuma Gang ukisahau zile za jimbo lako.
Taarifa iliyopo ni kwamba eneo la mecco kunduchi "mashimoni" linataka kuvamiwa. Watoto wa mjini wanalitolea macho wakidai kupisha mwendo kasi.
Wananchi hawa...
YAH:- MWALIMU CALVIN TWARILA WA KIBO AACHIWE HURU ANAONEWA!!
NAWEKA USHAHIDI WA MAOVU YOTE YA NGONYANI!!
Somo tajwa hapo juu lahusika.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa viongozi wote waliolisimamia suala letu walimu!Nianze na ofisi ya Rais, Wizara ya Elimu Tamisemi, Ofisi ya Takukuru...
Anonymous
Thread
afisa elimu
bwana
elimu
manispaa
maovu
moshi
mwalimu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.